mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Mdau kifupi kirefu (a.k.a. mbilikimo wetu)....naomba nikuulize swali kidogo, hivi huyu Maria wakti Baba yake alipokuwa waziri alifanya nini la maana hapa nchini kwetu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masela wa Ngarenaro na Pandagochiza hawapo twitter
Mdau kifupi kirefu (a.k.a. mbilikimo wetu)....naomba nikuulize swali kidogo, hivi huyu Maria wakti Baba yake alipokuwa waziri alifanya nini la maana hapa nchini kwetu?
Changamoto ni katika kutafsiri harakati za mitandaoni kuwa uhalisia "mtaani." Lissu ametoa wito kwa watu kuingia mtaani, nani kajitokeza? Imagine "maelfu wa Spaces" wangeibuka police station...
These ephemeral, live audio conversations allow for open, authentic, and unfiltered discussions, and there's a Space for any and every topic and conversation, from small and intimate to millions of listenersSpace ni nini wandugu? Unajiungaje?
Kwa Tanzania yetu... Bado Sana.Changamoto ni katika kutafsiri harakati za mitandaoni kuwa uhalisia "mtaani." Lissu ametoa wito kwa watu kuingia mtaani, nani kajitokeza? Imagine "maelfu wa Spaces" wangeibuka police station...
Inabidi Maria Sarungi atie somoSpace ni nini wandugu? Unajiungaje?
Kuna shida gani kusikilizwa?, Si ndio kengo watu wasikilize?Hapo ndio failure ilipo, waliokuwa kwenye SPACE hao 6k ni akina nani?
Huenda wengine walikuwa Wasikilizaji tu. Waliochangia mada hawafiki 20.
Huenda wengine wako negative kabisa.
Shemasi alisema "wengine wapo humu wanasikiliza". Alikuwa sahihi
Shida si kusikikizwa au kutosikilizwa ni pale wanapo jenelolaizi kuwa wote walikuwa positive.Kuna shida gani kusikilizwa?, Si ndio kengo watu wasikilize?
Tunampenda shangazi Maria hadi tunaumwa[emoji847]
Unaongea utopolo tuu jasusi uchwara, unajikomba sana kwa Samia ili usamehewe urudi Tanzania, wahed
mtaji wenu ni watu wasiokuwa na uwezo wa kupata taarifa. msisahau teknolojia hairudi nyuma ipo siku hao masela tutawafikia.Masela wa Ngarenaro na Pandagichiza hawapo twitter