Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,639
Wasenge sana hawa jamaa watuache wao waendelee kufilana maana ndo michezo yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Idara yetu ya Usalama wa Taifa ingekuwa Vizuri kuna mambo yasingweza kutokea au kama yalivyotokea nafikiri tungekuwa tumeishapata ufumbuzi na Hatua kali kuchukuliwa kwa wahusikaSijui chanzo cha hii taarifa(validity yake) though jambo hili linaleta ukakasi kwenye intelligence yetu. Kama jambo hili ni kweli basi kuna haja ya kuhoji efficiency ya idara yetu ya usalama wa Taifa kama organ iliyopewa jukumu la kutulinda kwa kubaini viashiria vyote vya uvunjifu wa amani.
Mungu atuepushe kama hii taarifa ni ya kweli
Unaweza kuta wewe uliyeyaandika haya huo mchezo unaoukemea kwa maneno hayo ndio hasa unaoufanya kila siku maana upo ulipo mpo wengi mnaoupenda mchezo huo na ndio maana uwezo wenu mdogo sana wa kujenga hoja.Wasenge sana hawa jamaa watuache wao waendelee kufilana maana ndo michezo yao.
Ninachokisema mimi sitetei haya matukio lakini usisahau Marekani kila mwezi watu weusi wanauawa na polisi hivyo wanatakiwa kuwa wa mwisho kutusema sisi lakini wenzetu wengine humu kwasababu wanaichukia serikali basi wanaona ni sawa tu tutangazwe vibaya.
Mshikamane na naniUnasema kweli kabisa. Hawa jamaa ndio waliomtengeneza Osama, ndio walioanzisha kundi la ISLAMIC STATES. Inabidi kila mwananchi awe mlinzi wa nchi hii kwani vita vya kiuchumi vina namna yake ya kupigana. Na hii ni vita rahisi kama tutashikamana kama taifa. Wanaotumiwa tutawasubiria 2020.
mkuu hivi unajua balozi wa ulaya alitimuliwa? wamefanya nini hadi sasa?Huwezi kuhoji balozi wa Burundi utaweza wa beberu
Yani mnataka mabeberu wapande madege yenu???Mabeberu bwana wameshaanza mambo yao, Serengeti watakuja tu kwani Simba watawaona wapi zaidi ya Serengeti? tena sasa hivi tuna madege yatawaleta mpaka KIA pale msihofu..
kuna watu hawatokuelewa mzee, ila umeongea ukweli.Ndugu zangu US ingeshauriwa ijitizame na ijirekebishe.
Ingia hapo chini:
Mohamed Said: ISLAM, TERRORISM AND AFRICAN DEVELOPMENT
[7:53 PM, 12/27/2018] Mohamed Said: The United States is more concerned with international terrorism while Africa is obsessed with domestic terrorism. The question which the United States should reflect upon is that why is it that the United States is considered a legitimate target for attack by terrorists? In the answer probably lies the key to solving the problem. It is a pity that terrorism as a field of inquiry is yet to be taken up by actual victims of terrorism. The inquiry has been monopolised by scholars from societies which at most have suffered one or two bomb attacks. This erodes the realities of the subject as would be perceived by the actual victims of terrorism whose lives have seen nothing but sufferings. Selective sampling will always as a rule provide wrong premise. Today the world knows what took place in Auschwitz from the victims who went through the extermination camps during the Holocaust.[1] We are yet to get first hand experience of terrorism from those who had lived and experienced it in Vietnam, Afghanistan, Iraq, Nicaragua etc. documented with the same intensity as the world had documented the holocaust.
Why do Muslims’ eyes fill with tears when they watch on TV fighter bombers of the United States Army raining bombs on Iraq and Afghanistan; or Israel American made fighter bombers raining bombs on refugee camps in Gaza. Why do some Muslims rejoice sometimes with chants of ‘Takbir Allahu Akbar’ when a suicide bomber strikes? Why some Muslims do not show remorse when a suicide bomber kills? Why is it that we now have ‘refuseniks’ - soldiers in the Israel Defence Force (IDF) who refuse to kill for unjustified cause? This belief is also encroaching into the United States forces in Iraq. Why a suicide bomber is romanticised in certain parts of the world and is rejoiced as a hero while an American soldier is seen as a villain?
The United States should reflect on these sentiments. Reasons for the reign of terror in Kenya, Uganda and Zanzibar, Rwanda and other places are known. The United States with its array of social scientists and research centres should be able to come up with conclusive findings on the root cause of terrorism and why America has become a terrorist target. Post-independence Kenya has experienced bomb attacks when in 1975 a bus stand was bombed in Nairobi followed by another bomb attack on Norfolk Hotel in 1980.[2] Mtwara a small town in southern Tanzania was bombed several times by Portuguese war planes during the struggle for liberation of Mozambique. Neither Kenya nor Tanzania internationalised the bombing of its territory because both countries knew why they were under attack. Tanzania was being attacked by the Portuguese with the cognisance of the United States because it was the springboard for guerrillas fighting White supremacy and foreign domination in Mozambique, Angola Namibia and South Africa. Is it really difficult for the United States to know why it is now being targeted?
Haya maneno yaliwaudhi sana Wamarekani na wakaleta taarifa Dar es Salaam kuhusu, ''Terrorist Sympathiser,'' na passport yangu ikawekwa alama ya siri kwa sifa hiyo ikawa nataabishwa kila ninaposafiri. Kisa kuwakumbusha mauaji ambayo US imefanya kwingi duniani. Hawa ndiyo Wamarekani ambao leo wanatahadharisha raia wao kuhusu ugaidi.
Punguza jazba usiwapangie watu hisia.Watanzania tuwapumbavu sana yaan mnafurahia propaganda za america kwa interest zake
Wakibanwa anaomba tushikamane wakati wanawapiga risasi kina Lissu wanasema wasaliti.Mshikamane na nani
Kwa mwendo tunaoenda nao na kauli ya Rais Magufuli kuwa tumuombee sishangai kuyaona haya. Lazima wangeibuka tu na kutu-BLOCK. Tukiwa pamoja tutahimili vishondo vyao, ila sasa manyang'au ni wengi sana ambao tunao hapa nchini. Allah tutangulie kwani hujawahi kushindwa...wanaotupakazia ugaidi washindwe na walegee...Yameshakuwa hayo tena....hawa watu inahitaji upeo wa juu sana kujua dhumuni lao hasa.
Maana wanaanzaga mbali sana.!
Kwa mtanzania halisi kupakaziwa ugaidi sio jambo la kushangilia. Nyie mtakuwa mawakala wa mabepari...iko siku mtaelewa tu.sasa hivi hamuelewi kwasabu mmekunywa maji ya bendera na vizazi vyenu
Unaweza kumfukuza balozi.mkuu hivi unajua balozi wa ulaya alitimuliwa? wamefanya nini hadi sasa?
Siraha ya maskini ni ujasiri.
unge andika kichina kama kweli una mpango na hao wachina lkn una andika kizungu kuwapinga wazungu ni kichekeshoTo hell with them, hata wamarekani wote na wazungu wasipokuja, it’s ok, hii warning ni utekelezaji wa mpango huu, hivyo they can just go to hell as long as tuna rafiki wa kweli Mchina, tukimkaribisha Mchina kwa bidii, anatosha
P