Danny Jully
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 4,416
- 3,860
Hawa hawa wanao mpamba Jiwe watamgeuka siku, Mugabe alikuwa na wapambe hawa wa Magu ni cha mtoto ila mwoshoni mara baada ya mambo kuwa magumu walimgeuka, it is the matter of time
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa hawa wanao mpamba Jiwe watamgeuka siku, Mugabe alikuwa na wapambe hawa wa Magu ni cha mtoto ila mwoshoni mara baada ya mambo kuwa magumu walimgeuka, it is the matter of time
CCM haiwezi kubadirika yenyewe, itabadirishwa kwa nguvu za ndani ya yenyewe ili kujikinga na mageuzi, au nguvu ya umma dhidi ya dola lake.Waache yaani huu mwaka either tucheke wote au tulie wote
umeenda mbali sana, russia hawana hata uchaguzi mkuu, china the same! korea the same, whats so important na tanzaniaTanzania sasa hivi ni nchi ya mfano sana ndiyo maana wanapiga kelele hivyo. Zamani tukiwa shamba la bibi walikuwa hawasemi kitu; na hata nchi zote zinazotuzunguka kama Rwanda ambayo inaongozwa kimabavu sana hawaisemi kwa vile haina manufaa sana kwao. yeye anshiwndwa kuzungumzia jinsi wapiga kura wa Marekani wanavyobanwa wasipige kura anakuja kuongelea mambo ya Tanzania.
Yaani wanajikangaja sasa; balozi ambaye ndiye yuko Tanzania anaongea mambo mengine, wakati yeye yuko huko milimani Idaho anaongea mambo mengine ya kufikirika tu.
Mbona mnapoomba misaada hamsemi hivyo?Tell them to mind their own business.
Aise unaandika na kujijibu mwenyewe. Kazi kwelikweli. Aibu!Hah hah kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani anaongea huku akitamani kucheka, maana kuitetea CCM Mpya ni kazi kweli kweli kwa sababu anazotoa kamanda wa Polisi wa mkoa.
Hakika hii mishale inayopigwa kila upande toka pande mbalimbali za dunia, zikituonya nchi hii tuendeshe uchaguzi ulio huru na wa haki, ni message tosha kwa watawala kuwa wasitende kama walivyozoea, ni lazima watambue kuwa dunia nzima inauangalia kwa makini sana, uchaguzi huu
Iwapo Rais wetu na NEC yake watajifanya wana kiburi na kutotaka kusikiliza hizo kelele za dunia nzima, basi watakapoburuzwa kwenye mahakama ya kimataifa The Hague, wasije wakalaumu mtu!
Hakika uchaguzi wa mwaka huu ni wa historia, kama ambavyo amekuwa akisikika akisema Tundu Lissu.
Ninyi CCM hamna ubavu wa kuwabishia hao Marekani kwa watakayoyasema............
Kwani misaada yao mnaendelea kupokea kwa wingi hao mnaowaita mabeberu
Mwisho wa Nduli umefika
Polisi hawatawasaidia kituNchi yetu itafanya uchaguzi na CCM tutashinda maana tumejipanga. Kama unategemea eti Seneta wa Marekani ndio amuingize Lissu madarakani na sio wananchi wa Tanzania, jiulize alivyoondolewa kwenye Ubunge ilikuwaje pamoja na kuzunguzuka dunia nzima akiloloma?
Tell them to mind their own business.
Ukitaka hivyo acha kuwa omba omba!! Siku zote omba omba ni ngumi kuchagua rafiki!!kesho toa tamko kuwa kuanzia hamtaki msaada wao kwenye ARV'S, tena, anzieni hapo tu, ha hizi zilizopo tunazitia moto, kwakuwa ni za MABEBERU, tutaanza kununua wenyewe!!! Na ikiwezekana kabisa balozi wao apewe 24hrs,aondoke nchini!!!Tell them to mind their own business.
Ebu mjaribu muone. By the way, Lissu kampeni leo ilikuwa wapi na kesho wapi? Ahahahahh! Na hizo ni salam tu!!!!
Polisi hawajawahi kuwa msaada wa milele wa watawalaEbu mjaribu muone. By the way, Lissu kampeni leo ilikuwa wapi na kesho wapi? Ahahahahh! Na hizo ni salam tu!!!!
Na hakuna utawala uliokaa madarakani bila DOLA! Nipe mfano wa nchi moja tu ambapo mtawala alikaa madarakani bila DOLA!Polisi hawajawahi kuwa msaada wa milele wa watawala