Marekani yawatahadharisha raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania dhidi ya Ugaidi na uhalifu

Naona wanaanza kumfinya jiwe kwa style tofauti kabisa ambayo alikuwa hajaifikiria!

Baada ya mashambulio ya vituo vya polisi, misikiti na baadhi ya balozi za nchi mbalimbali kitakachofuata ni Zanzibar kudai kujitenga huku ukipewa saport toka magharibi.

Kusema ukweli mabeberu yakiamua mbuzi jike lazima ashike mimba.
 
Kweli tumejipaka ma..vi. Haya tulikuwa tunayasikia yakiripotiwa kwa mataifa mengine. Kutoka kuitwa Kisiwa cha Amani mpaka majina haya mapya --mbona muda mfupi sana jamani...... Maskini Mama yangu Tanzania!!!!!
 
Hii tarifa kama ni ya kweli, serikali ilifanyie kazi suala hili

Americans hua wanafanya hivi ili kuleta panic katika nchi, wananchi wasiviamini vyombo vyao vya ulinzi

Cha kufanya serikali iwaite watu wa ubalozi wa marekani na wahojiwe effectively ili waseme hizi tarifa wametoa wapi?

Na ikibainika kwamba ni uongo, serikali iufunge ubalozi wa marekani

Hawa jamaa wameharibu nchi nyingi sana kwa ujinga wao huu, wa kupandikiza magaidi na kujifanya wana tarifa za kiintelijensia

Kama wao ni smart sana walishindwaje kuzuia ubalozi wao usilipuliwe mwaka 98, maana hata hints hawakua nazo.
 
What are political and economic implications of this classification by Trump administration?
 
Hapana kwa hili hawawezi mkuu subiri kuwe na mikutano ya kisiasa ndio utaijua hiyo idara
Kama ndivyo basi wanakuwa wanakiuka kiapo chao kwa kuendekeza mambo ya vyama badala ya taaluma. Vyama vipo vitapita (refer TANU+ASP=CCM) lakini Tanzania itabaki milele. Nakumbuka hata lile tukio la kigaidi la kulipuliwa kwa balozi za Marekani za Dsm na Nairobi intelligensia yetu haikuweza kunotice mpaka maafa yakatokea. So muhimu TISS ikarudi kwenye misingi na dhima ya kuanzishwa kwake na kuachana na kutumika kwa faida za wanasiasa.
 
Taking into consideration the shooting of numerous innocent citizens either by police or some crazies in US and compare with what is happening in TZ, which country is safer??????
 
Unaanza kuvishutumu vyomo vyetu vya interejensia kwa lipi wakati ata wao wakijua kazi yao ni kuhakikishi hicho kitu hakitimii katu na si kwenda kuuzuia ubarozi wa USA kutoa taarifa hiyo?
 
Security level kwa nchi za Africa Mashariki ni moja;

Kwa Tanzania sidhani kama kuna magaidi/vikundi vya magaidi.

Ila naanza kupata mashaka kwakua kuna member alishawahi leta Uzi kuhusiana na uwepo wa Taasisi flani toka huko Mashariki ya Kati.

Yatupasa kuwa makini mno.

Hawa wageni waliopo mitaani kinyume cha sheria na tunaendelea kuwachekea chekea ipo siku tutaja juta.
 
Uzalendo unaanzia kwa kiongozi wa nchi kama hana uzalendo huwezi kuona wananchi wakiwa na uzalendo.....Kumbuka kipindi cha Kikwete pamoja na mapungufu yake ya kiuongozi lakini bado wananchi walisimama nae kwenye maswala ya kimataifa.

Rejea mgogoro na Malawi kuhusu ziwa Nyasa, nchi nzima ilisimama nyuma ya Kikwete
Njoo Kwenye Mkwara wa Kagame, nchi nzima ilikuwa nyuma ya Kikwete.

Angalia alivyokuja Obama Ikulu, Viongozi wa upinzani wote walijumuika Ikulu pamoja na kuwa kulikuwa na msuguano kuhusu katiba wakati ule.

Je sasa hivi inaweza kutokea hivyo? na hao jamaa huwa wanapenyeza propaganda zao kwenye ufa.!
Watanzania tuwapumbavu sana yaan mnafurahia propaganda za america kwa interest zake
 
Taking into consideration the shooting of numerous innocent citizens either by police or some crazies in US and compare with what is happening in TZ, which country is safer??????
Americans are only good on promoting gays right

Hawawezi kuona ubovu unaofanyika kwenye nchi yao.
 
Labda ni watu wasiyojulikana ndiowatakuja kwa sura ya ugaidi.
 

hahahahajahhaajhahahahaha.u made my day kwahyo magu its like mee jike😂😂😂😂..hahahahahahahahaa..tunacheka tu hapa lakini hii ni sign mbaya kuwah tokea toka tuwe na ufaham
 
hahahahajahhaajhahahahaha.u made my day kwahyo magu its like mee jike[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..hahahahahahahahaa..tunacheka tu hapa lakini hii ni sign mbaya kuwah tokea toka tuwe na ufaham
Hahahah, wale wazungu hawatoi taarifa ya namna hii kwa bahati mbaya hasa ukizingatia hatupo kwenye mwaka wa uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…