Uchaguzi 2020 Marekani yawasihi NEC na Magufuli kujali misingi ya demokrasia kwenye Uchaguzi Mkuu 2020

Uchaguzi 2020 Marekani yawasihi NEC na Magufuli kujali misingi ya demokrasia kwenye Uchaguzi Mkuu 2020

06 October 2020
Kiluvya, mkoa wa Pwani
Tanzania

Haki za kiuraia yazidi kupata changamoto kipindi hiki cha 2020

06 October 2020
Pwani, Tanzania

Tundu Lissu azumgumza kuzuiliwa akielekea ktk shughuli za chama

Makamu Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Mh. Tundu Lissu azungumzia kuzuiwa kwake barabarani akiwa mkoani Pwani akielekea katika shughuli za chama.

Kamanda wa jeshi la Polisi mkoani Pwani ameahidi kutolea ufafanuzi hatua ya jeshi la Polisi kuzuia msafara wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA ambaye yupo katika shughuli za kawaida za kisiasa kama kiongozi wa chama
 
Kwani mgao wa buku saba umesitishwa au mbona wananzengo wamemwacha mtu wao anavuliwa nguo namna hii
 
Kamati ya bunge la Marekani la seneti ya mambo ya nje imeisihi tume ya uchaguzi Tanzania kujirekebisha, kuondoa makosa yaliyofanyika ndani ya miaka 5 iliyopita, kuacha kumshitaki Lissu kwa hoja ya kijinga.

Kamati hiyo inamtuhumu Magufuli kuminya Demokrasia, utawala bora, uhuru wa kujieleza toka ameingia madarakani miaka 5 iliyopita, wamemsihi kuwa sasa ni wakati wa kurekebisha makosa aliyoyafanya kwa miaka 5 iliyopita.

======

OCTOBER 05, 2020

CHAIRMAN RISCH: TANZANIA OFFICIALS MUST CORRECT PAST ERRORS AND HOLD CREDIBLE VOTE

BOISE, Idaho – U.S. Senator Jim Risch, chairman of the Senate Foreign Relations Committee, today issued the following statement regarding the recent suspension of the leading Tanzanian opposition candidate's campaign by electoral officials:

“Suspending the leading opposition candidate's presidential campaign on bogus charges raises serious questions about the independence of Tanzania's electoral commission. The political violence and repression of opposition candidates, restrictions on independent media, lack of autonomy and transparency by electoral officials, and government authorities' interference reflect Tanzania's history of flawed elections and the country's democratic erosion over the past five years.

“Despite profoundly troubling developments throughout the electoral campaigns, Tanzania's October 28 general elections provide an opportunity for President Magufuli and electoral officials to correct past errors and return Tanzania to a positive democratic trajectory by holding free, fair, and credible elections. Otherwise, Tanzania's continued democratic decline stands to undermine its future and will negatively influence democratic progress in the rest of the region.”

Background: On Friday, Tanzania's National Electoral Commission (NEC) suspended leading opposition presidential candidate Tundu Lissu from campaigning for seven days for violating the electoral code of ethics. The NEC accused Mr. Lissu of making seditious comments during one of his rallies in complaints filed by two political parties, including the ruling Chama Cha Mapinduzi party. NEC membership is selected solely by the president of Tanzania.

Chanzo:Chairman Risch: Tanzania Officials Must Correct Past Errors and Hold Credible Vote | United States Senate Committee on Foreign Relations
babae huu uchaguzi umetolewa macho magu hatoki safari hii
 
Ninyi CCM hamna ubavu wa kuwabishia hao Marekani kwa watakayoyasema............

Kwani misaada yao mnaendelea kupokea kwa wingi hao mnaowaita mabeberu
Hawana ubavu wa kuwabishia? Upo mkoa gani mkuu?
 
Kuna watu wanaamini Marekani, Umoja wa Ulaya na Wakili Robert Amsterdam wanatania mwaka huu ila napenda tu kuwaambia sio mbali dunia inaanza kusoma makala za Kuanguka kwa Tanzania Kama ilivyosoma kwa miaka mingi makala za kuanguka kwa Zimbabwe!

Ni tukubali ujinga wa Magufuli na watu wake then nchi yetu ianguke vibaya kiuchumi na watu wawe mafukara kupindukia ikiwemo wazazi na ndugu zetu??? Au tukubali matakwa ya demokrasia ili nchi yetu istawi vizuri kiuchumi na iwe mfano bora Africa?
Endelea kuota mkuu
 
CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.

CCM wameanza kuitafuna nchi tangu mwaka 1961 lakini ukomo wao wa kutafuna rasilimali za nchi ni mwaka huu wa 2020 kwani hakuna mtanzania mwenye hamu ya kuongozwa na chama cha kifisadi kama CCM ambacho kimeshindwa kuboresha maisha na ustawi wa watanzania. Wananchi wamechoka kubebeshwa ‘magunia ya misumari’ ya bei ya juu ya chakula, mfumuko wa bei wa kutisha, elimu duni, maisha duni, ufisadi wa kutisha na matatizo lukuki yanayosababishwa na panya (CCM) hawa wasiokuwa na haya! Kizazi kizima cha CCM kinakaribia kuzama na kusahaulika kabisa katika ardhi ya Tanzania.

It’s a matter of time before CCM dynasty comes to an end, and that’s when magambas will apprehend the significance and power of the people. Desolately, CCM have been ignoring and looking down their noses at common Tanzanians for many years. Time has now come when citizens can no longer endure CCM’s tyranny and corrupt rule. Everybody is tired of living like a slave on a land endowed with an assortment of natural wealth which only benefits minority fisadis and a few elites in power while majority Tanzanians lead very miserable lives.

What comes around goes around. Let CCM go to hell for good because they have absolutely failed to uplift the living standards of millions of Tanzanians at the expense of a few fisadis whose gargantuan stomachs never fill up! And no one should be blamed for the hatred and grudge that majority people hold against CCM and their crooked government except fisadis themselves who, horrifically, decided to gnaw the cassava-made boat by which they were sailing!
 
Nadhani lugha ya kiingereza ni tatizo, definition ya errors mnaijua vizuri? Errors maana yake ni vikosa vidogo vidogo sana, that means Mh. Magufuli in his past 5 years of leadership, amefanya vikosa vidogo vidogo sana, in other words hakufanya mistakes, yaani makosa makubwa, hivyo Mh. Magufuli ni kiongozi bora kwa msingi huo, hizo errors sio issue kabisa. Ufipa followers, did you hear me?
CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.

CCM wameanza kuitafuna nchi tangu mwaka 1961 lakini ukomo wao wa kutafuna rasilimali za nchi ni mwaka huu wa 2020 kwani hakuna mtanzania mwenye hamu ya kuongozwa na chama cha kifisadi kama CCM ambacho kimeshindwa kuboresha maisha na ustawi wa watanzania. Wananchi wamechoka kubebeshwa ‘magunia ya misumari’ ya bei ya juu ya chakula, mfumuko wa bei wa kutisha, elimu duni, maisha duni, ufisadi wa kutisha na matatizo lukuki yanayosababishwa na panya (CCM) hawa wasiokuwa na haya! Kizazi kizima cha CCM kinakaribia kuzama na kusahaulika kabisa katika ardhi ya Tanzania.

It’s a matter of time before CCM dynasty comes to an end, and that’s when magambas will apprehend the significance and power of the people. Desolately, CCM have been ignoring and looking down their noses at common Tanzanians for many years. Time has now come when citizens can no longer endure CCM’s tyranny and corrupt rule. Everybody is tired of living like a slave on a land endowed with an assortment of natural wealth which only benefits minority fisadis and a few elites in power while majority Tanzanians lead very miserable lives.

What comes around goes around. Let CCM go to hell for good because they have absolutely failed to uplift the living standards of millions of Tanzanians at the expense of a few fisadis whose gargantuan stomachs never fill up! And no one should be blamed for the hatred and grudge that majority people hold against CCM and their crooked government except fisadis themselves who, horrifically, decided to gnaw the cassava-made boat by which they were sailing!
 
Ninyi CCM hamna ubavu wa kuwabishia hao Marekani kwa watakayoyasema............

Kwani misaada yao mnaendelea kupokea kwa wingi hao mnaowaita mabeberu
Baada ya usaid kusitisha msaada wa salama condom, wakubwa wakaja na wazo la zaeni kwa fujo!
 
Tanzania sasa hivi ni nchi ya mfano sana ndiyo maana wanapiga kelele hivyo. Zamani tukiwa shamba la bibi walikuwa hawasemi kitu; na hata nchi zote zinazotuzunguka kama Rwanda ambayo inaongozwa kimabavu sana hawaisemi kwa vile haina manufaa sana kwao. yeye anshiwndwa kuzungumzia jinsi wapiga kura wa Marekani wanavyobanwa wasipige kura anakuja kuongelea mambo ya Tanzania.
Yaani wanajikangaja sasa; balozi ambaye ndiye yuko Tanzania anaongea mambo mengine, wakati yeye yuko huko milimani Idaho anaongea mambo mengine ya kufikirika tu.
Balozi anaongelea mambo mazuri, hujui kwa nini, walio nje usidhani hawaoni nini kinaendelea Tanzania. Kwa taarifa yako hata closing balance ya jana ya bank kuu yako ukiwauliza watakwambia.
 
Siku nikipata fursa ya kuwa rais wa Taifa hili kitu chakwanza nitakachokifanya nikuvunja uhusiano wa Aina yeyote ule na hili Taifa linalosadikika Lina nguvu kuliko mataifa yote(Kwangu huwa naliona Kama Taifa la kishetani).

"Sitakubali kuachia madaraka katika Uchaguzi ujao" D. Trump.
Taifa tangu miaka na miaka Lina vyama viwili tu vya siasa na haliruhusu usajiri wa vyama vingine vipya halafu lisivyo na haya linajiita Taifa nguli la demokrasia ( Ni wajinga tu ndo wanaamini huu ujinga).

USA is the beast nation in the world,, I so hate it.
Mwongo wewe, Republican na democratic ndio vyama vikuu, lakini si vyama pekee vya siasa marekani.
 
Hali ni mbaya sana, kuanzia sasa huenda yakatokea mambo mengi sana, kuna taarifa zisizo rasmi kuna viongozi wa chadema wanawindwa, chondechonde walindeni kina heche, msigwa na sugu.Ccm in watu wabaya.
Ni hatari kama ni kweli.
 
Uchaguzi wa Marekani unaotarajiwa kufanyika November mwaka huu umeingia kasoro nyingi kiasi kwamba Rais Trump amekataa kutoa ahadi ya kukubali matokeo yatakayotangazwa na tume.

Trump amesema kuwa utaratibu wa kupiga kura umepangwa kwa mtindo unaolenga kukandamiza wapiga kura wanaomuunga mkono.

Vilevile kumekuwa na hatari kuwa matokeo ya uchaguzi huo yatachelewa kutolewa kwa sababu uhesabuji kura katika baadhi ya majimbo utaendelea kwa siku 4 baada ya vituo vya kupiga kura kufungwa.
Kumbuka huyu ni Raisi aliyeko madarakani. Jinsi mambo zilovyo fair na free mpk analalamika na yeye.
Huku sasa KMMK, upinzani tu ndio wa kulalamika. Wagombea wote wa tawala hakuna aliekosea jaza fomu. Wapinzani ndio wanaokosea. Rufaa dhidi mtawala hakuna hata moja inaenda kinyume. Za wapinzani sasa dah.

Na declare interest nampenda sana Magu. Yaani kwa staili yake kua hakuna mtumishi aliejuu alivokua anaenda sehemu anakuta upupu on the Spot anapiga katafunua, nilimpenda sana. Amenyoosha wengi sana.
Na ukiniambia tutakuja pata raisi km huyu ntakuambia hapana. Mpaka labda miaka 200 labda ijayo.

Mimi Magu ukweli wa moyoni anachonikera ni kua anawaminya sana watu wasiongee mfano wapinzani. Yaani hata waliokua wabaya wake wakati akiwa mbunge na waziri tu naskia anawashuulikia sana. Mpaka imenifanya niwe na imani kua mambo anayoyafanya labda wakati mwingine kuna vitu zake chini ya carpet anavifanya sasa huku juu anatuonesha show flani. Yaani there's a circle flani who profits, who are protected by him.

Kweli kutoka moyoni mi napenda Magu atawale hata miaka 30. Sitaki niwe mnafiki. Maana kuna watu tawala za nyuma dah walitunyanyasa sana. Zile mambo UNANIJUA MIMI....UNANIJUAAA zilikwisha kabisa.
Hivyo ningependa aendelee lkn Sasa arekebishe kuwanyima uhuru hawa wapinzani maana kelele zao nazo zina saidia kuleta chachu.

Suala la kusema usipochagua watu wangu maendeleo utayaskia kwa wengine kweli sio uungwana.

Hayo tu mi kwa Magu ndi yananikwaza.
Sababu who is Lissu by the way eti kwamba tukimchagua atakua Raisi mzuri. We really don't know how he will behave. Waweza kuta tukarudi kule kulee ..UNANIJUA MIMI....UNANJUA MI NANIIII.

Conclusion. Ningemchagua Magu kama haya nsiyoyapenda angebadilika sema naona ni vigumu sana kubadilika. Ndio maana acha tu wapokezane vijiti. Chama chochote pinzani kikubwa kichukue nchi then na wao wakishindwa ssm tutawarudisha.
 
Ila humu kwa sasa sio huru tena, nimeshituka bora kupata habari twitter kwa huu muda, hii forum ni kama imebinasifishwa
Uko sahihi, weka thread inayoianika serikali, kufumba na kufumbua itaondolewa. Hata usalama wetu nahisi upo mashakani.
 
Back
Top Bottom