Marekani yawatahadharisha raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania dhidi ya Ugaidi na uhalifu

Marekani yawatahadharisha raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania dhidi ya Ugaidi na uhalifu

Wasenge sana hawa jamaa watuache wao waendelee kufilana maana ndo michezo yao.
 
Sijui chanzo cha hii taarifa(validity yake) though jambo hili linaleta ukakasi kwenye intelligence yetu. Kama jambo hili ni kweli basi kuna haja ya kuhoji efficiency ya idara yetu ya usalama wa Taifa kama organ iliyopewa jukumu la kutulinda kwa kubaini viashiria vyote vya uvunjifu wa amani.
Mungu atuepushe kama hii taarifa ni ya kweli
Idara yetu ya Usalama wa Taifa ingekuwa Vizuri kuna mambo yasingweza kutokea au kama yalivyotokea nafikiri tungekuwa tumeishapata ufumbuzi na Hatua kali kuchukuliwa kwa wahusika
1. EPA
2. RICHMOND
3. KAGODA
4. MEREMETA
5. ESCROW
6. Kutekwa watu, kuuawa, kupotea na wengine kupigwa risasi hovyo.
**Pia tukumbuke tunaambiwa huku mitaani kuwa kuna baadhi ya viongozi wanalindwa na walinzi kutoka nje ya nchi nafikiri pia hili ni kielelezo kuwa kuna udhaifu fulani katika Idara hii.
 
Wasenge sana hawa jamaa watuache wao waendelee kufilana maana ndo michezo yao.
Unaweza kuta wewe uliyeyaandika haya huo mchezo unaoukemea kwa maneno hayo ndio hasa unaoufanya kila siku maana upo ulipo mpo wengi mnaoupenda mchezo huo na ndio maana uwezo wenu mdogo sana wa kujenga hoja.
 
Mahoteli yatafikisika na kupunguza wafanyakazi,Makampuni ya kusafirisha Watalii yatapaki na kupunguza wafanyakazi,Volunteers hawatakuja kabisa.

Sasa tumshauri Mtukufu raisi na Makonda waongee na BAKWATA ili tupate watalii kutoka Yemen Sudan Syria Iraq Iran pamoja Libya Saudi Arabia na Sultanate of Oman waje kula nyama Pori kwa pilau
 
Ninachokisema mimi sitetei haya matukio lakini usisahau Marekani kila mwezi watu weusi wanauawa na polisi hivyo wanatakiwa kuwa wa mwisho kutusema sisi lakini wenzetu wengine humu kwasababu wanaichukia serikali basi wanaona ni sawa tu tutangazwe vibaya.

Umewahi kujiuliza hao wanaoichukia serekali nini sababu? Kama hutetei hayo matukio yalipokuwa yanafanyika mbona hukuonekana kukemea kama ufanyavyo sasa, au ulikuwa hujui kuandika? Mnakaa kimya kundi fulani likifanyiwa ukatili, siku huo ukatili ukiingia kuja kuwakuta mnajiffanya mnaonewa sijui kuingiliwa. Au ni mambo ya mtendaji akitendewa? Kwa taarifa yako Gaddafi aliuliwa na mikono ya Walibya, na hao wazungu walitoa msaada muhimu tu wa kijeshi. Waliomwua ni wale aliokuwa akiwanyanyasa, na hayo hapa yapo kwa wapinzani na mko kimya kabisa.
 
Unasema kweli kabisa. Hawa jamaa ndio waliomtengeneza Osama, ndio walioanzisha kundi la ISLAMIC STATES. Inabidi kila mwananchi awe mlinzi wa nchi hii kwani vita vya kiuchumi vina namna yake ya kupigana. Na hii ni vita rahisi kama tutashikamana kama taifa. Wanaotumiwa tutawasubiria 2020.
Mshikamane na nani
 
Serikali ya Marekani imewaonya raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania kuwa makini na matukio ya Ugaidi , uvunjifu wa haki za binadamu na uhalifu ndani ya Tanzania.

Katika taarifa yao wamedai kuwa kuna makundi ya kigaidi ndani ya nchi ambayo huenda yanajipanga kufanya mashambulizi ndani ya nchi.

Pia taarifa hio inadai kuwa ndai ya nchi wanaohisiwa kuwa wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja hukamatwa na huenda wakalazimishwa kupimwa njia ya haja kubwa kwa nguvu na mamlaka husika.

Pia wamedai kuwa polisi ndani ya nchi hawana uwezo na miundombinu ya kupambana na uhalifu kwa hiyo wananchi wao wawe makini.

Katika suala la ugaidi wamedai kuwa mashambulizi huenda yakalenga vituo vya polisi, balozi za nchi mbali mbali, misikiti na maeneo mengine ambayo watu wa Magharibi(wazungu) wanakuwepo.
=========


Exercise increased caution in Tanzania due to crime, terrorism, and targeting of LGBTI persons.

Violent crime, such as assault, sexual assault, express kidnapping, mugging, and carjacking, is common. Local police may lack the resources to respond effectively to serious crime.

Terrorist groups continue plotting possible attacks in Tanzania. Terrorists may attack with little or no warning, targeting embassies, police stations, mosques, and other places frequented by Westerners.

Members of the LGBTI community have been arrested, targeted, harassed, and/or charged with unrelated offenses. Individuals detained under suspicion of same-sex sexual conduct could be subject to forced anal examinations.

Read the Safety and Security section on the country information page.

If you decide to travel to Tanzania:
  • Always carry a copy of your U.S. passport and visa and keep original documents in a secure location.
  • Be aware of your surroundings.
  • Do not leave your food or drink unattended.
  • Stay alert in all locations, especially those frequented by Westerners.
  • Avoid public displays of affection particularly between same-sex couples.
  • Enroll in the Smart Traveler Enrollment Program (STEP) to receive Alerts and make it easier to locate you in an emergency.
Follow the Department of State and the US Embassy in Tanzania on Facebook and Twitter Review the Crime and Safety Report for Tanzania.

U.S. citizens who travel abroad should always have a contingency plan for emergency situations. Review the Traveler’s Checklist.

Souce: Tanzania Travel Advisory[/QUOTE]

Ndugu zangu US ingeshauriwa ijitizame na ijirekebishe.
Ingia hapo chini:

ISLAM, TERRORISM AND AFRICAN DEVELOPMENT
Mwanahistoria MohamedSaid December 25, 2013 3
ISLAM, TERRORISM AND AFRICAN DEVELOPMENT
8th– 10th FEBRUARY 2006
Venue
University of Ibadan Conference Centre
Organised by
Department of Arabic and Islamic Studies
UNIVERSITY OF IBADAN
NIGERIA
‘TERRORISM’ IN EAST AFRICA
The Tanzanian Experience
Speaker

Mohamed Said
‘TERRORISM’ IN EAST AFRICA - THE TANZANIAN EXPERIENCE

Mohamed Said: ISLAM, TERRORISM AND AFRICAN DEVELOPMENT

''The United States is more concerned with international terrorism while Africa is obsessed with domestic terrorism. The question which the United States should reflect upon is that why is it that the United States is considered a legitimate target for attack by terrorists? In the answer probably lies the key to solving the problem. It is a pity that terrorism as a field of inquiry is yet to be taken up by actual victims of terrorism. The inquiry has been monopolised by scholars from societies which at most have suffered one or two bomb attacks. This erodes the realities of the subject as would be perceived by the actual victims of terrorism whose lives have seen nothing but sufferings. Selective sampling will always as a rule provide wrong premise. Today the world knows what took place in Auschwitz from the victims who went through the extermination camps during the Holocaust.[1] We are yet to get first hand experience of terrorism from those who had lived and experienced it in Vietnam, Afghanistan, Iraq, Nicaragua etc. documented with the same intensity as the world had documented the holocaust.

Why do Muslims’ eyes fill with tears when they watch on TV fighter bombers of the United States Army raining bombs on Iraq and Afghanistan; or Israel American made fighter bombers raining bombs on refugee camps in Gaza. Why do some Muslims rejoice sometimes with chants of ‘Takbir Allahu Akbar’ when a suicide bomber strikes? Why some Muslims do not show remorse when a suicide bomber kills? Why is it that we now have ‘refuseniks’ - soldiers in the Israel Defence Force (IDF) who refuse to kill for unjustified cause? This belief is also encroaching into the United States forces in Iraq. Why a suicide bomber is romanticised in certain parts of the world and is rejoiced as a hero while an American soldier is seen as a villain?

The United States should reflect on these sentiments. Reasons for the reign of terror in Kenya, Uganda and Zanzibar, Rwanda and other places are known. The United States with its array of social scientists and research centres should be able to come up with conclusive findings on the root cause of terrorism and why America has become a terrorist target. Post-independence Kenya has experienced bomb attacks when in 1975 a bus stand was bombed in Nairobi followed by another bomb attack on Norfolk Hotel in 1980.[2] Mtwara a small town in southern Tanzania was bombed several times by Portuguese war planes during the struggle for liberation of Mozambique. Neither Kenya nor Tanzania internationalised the bombing of its territory because both countries knew why they were under attack. Tanzania was being attacked by the Portuguese with the cognisance of the United States because it was the springboard for guerrillas fighting White supremacy and foreign domination in Mozambique, Angola Namibia and South Africa. Is it really difficult for the United States to know why it is now being targeted?''

Hapo juu ni utangulizi wa mada yangu Chuo Kikuu Cha Ibadan kuhusu Ugaidi. Haya maneno yaliwaudhi sana Wamarekani na wakaleta taarifa Dar es Salaam kuhusu, ''Terrorist Sympathiser,'' na passport yangu ikawekwa alama ya siri kwa sifa hiyo ikawa nataabishwa kila ninaposafiri. Kisa kuwakumbusha mauaji ambayo US imefanya kwingi duniani. Hawa ndiyo Wamarekani ambao leo wanatahadharisha raia wao kuhusu ugaidi.
 
Ndugu zangu US ingeshauriwa ijitizame na ijirekebishe.
Ingia hapo chini:

Mohamed Said: ISLAM, TERRORISM AND AFRICAN DEVELOPMENT

[7:53 PM, 12/27/2018] Mohamed Said: The United States is more concerned with international terrorism while Africa is obsessed with domestic terrorism. The question which the United States should reflect upon is that why is it that the United States is considered a legitimate target for attack by terrorists? In the answer probably lies the key to solving the problem. It is a pity that terrorism as a field of inquiry is yet to be taken up by actual victims of terrorism. The inquiry has been monopolised by scholars from societies which at most have suffered one or two bomb attacks. This erodes the realities of the subject as would be perceived by the actual victims of terrorism whose lives have seen nothing but sufferings. Selective sampling will always as a rule provide wrong premise. Today the world knows what took place in Auschwitz from the victims who went through the extermination camps during the Holocaust.[1] We are yet to get first hand experience of terrorism from those who had lived and experienced it in Vietnam, Afghanistan, Iraq, Nicaragua etc. documented with the same intensity as the world had documented the holocaust.

Why do Muslims’ eyes fill with tears when they watch on TV fighter bombers of the United States Army raining bombs on Iraq and Afghanistan; or Israel American made fighter bombers raining bombs on refugee camps in Gaza. Why do some Muslims rejoice sometimes with chants of ‘Takbir Allahu Akbar’ when a suicide bomber strikes? Why some Muslims do not show remorse when a suicide bomber kills? Why is it that we now have ‘refuseniks’ - soldiers in the Israel Defence Force (IDF) who refuse to kill for unjustified cause? This belief is also encroaching into the United States forces in Iraq. Why a suicide bomber is romanticised in certain parts of the world and is rejoiced as a hero while an American soldier is seen as a villain?

The United States should reflect on these sentiments. Reasons for the reign of terror in Kenya, Uganda and Zanzibar, Rwanda and other places are known. The United States with its array of social scientists and research centres should be able to come up with conclusive findings on the root cause of terrorism and why America has become a terrorist target. Post-independence Kenya has experienced bomb attacks when in 1975 a bus stand was bombed in Nairobi followed by another bomb attack on Norfolk Hotel in 1980.[2] Mtwara a small town in southern Tanzania was bombed several times by Portuguese war planes during the struggle for liberation of Mozambique. Neither Kenya nor Tanzania internationalised the bombing of its territory because both countries knew why they were under attack. Tanzania was being attacked by the Portuguese with the cognisance of the United States because it was the springboard for guerrillas fighting White supremacy and foreign domination in Mozambique, Angola Namibia and South Africa. Is it really difficult for the United States to know why it is now being targeted?

Haya maneno yaliwaudhi sana Wamarekani na wakaleta taarifa Dar es Salaam kuhusu, ''Terrorist Sympathiser,'' na passport yangu ikawekwa alama ya siri kwa sifa hiyo ikawa nataabishwa kila ninaposafiri. Kisa kuwakumbusha mauaji ambayo US imefanya kwingi duniani. Hawa ndiyo Wamarekani ambao leo wanatahadharisha raia wao kuhusu ugaidi.
kuna watu hawatokuelewa mzee, ila umeongea ukweli.
 
Yameshakuwa hayo tena....hawa watu inahitaji upeo wa juu sana kujua dhumuni lao hasa.

Maana wanaanzaga mbali sana.!
Kwa mwendo tunaoenda nao na kauli ya Rais Magufuli kuwa tumuombee sishangai kuyaona haya. Lazima wangeibuka tu na kutu-BLOCK. Tukiwa pamoja tutahimili vishondo vyao, ila sasa manyang'au ni wengi sana ambao tunao hapa nchini. Allah tutangulie kwani hujawahi kushindwa...wanaotupakazia ugaidi washindwe na walegee...
 
iko siku mtaelewa tu.sasa hivi hamuelewi kwasabu mmekunywa maji ya bendera na vizazi vyenu
Kwa mtanzania halisi kupakaziwa ugaidi sio jambo la kushangilia. Nyie mtakuwa mawakala wa mabepari...
 
To hell with them, hata wamarekani wote na wazungu wasipokuja, it’s ok, hii warning ni utekelezaji wa mpango huu, hivyo they can just go to hell as long as tuna rafiki wa kweli Mchina, tukimkaribisha Mchina kwa bidii, anatosha
P
unge andika kichina kama kweli una mpango na hao wachina lkn una andika kizungu kuwapinga wazungu ni kichekesho
 
Back
Top Bottom