Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
babae huu uchaguzi umetolewa macho magu hatoki safari hiiKamati ya bunge la Marekani la seneti ya mambo ya nje imeisihi tume ya uchaguzi Tanzania kujirekebisha, kuondoa makosa yaliyofanyika ndani ya miaka 5 iliyopita, kuacha kumshitaki Lissu kwa hoja ya kijinga.
Kamati hiyo inamtuhumu Magufuli kuminya Demokrasia, utawala bora, uhuru wa kujieleza toka ameingia madarakani miaka 5 iliyopita, wamemsihi kuwa sasa ni wakati wa kurekebisha makosa aliyoyafanya kwa miaka 5 iliyopita.
======
OCTOBER 05, 2020
CHAIRMAN RISCH: TANZANIA OFFICIALS MUST CORRECT PAST ERRORS AND HOLD CREDIBLE VOTE
BOISE, Idaho – U.S. Senator Jim Risch, chairman of the Senate Foreign Relations Committee, today issued the following statement regarding the recent suspension of the leading Tanzanian opposition candidate's campaign by electoral officials:
“Suspending the leading opposition candidate's presidential campaign on bogus charges raises serious questions about the independence of Tanzania's electoral commission. The political violence and repression of opposition candidates, restrictions on independent media, lack of autonomy and transparency by electoral officials, and government authorities' interference reflect Tanzania's history of flawed elections and the country's democratic erosion over the past five years.
“Despite profoundly troubling developments throughout the electoral campaigns, Tanzania's October 28 general elections provide an opportunity for President Magufuli and electoral officials to correct past errors and return Tanzania to a positive democratic trajectory by holding free, fair, and credible elections. Otherwise, Tanzania's continued democratic decline stands to undermine its future and will negatively influence democratic progress in the rest of the region.”
Background: On Friday, Tanzania's National Electoral Commission (NEC) suspended leading opposition presidential candidate Tundu Lissu from campaigning for seven days for violating the electoral code of ethics. The NEC accused Mr. Lissu of making seditious comments during one of his rallies in complaints filed by two political parties, including the ruling Chama Cha Mapinduzi party. NEC membership is selected solely by the president of Tanzania.
Chanzo:Chairman Risch: Tanzania Officials Must Correct Past Errors and Hold Credible Vote | United States Senate Committee on Foreign Relations
Hawana ubavu wa kuwabishia? Upo mkoa gani mkuu?Ninyi CCM hamna ubavu wa kuwabishia hao Marekani kwa watakayoyasema............
Kwani misaada yao mnaendelea kupokea kwa wingi hao mnaowaita mabeberu
Endelea kuota mkuuKuna watu wanaamini Marekani, Umoja wa Ulaya na Wakili Robert Amsterdam wanatania mwaka huu ila napenda tu kuwaambia sio mbali dunia inaanza kusoma makala za Kuanguka kwa Tanzania Kama ilivyosoma kwa miaka mingi makala za kuanguka kwa Zimbabwe!
Ni tukubali ujinga wa Magufuli na watu wake then nchi yetu ianguke vibaya kiuchumi na watu wawe mafukara kupindukia ikiwemo wazazi na ndugu zetu??? Au tukubali matakwa ya demokrasia ili nchi yetu istawi vizuri kiuchumi na iwe mfano bora Africa?
Sawa. Mie ninaota!! Wewe usieota subiri matokeoEndelea kuota mkuu
CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.Nadhani lugha ya kiingereza ni tatizo, definition ya errors mnaijua vizuri? Errors maana yake ni vikosa vidogo vidogo sana, that means Mh. Magufuli in his past 5 years of leadership, amefanya vikosa vidogo vidogo sana, in other words hakufanya mistakes, yaani makosa makubwa, hivyo Mh. Magufuli ni kiongozi bora kwa msingi huo, hizo errors sio issue kabisa. Ufipa followers, did you hear me?
Baada ya usaid kusitisha msaada wa salama condom, wakubwa wakaja na wazo la zaeni kwa fujo!Ninyi CCM hamna ubavu wa kuwabishia hao Marekani kwa watakayoyasema............
Kwani misaada yao mnaendelea kupokea kwa wingi hao mnaowaita mabeberu
Balozi anaongelea mambo mazuri, hujui kwa nini, walio nje usidhani hawaoni nini kinaendelea Tanzania. Kwa taarifa yako hata closing balance ya jana ya bank kuu yako ukiwauliza watakwambia.Tanzania sasa hivi ni nchi ya mfano sana ndiyo maana wanapiga kelele hivyo. Zamani tukiwa shamba la bibi walikuwa hawasemi kitu; na hata nchi zote zinazotuzunguka kama Rwanda ambayo inaongozwa kimabavu sana hawaisemi kwa vile haina manufaa sana kwao. yeye anshiwndwa kuzungumzia jinsi wapiga kura wa Marekani wanavyobanwa wasipige kura anakuja kuongelea mambo ya Tanzania.
Yaani wanajikangaja sasa; balozi ambaye ndiye yuko Tanzania anaongea mambo mengine, wakati yeye yuko huko milimani Idaho anaongea mambo mengine ya kufikirika tu.
Mwongo wewe, Republican na democratic ndio vyama vikuu, lakini si vyama pekee vya siasa marekani.Siku nikipata fursa ya kuwa rais wa Taifa hili kitu chakwanza nitakachokifanya nikuvunja uhusiano wa Aina yeyote ule na hili Taifa linalosadikika Lina nguvu kuliko mataifa yote(Kwangu huwa naliona Kama Taifa la kishetani).
"Sitakubali kuachia madaraka katika Uchaguzi ujao" D. Trump.
Taifa tangu miaka na miaka Lina vyama viwili tu vya siasa na haliruhusu usajiri wa vyama vingine vipya halafu lisivyo na haya linajiita Taifa nguli la demokrasia ( Ni wajinga tu ndo wanaamini huu ujinga).
USA is the beast nation in the world,, I so hate it.
Ni hatari kama ni kweli.Hali ni mbaya sana, kuanzia sasa huenda yakatokea mambo mengi sana, kuna taarifa zisizo rasmi kuna viongozi wa chadema wanawindwa, chondechonde walindeni kina heche, msigwa na sugu.Ccm in watu wabaya.
Kumbuka huyu ni Raisi aliyeko madarakani. Jinsi mambo zilovyo fair na free mpk analalamika na yeye.Uchaguzi wa Marekani unaotarajiwa kufanyika November mwaka huu umeingia kasoro nyingi kiasi kwamba Rais Trump amekataa kutoa ahadi ya kukubali matokeo yatakayotangazwa na tume.
Trump amesema kuwa utaratibu wa kupiga kura umepangwa kwa mtindo unaolenga kukandamiza wapiga kura wanaomuunga mkono.
Vilevile kumekuwa na hatari kuwa matokeo ya uchaguzi huo yatachelewa kutolewa kwa sababu uhesabuji kura katika baadhi ya majimbo utaendelea kwa siku 4 baada ya vituo vya kupiga kura kufungwa.
But your business depends on them, while you have nothing to offer.Hao ndo wanamilik IMF na World Bank, kaulize Zimbabwbe wanawajua vyema
Uko sahihi, weka thread inayoianika serikali, kufumba na kufumbua itaondolewa. Hata usalama wetu nahisi upo mashakani.Ila humu kwa sasa sio huru tena, nimeshituka bora kupata habari twitter kwa huu muda, hii forum ni kama imebinasifishwa