Maria Sarungi aendesha mkutano ulioshirikisha zaidi ya watu elfu sita mtandaoni

Maria Sarungi aendesha mkutano ulioshirikisha zaidi ya watu elfu sita mtandaoni

Kwa Tanzania hizi kitu huwa zinaishia huko huko space na hakuna uhalisi au matokeo chanya after.
 
aise ccm imenifanya nitapike kabisa kunakoendelea nitarudisha kadi nibaki bila bawa egemezi
 
Ushauri wa bure,kama hujaamua kwa dhati baki humohumo kwa ulishaamua kukubaliana na maharamia.
Mimi ctaki kua kama akina waitara
nikihama kazimoja mpaka kifo nikuichaingiaga chadema tu

Haiwezekani sisi tuseme katiba nizuri harafu tukatae wezetu ndgzetu wanaotaka kutuonesha ubovu watulichosema kizuri

nalitafakari
 
Sasa mambo ya kukuza uchumi na kukamatwa Mbowe ni wapi na wapi?

Wapinzani tafuteni hoja ya msingi ya kuitoa CCM madarakani sio kuruka ruka kama mbu nje ya neti.
 
Nlijaribu kujiunga kwa space nikashindwa sjui nlikosea wap
 
Watanzania wanajua kuongea sana ila sio kutenda
 
Je tume ya uchaguzi ipo huru? kwa kutumia ubongo wako je ipo huru
Hata kama,si tunaona kwenye vituo wazee wengi kuliko vijana,nyinyi ni wamitandaoni tu ila kupiga kura amsogei,mnalala kuamka saa kumi jioni.
 
Hii ni njia nzuri ya kuelimisha watu maana ya katiba mpya na wao. Wait 1,000 wakiwaelimisha wengine ni jambo jema.
 
Mimi hii ndiyo njia salama ambayo Vyama vya Upinzani vinge practice zaidi kudai Katiba Mpya kuliko kushinda wanagombana na Serikali kufanya mikutano na makongamano openly wakat wanajua Serikali ya CCM haiko tayari kusikia Katiba Mpya kwa hofu ya kuondolewa madarakani!
 
Hapo ndio failure ilipo, waliokuwa kwenye SPACE hao 6k ni akina nani?
Huenda wengine walikuwa Wasikilizaji tu. Waliochangia mada hawafiki 20.
Huenda wengine wako negative kabisa.
Shemasi alisema "wengine wapo humu wanasikiliza". Alikuwa sahihi

Sasa ulitaka wote waongee au wawe na msimamo km wake?
 
Back
Top Bottom