Marekani yawatahadharisha raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania dhidi ya Ugaidi na uhalifu

Marekani yawatahadharisha raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania dhidi ya Ugaidi na uhalifu

Haya sasa travel advisory inatolewa kwa nchi nyingine na mashambulizi yanatokea kwingine, tupunguze siasa kwenye mambo ya muhimu.
 
Haya sasa travel advisory inatolewa kwa nchi nyingine na mashambulizi yanatokea kwingine, tupunguze siasa kwenye mambo ya muhimu.
Hiyo ni taarifa ya balozi wa USA nchini akiwapa alert wamarekani wanaotembelea Tz,Je ulifuatilia Taarifa ya balozi wa USA nchini kenya?
 
Hiyo ni taarifa ya balozi wa USA nchini akiwapa alert wamarekani wanaotembelea Tz,Je ulifuatilia Taarifa ya balozi wa USA nchini kenya?
Hawana balozi TZ kwa mpaka sasa, hao walichanganya siasa, ushoga na ugaidi wa Kibiti kwenye taarifa yao na watu wakaanza kushabikia, sasa ukisikia ugaidi wenyewe ndio huo unaotokea hivi sasa kwa jirani....
 
Hawana balozi TZ kwa mpaka sasa, hao walichanganya siasa, ushoga na ugaidi wa Kibiti kwenye taarifa yao na watu wakaanza kushabikia, sasa ukisikia ugaidi wenyewe ndio huo unaotokea hivi sasa kwa jirani....
Nani amekwambia hawana balozi Tz?
 
Usisahau American's wapo vizuri sana kuunda propaganda's na wakatumia international media zao kuuaminisha ulimwengu... ugaidi upi unaouona wewe hapa? Ushawahi sikia kwenye mkusanyiko wowote wa watu hapa Tz bomu zimelipuliwa au shootings zimefanyika na kuua halaiki ya watu hapana...

Americans have enemies everywhere...


Cc: mahondaw
Kuna njia nyingi za kutoa warning, kama ni wazuri katika propaganda basi pia ni wazuri katika kutengeneza matukio, nyie wapeni loopholes tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Tanzania ndio Kenya? Pathetic. Matrona at her best against human gambling
 
Marekani imewaonya wapenzi wa jinsia moja (Mashoga) kuchukua tahadhari kubwa wawapo Tanzania kutokana na vitisho wanavyoweza kukumbana navyo wawapo katika nchi hiyo.

Shaurihilo linakuja kama kiashiria kwamba utawala wa Rais Donald Trump unaendelea kuunga mkono zoezi lililoanzishwa enzi za Obama la kuwatetea Waafrika wanaoshiriki mapenzi ya jisnia moja kama Mashoga na malesbian.

Aidha, idara hiyo imefafanua kuwa watu wa jamii ya LGBTI wamekuwa wakikamatwa wakidhalilishwa, kuteswa na kushitakiwa kwa makosa yasiyo halisi. alisema alipokuwa akiongea na wasafiri wanaokuja Tanzania.

Aliongeza kuwa watu wanaohisiwa kuhusika katika mapenzi ya jinsia moja (ushoga) hufanyiwa vipimo vya maungo yao ya siri kwa lazima.

Shauri hilo linakuja baada ya mwaka mmoja kupita Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kutangaza oparesheni maalumu ya kuwakamata watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja.

Katika hatua nyingine, Marekani imeonya kuwa vikundi mbalimbali vya kigaidi vinaendelea kupanga njama mbalimbali za kuivamia Tanzania huku wakilenga katika Balozi mbalimbali, misikiti na sehemu mbalimbali zinazopitiwa na watu wa Magharibi.

1575433368234.png

ZAIDI SOMA:

The US State Department on Tuesday urged travelers to Tanzania to “exercise increased caution” due in part to threats that gay people may experience there.

The advisory comes as another indication that the Trump administration is not abandoning the Obama-era practice of speaking out on behalf of lesbian, gay, bisexual, transgender and intersex Africans.

“Members of the LGBTI community have been arrested, targeted, harassed, and/or charged with unrelated offenses,” the State Department said in an updated advisory on travel to Tanzania.

“Individuals detained under suspicion of same-sex sexual conduct could be subject to forced anal examinations.”

The advisory comes about a year after Paul Makonda, regional commissioner of Dar es Salaam and an ally of President John Magufuli, announced last year that a newly formed surveillance squad would scrutinise social media in order to identify and arrest same-sex couples.

Additionally, the advisory also warns that “terrorist groups continue plotting possible attacks in Tanzania” in a addition to prevalence of violent crimes.

"Terrorists may attack with little or no warning, targeting embassies, police stations, mosques, and other places frequented by Westerners," it said.

The US had issued a Tanzania travel warning in September that focused on an alleged case of Ebola. Government officials, however, subsequently denied that the disease was present in the country, and the new State Department advisory makes no mention of Ebola.


Source: Daily Nation
 
Back
Top Bottom