Maria Sarungi alipewa na nani siri ya Ziara ya Rais Samia Nchini Marekani wiki moja kabla ya kutolewa Taarifa rasmi?

Hahaha mwashamba anataka ziara za rais anayetumia pesa za umma ziwe siri kama za wachawi! πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
safari hazijaanza bado. Kuna Royal Tour 2 inakuja, unalifahamu hilo?

Kuna mialiko kama 300 ya ki Rais duniani inangoja majibu.

Kuna mialiko ya vyuo vikuu kama 180 duniani vinangoja majibu,

Safari hazijaanza, huu mwaka wa kutimiza ilani yetu. Safari tukijaaliwa uhai zitaanza 2026+
 
Itakua waandaa mkutano wameweka list ya wageni mashuhuri! Ifike wakati visiri siri visivyo na umuhimu tuviache.

Mwaka fulani nilihitaji BIT kati ya Tanzania na nchi fulani nikaambiwa ni document ya siri! Yaani investment treaty kati ya TZ na foreign nation ni siri! Nilivyoenda ubalozi wa hiyo nchi walinipa Copy bila maswali!
 

Mpe elimu huyu chawa mama, kabla hajawa mwanga kamili!
 
Vyanzo vipo vingi..inawezekana huo alikokwenda(USA).. kule sio kizimkazi, ni kwa utaratibu maalum
 
Baada ya ile kauli ya Samia khs watu kutekwa na kuuawa, alimtuma VP kumuwakilisha huko USA kwenye mkutano, Chadema wakadai n amepigwa ban kukanyaga USA πŸ˜‚ leo cjui watasemaje
Cdm wanafanya mambo yake kwa vikao rasmi, kuna kikao chochote cdm wamekaa na kuzungumzia hili usemalo?
 
Nimekuelewa vyema.
 
Naona umebadilika siku za mwanzo ulikuwa unamponda mama samia kuwa mdhaifu mara useme hawezi vaa viatu vya magufuli,tunakujua ww humpendi mama unawaza UKUU WA WILAYA
 
Hata Mimi niliona post yake mapema wiki iliyopita kwamba eti wa huko Marekani waandae mabango maana Rais anakuja.

Kuna shida kubwa sana kwenye circe ya Rais na sijui kama Rais mwenyewe anafahamu kama Kuna watu wanavujisha Siri za Ikulu.

Nadhani safisha safisha iendelee.
 
Baada ya ile kauli ya Samia khs watu kutekwa na kuuawa, alimtuma VP kumuwakilisha huko USA kwenye mkutano, Chadema wakadai n amepigwa ban kukanyaga USA πŸ˜‚ leo cjui watasemaje
Anatembeza bakuli......aibu...alisema sisi hatupangiwi Taifa huru linajiendesha leo anaenda kuomba msaada round table....
 
Unamuuliza nani kocho wewe??hakika Shahawa zilizokuzaa heri zingemwagwa chooni tu
 
Wewe ongea unachomanisha, wacha kuwa kama kondoo wa kweli. Au ni kondoo wewe?

Msaidie kijana wako kujua kwamba ratiba ya rais ni public na imejaa muda wote except for emergencies tu, na kila mtanzania ana haki ya kujua habari za rais wake, regardless ni mpinzani au mccm, including Maria! Kondoo ndio kitu gani? Havina uhusiano na hoja au ushaanza dementia na wewe tuanze kuchukua tahadhari!?

Tatizo la vijana wa kileo wakiwa pale jalalani wakavalishwa tshirt za kijani wakimaliza kutoka na makarai yao wanafikiri wanajua kila kitu hadi security details za rais. Rais ni public property na hamna mwenye ownership nayo baelezee!πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…