Bujibuji mafuriko
Member
- Aug 5, 2022
- 88
- 119
Ni balaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Gesti umelipia,Mchezo umelipia halafu unapangiwa pa kumwagia
Sasa kwa sababu hujui ndio usifanye jitihada zozote za kujitoa huko?
Wewe ni mtumwa wa wazungu na unastahili kuhurumiwa na kusamehewa bure!! Unawasujudia sana watu weupe!! Sishangai sana kwa kuwa huko kwenu Kenya "masetla" wa kizungu ndo bado wanashamba makubwa na wakenya hufanya kazi kwenye mashamba hayo kwa ujira kiduchu kama watumwa!Mzungu anakusaidia kujitoa ila kila siku unamtukana na kumtunishia misuli ambayo yenyewe hauna, hata huyo mwarabu wenu hutegemea sana mzungu kwenye akili na maujanja yote, kazi yetu kuzaliana tu na kulalamika kila siku.
Muundo mbinu gani hapo Tanzania umesimamishwa na mweusi bila uhusika wa ngozi nyeupe tangu uhuru.
Unazugumzia vikwazo vipi? Umoja wa mataifa haujaidhinisha vikwazo vya kutonunua mafuta ya urusi. Hilo haliwezakani maana Urusi na China wangepiga kura ya Veto!Watu mnashindwa kuelewa kwamba hivyo vikwazo vimehidhinishwa na UN hivyo kila taifa linawajibika kuvitekeleza
Wapuuzi sana wazungu!! Mpaka leo wananunua nmafuta ya urusi japo wanadai mwishoni mwa mwaka huu wataacha kununua. Lakini Gesi bado wanaililia! Halafu waafrika wanaambia ni marufuku kununua mafuta ya urusi japo wanayahitaji sana! Marekani na wapambe wake ni mawakala wa shetani!!Alafu wao wanayanunua
Sisi nchi imefungua, tuagize mafuta, tz haiwezi tishwa na MarekaniMarekani imezitisha nchi za afrika zisinunue kabisa mafuta ya urusi!. Zinaruhusiwa kununua ngano na mbolea lakini ziachane na mafuta maana marekani imeyawekea vikwazo.
Swali: Je kuna nchi ya afrika itakayoweza kushupaza shingo na kununua mafuta ya Urusi? Labda Afrika ya kusini inaweza kumkomalia marekani na kusema haikubali kuingiliwa uhuru wake!
Kitisho kama hicho marekani alikitoa kwa India na China halafu ndo kwanza wakazidisha kununua mafuta na gesi ya urusi maradufu!!
Africa can buy Russian grain but risks actions on oil, says US
Washington’s ambassador to the UN has said that African nations are free to buy grain from Russia but could face consequences if they trade in US-sanctioned commodities such as Russian oil.
“Countries can buy Russian agricultural products, including fertiliser and wheat,” Linda Thomas-Greenfield said at a news conference in the Ugandan capital, Kampala, after a meeting with President Yoweri Museveni.
“We have no sanctions on any agricultural products coming out of Russia,” she added.
“If a country decides to engage with Russia where there are sanctions then they are breaking those sanctions. We caution countries not to break those sanctions because then if they do they stand the chance of having actions taken against them for breaking those sanctions.” (Source- Aljazeera).
Sisi hapa Tz sijui kama tunaweza kuwa na msimamo unaoangalia maslahi yetu tu bila kuangalia vitisho vya mabeberu!! Tatizo tunakopa mno, halafu hawakupi mkopo wote, wanakupa kidogo kidogo kwa kadri unavyozidi kuwaramba miguu na kuitikia "hewala bwana!".
Wewe ni mtumwa wa wazungu na unastahili kuhurumiwa na kusamehewa bure!! Unawasujudia sana watu weupe!! Sishangai sana kwa kuwa huko kwenu Kenya "masetla" wa kizungu ndo bado wanashamba makubwa na wakenya hufanya kazi kwenye mashamba hayo kwa ujira kiduchu kama watumwa!
Kwani tukinunua mafuta watatufanya nini ? kwani kununua mafuta ni dhambi ....dawa ni bara zima la afrika kufunga barozi za USA, UK,FRANCE hizo nchi ni hasara kuwa na urafiki nazoMarekani imezitisha nchi za afrika zisinunue kabisa mafuta ya urusi!. Zinaruhusiwa kununua ngano na mbolea lakini ziachane na mafuta maana marekani imeyawekea vikwazo.
Swali: Je kuna nchi ya afrika itakayoweza kushupaza shingo na kununua mafuta ya Urusi? Labda Afrika ya kusini inaweza kumkomalia marekani na kusema haikubali kuingiliwa uhuru wake!
Kitisho kama hicho marekani alikitoa kwa India na China halafu ndo kwanza wakazidisha kununua mafuta na gesi ya urusi maradufu!!
Africa can buy Russian grain but risks actions on oil, says US
Washington’s ambassador to the UN has said that African nations are free to buy grain from Russia but could face consequences if they trade in US-sanctioned commodities such as Russian oil.
“Countries can buy Russian agricultural products, including fertiliser and wheat,” Linda Thomas-Greenfield said at a news conference in the Ugandan capital, Kampala, after a meeting with President Yoweri Museveni.
“We have no sanctions on any agricultural products coming out of Russia,” she added.
“If a country decides to engage with Russia where there are sanctions then they are breaking those sanctions. We caution countries not to break those sanctions because then if they do they stand the chance of having actions taken against them for breaking those sanctions.” (Source- Aljazeera).
Sisi hapa Tz sijui kama tunaweza kuwa na msimamo unaoangalia maslahi yetu tu bila kuangalia vitisho vya mabeberu!! Tatizo tunakopa mno, halafu hawakupi mkopo wote, wanakupa kidogo kidogo kwa kadri unavyozidi kuwaramba miguu na kuitikia "hewala bwana!".
Yeye ananunua hadi mafuta na nchi zote za NATO zinalilia gesi ya urusi ...sasa anatuambia sisi tusinunue mafuta ya bei nafuu kisa nini ...uchumi wa soko hulia hupo wapi hapoPambafu zake kwa kuwa mbolea na ngano yeye ananunua ndio tununue ,asichonunua nasisi tusinunue .
UN gani? hivi unajua hiyo UN ndio walishiriki kumuua Patrice Lumumba?Watu mnashindwa kuelewa kwamba hivyo vikwazo vimehidhinishwa na UN hivyo kila taifa linawajibika kuvitekeleza
Tukisema Putin anapambana na jamaa hawa ili kuinusuru Dunia dhidi ya udhalimu wao,baadhi Ta JF members hatuelewi kabisa,wanafikiri tuna chuki binafsi dhidi ya Uncle SAM kumbe....
Yaani ugomvi wao wa siku nyingi tangu mwaka 1917 ndio wanataka kulazimisha Dunia yote iwachukie na kuwatenga Warusi iliwadhi malengo ya kisasa ya kutaka kuitawala Dunia kwa mabavu - Warusi na Wachina wakitaka kukomesha ujinga huu,mnaona wabaya ah hawajui wafanyalo!!
Haya mambo ya Ukraine na Taiwan ni gheresha tu za kutaka kutumia mataifa hayo kama battle ground ya kuwatumia watu wengine kupigana vita kwa niaba ya Merikani - lengo hasa ni mbinu za kuziharibu kiuchumi Urusi na China na kuzidhoofisha kijeshi bila ya Amerika kushiriki moja kwa moja kwenye mapigano ya vita.