Na Lisu ana followers ziadi ya laki 6 ila wampuuza!Changamoto ni katika kutafsiri harakati za mitandaoni kuwa uhalisia "mtaani." Lissu ametoa wito kwa watu kuingia mtaani, nani kajitokeza? Imagine "maelfu wa Spaces" wangeibuka police station...
Chadema ni wajinga sana yani!Shida si kusikikizwa au kutosikilizwa ni pale wanapo jenelolaizi kuwa wote walikuwa positive.
Ndio maana unaweza kukadhani tuko wengi tuitishe maandamano na usione mtu, maana wengine hawakuwa wenu.
Kama unanielewa unanielewa na kama unajua hujui hujui
Aaah. Aisee. Nasikia diaspora wanarudi kutia nguvuNami pia niliudhuria [emoji16]
Sio lazima maandamano.Watu wakipata uelewa inatosha hayo mambo mengine yatakuja badae.Shida si kusikikizwa au kutosikilizwa ni pale wanapo jenelolaizi kuwa wote walikuwa positive.
Ndio maana unaweza kukadhani tuko wengi tuitishe maandamano na usione mtu, maana wengine hawakuwa wenu.
Kama unanielewa unanielewa na kama unajua hujui hujui
Thats the point. Wasiforce mambo yatokee leo.Sio lazima maandamano.Watu wakipata uelewa inatosha hayo mambo mengine yatakuja badae.
Wewe bado uko dunia ya enzi za kijima.sidhani kama unajua dunia inakoelekea kiteknolojia.Endelea kukariri maisha.Njooni kwenye battle huku road mnaleta mambo ya space kila mmoja kajificha chumbani kwake mwananchi wa kaiwaida nani anajua space.
CCM wameshapoteza political capital wamebakiza vijana wa SiroInawezekana kabisa kwa sababu muitikio wa Watanzania kwenye hii kitu ni mkubwa sana. Maccm ni lazima YAMENUNA na YANAWEWESEKA.
Wewe punguani kweli yaani kikundi cha wahuni mnakutana online mnakubaliana kila upuuzi ndiyo mnaona maoni ya watanzania wewe ambaye unajiona unajua kila kitu jikusanyeni muingie barabarani muone battle Mama yako atalia mpaka kesho.Wewe bado uko dunia ya enzi za kijima.sidhani kama unajua dunia inakoelekea kiteknolojia.Endelea kukariri maisha.
Yawezekana nusu ya hao watu hawako hata nchini.Changamoto ni katika kutafsiri harakati za mitandaoni kuwa uhalisia "mtaani." Lissu ametoa wito kwa watu kuingia mtaani, nani kajitokeza? Imagine "maelfu wa Spaces" wangeibuka police station.
Kipindi cha magu ulipotea sana mkuu.Wewe punguani kweli yaani kikundi cha wahuni mnakutana online mnakubaliana kila upuuzi ndiyo mnaona maoni ya watanzania wewe ambaye unajiona unajua kila kitu jikusanyeni muingie barabarani muone battle Mama yako atalia mpaka kesho.
hilo ni jinga number mojaWatafikishiwa ujumbe hata bungeni huwa wanakwenda wawakilishi wasiozidi 300.
Je tume ya uchaguzi ipo huru? kwa kutumia ubongo wako je ipo huruWafuasi elfu 6,wakiambiwa wajitokeze kupiga kura watakuja mia tano tu.bongo bana.
Nitoe ushamba mkuu hii space ni app inayopatikana play store ama iko ndani ya Twitter?Muda sio mrefu utasikia TCRA wanasema kuwa na forum kama Space lazima uwe umesajiriwa, kufanya mjadala space ni mpaka upewe kibali, maudhui ya mijadala ya space yanahatarisha amani nk.
CCM ni mashetani wakubwa.