Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo wako kimyaa kama wamepigwa shoti vile.Walisema Tanzania... Hawakutoa warning ya Kenya... Bavicha wakawa wanarukaruka kwa furaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimenuka!
Hatari sana, jirani zetu wanasumbuliwa sana na hao wadudu...
Hiyo ni taarifa ya balozi wa USA nchini akiwapa alert wamarekani wanaotembelea Tz,Je ulifuatilia Taarifa ya balozi wa USA nchini kenya?Haya sasa travel advisory inatolewa kwa nchi nyingine na mashambulizi yanatokea kwingine, tupunguze siasa kwenye mambo ya muhimu.
Hawana balozi TZ kwa mpaka sasa, hao walichanganya siasa, ushoga na ugaidi wa Kibiti kwenye taarifa yao na watu wakaanza kushabikia, sasa ukisikia ugaidi wenyewe ndio huo unaotokea hivi sasa kwa jirani....Hiyo ni taarifa ya balozi wa USA nchini akiwapa alert wamarekani wanaotembelea Tz,Je ulifuatilia Taarifa ya balozi wa USA nchini kenya?
Nani amekwambia hawana balozi Tz?Hawana balozi TZ kwa mpaka sasa, hao walichanganya siasa, ushoga na ugaidi wa Kibiti kwenye taarifa yao na watu wakaanza kushabikia, sasa ukisikia ugaidi wenyewe ndio huo unaotokea hivi sasa kwa jirani....
Kama unamjua hebu mtaje hapa kwa jina...Nani amekwambia hawana balozi Tz?
idadi ya vifo bado?Hatari sana, jirani zetu wanasumbuliwa sana na hao wadudu...
Inmi Patterson!Kama unamjua hebu mtaje hapa kwa jina...
Kuna njia nyingi za kutoa warning, kama ni wazuri katika propaganda basi pia ni wazuri katika kutengeneza matukio, nyie wapeni loopholes tu.Usisahau American's wapo vizuri sana kuunda propaganda's na wakatumia international media zao kuuaminisha ulimwengu... ugaidi upi unaouona wewe hapa? Ushawahi sikia kwenye mkusanyiko wowote wa watu hapa Tz bomu zimelipuliwa au shootings zimefanyika na kuua halaiki ya watu hapana...
Americans have enemies everywhere...
Cc: mahondaw
Hahaha,Inmi Patterson!
UpoHawa ni wa kufukuza, wanajaribu kuleta taharuki za kijinga kwa kila nchi inayowakataa
**** the Americans.
Nipo mkuu.
Baada ya tukio la kenya bado tuendelee kuwaamini hawa US?Waliotwanga hizo risasi wote walikamatwa. Hapa je?
Baada ya tukio la kenya bado tuendelee kuwaamini hawa US?