Maria Sarungi aendesha mkutano ulioshirikisha zaidi ya watu elfu sita mtandaoni

Changamoto ni katika kutafsiri harakati za mitandaoni kuwa uhalisia "mtaani." Lissu ametoa wito kwa watu kuingia mtaani, nani kajitokeza? Imagine "maelfu wa Spaces" wangeibuka police station...
Tungeingia mpaka ikulu kislow misheni yan
 
Mkishapiga porojo huko SPACE ndio mnabadilisha nini?
 
Waambie wakafanye na ujinga wao kwa Majizi ndani ya maccm. Eti undercover 😂😂😂😂 kungekuwa na hao undercover baada ya miaka 60 ya uhuru nchi iliyojaliwa utajiri mkubwa ingekuwa imepaa mbali sana. Wachumia tumbo tu hao wako tayari kubambikia kesi ili tu mkono uende kinywani.

Wengine ni undercover tu, si kila mtu anakwenda kwa lengo la maria.
 
Kuwa makini tu na Puppets na Hackers

CCM ina uwezo wa kuweka mapandikizi humohumo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…