Marekani yazuia silaha kwenda Israeli. Ni vilio kila kona kwa wanasiasa wa Marekani wanaofadhiliwa na Taasisi ya AIPAC

Rais Joe Biden ametoa msimamo wake kuwa Marekani haitakuwa tayari kupeleka silaha Israel endapo Israel itaendelea na mpango wake wa kuvamia eneo la Rafah huko Gaza.

Tamko hili limemtoa nyoka pangoni ambapo imedhihirika bayana kuwa wabunge wengi wamepinga jambo hilo huku ikibainika kuwa wabunge hao walipokea mamilioni ya dola kutoka katika taasisi ya AIPAC ambayo ina ushawishi mkubwa sana kwenye taifa la marekani. Fedha hizo ndio huwawezesha kushinda uchaguzi na kuapa kuwa watakua upande wa Israeli kwa namna yeyote ile. Mambo yote hadharani.
Wananchi wa marekani wameshikwa na hasira sana baada ya kugundua kuwa bunge la marekani lipo mfukoni mwa hiyo Taasisi ambayo nayo haikuficha imeweka wazi kila kitu. Wamarekani wanajiuliza kati ya israeli na marekani nani anapaswa kupewa kipaumbele?
Naona mpasuko mkubwa sana katika siasa za marekani kwa siku za mbele hasa baada ya jambo hili kujulikana.

Israel kabaki njiapanda hajui afanye nini kwa sasa anategemea huruma za Joe Biden na wabunge huo kupiga kelele ili aweze kupatiwa mabomu hayo kwenda kuuwa watoto huko Rafah.

Hili ni somo kubwa sana kwa Israel kuwa usitegemee kula ukanye kwenye choo cha jirani mwenyewe akikataa unajinyea.
Kaulimbiu:
Nyumba ni Choo!
 
Hamas wanalialia huko.....​

Hamas says Israel move on Rafah aims to ‘obstruct’ truce talks​

A Hamas official accuses Israel of carrying out incursions in Gaza’s southernmost city of Rafah to block talks seeking a truce in the seven-month war in the Palestinian territory.
Israel’s military operations in Rafah and its border crossing “aim to obstruct the efforts of the mediators”, Hamas official Izzat al-Rishq said in a statement.
Hamas, however, was still committed to “accepting the (ceasefire) proposal presented by the mediators”, he said.
 
Wewe hujui mambo ya geopolitics. Ulitaka uelezwe wazi kuwa ataendelea kupeleka? Elewa kuwa bond kati ya Israel na Marekani ni unbreakable.
Kwahiyo wewe wa mburahati ndio unayejua kuliko netanyahu anayelalamika, kweli kila mtu na akili zake
 
Joe Biden alichosema hataidhinisha kupeleka Israel silaha za kufanya operation Kubwa ndani ya Rafah bali itaipa Silaha za kujilinda!
 
Rais Joe Biden ametoa msimamo wake kuwa Marekani haitakuwa tayari kupeleka silaha Israel endapo Israel itaendelea na mpango wake wa kuvamia eneo la Rafah huko Gaza.

Tamko hili limemtoa nyoka pangoni ambapo imedhihirika bayana kuwa wabunge wengi wamepinga jambo hilo huku ikibainika kuwa wabunge hao walipokea mamilioni ya dola kutoka katika taasisi ya AIPAC ambayo ina ushawishi mkubwa sana kwenye taifa la marekani. Fedha hizo ndio huwawezesha kushinda uchaguzi na kuapa kuwa watakua upande wa Israeli kwa namna yeyote ile. Mambo yote hadharani.
Wananchi wa marekani wameshikwa na hasira sana baada ya kugundua kuwa bunge la marekani lipo mfukoni mwa hiyo Taasisi ambayo nayo haikuficha imeweka wazi kila kitu. Wamarekani wanajiuliza kati ya israeli na marekani nani anapaswa kupewa kipaumbele?
Naona mpasuko mkubwa sana katika siasa za marekani kwa siku za mbele hasa baada ya jambo hili kujulikana.

Israel kabaki njiapanda hajui afanye nini kwa sasa anategemea huruma za Joe Biden na wabunge huo kupiga kelele ili aweze kupatiwa mabomu hayo kwenda kuuwa watoto huko Rafah.

Hili ni somo kubwa sana kwa Israel kuwa usitegemee kula ukanye kwenye choo cha jirani mwenyewe akikataa unajinyea.
  1. People in the southern Gaza city of Rafah say Israeli shelling continues, with tanks massed near built-up areas.
  2. The UN agency for Palestinian refugees says 80,000 people have left the area since Monday, when Israel warned people to evacuate.
 
Jibu ni moja tu kwasasa marekani kazuia kupeleka silaha israeli kutokana na kukaidi katazo la marekani haya mengine ni mbwembwe tu.
 
Hamas wanalialia huko.....​

Hamas says Israel move on Rafah aims to ‘obstruct’ truce talks​

A Hamas official accuses Israel of carrying out incursions in Gaza’s southernmost city of Rafah to block talks seeking a truce in the seven-month war in the Palestinian territory.
Israel’s military operations in Rafah and its border crossing “aim to obstruct the efforts of the mediators”, Hamas official Izzat al-Rishq said in a statement.
Hamas, however, was still committed to “accepting the (ceasefire) proposal presented by the mediators”, he said.
Jibu ni moja tu kwasasa Biden kazuia kupeleleka silaha Israeli na wanaolialia na kumuita Biden kuwa ni Hamas ni hao viongozi wa israeli. Hayo mengine ni mbwembwe tu.
 
Kama unaambiwa na bado unakaidi utapigwa tu.
 
Kwani Israel si ndio taifa lenye akili kubwa ya ugunduzi na wababe wa vita Taifa la mungu litapataje tabu mungu atawashushia bunduki na mabomu kutoka angani.
 
Back
Top Bottom