Maria Sarungi alipewa na nani siri ya Ziara ya Rais Samia Nchini Marekani wiki moja kabla ya kutolewa Taarifa rasmi?

Naona umebadilika siku za mwanzo ulikuwa unamponda mama samia kuwa mdhaifu mara useme hawezi vaa viatu vya magufuli,tunakujua ww humpendi mama unawaza UKUU WA WILAYA

The same thing kwa kalemani na mtoto wa magufuli, huyu kijana anajua kutembea na upepo na kusoma wapi kuna chambichambi za kuishi aelekeze uchawa wake, hayupo consistent. Anajiita mzalendo, sidhani hata kama analipa kodi huyu
 
Roho inakuuuma Maria kakutangulia kutoa taarifa za mama kabla yako.

Chapa lapa huko!
 
Cdm wanafanya mambo yake kwa vikao rasmi, kuna kikao chochote cdm wamekaa na kuzungumzia hili usemalo?
Kwa mwaka kuna vikao vingapi na kwa mwaka wanafanya mambo mangapi kuzidi vikao?
Kwenda Hanang palipotokea land slide walikaa kikao?
 
Sasa kama tu ulikuwa huna Akili Chuoni Ilala nilikokuwa Nakufundisha na Kutwa ukawa Unajipendekeza Kwangu ili nikupe Marks (nikubebe Usifeli) leo hii utaweza kujua kuwa kuna Watu hawako Serikalini na katika System ila wana Taarifa zote za yanayoendelea huko?

Nani kakudanganya kuwa Udhibiti wa Taarifa za Ikulu ziwe na Usiri kwa Umma huwa unakuwa ni wa 100%? Mbona wengine tunajua kuwa wanakunywa sana Wines za Canada na Ufaransa na hata Afya zao si nzuri na husafiri kimya kimya kwa matibabu nchini Uingereza na China?

Bado tu una ile ile Diploma yako ya 2012 au ulijiendeleza na sasa nawe angalau una Kadigrii kako Kamoja kama Mimi Mwalimu wako Tukuka GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE?
 
Acha ujinga wako basi.....aliekuambia safari rasmi za Rais ni siri nani ? Tuachie upuuuzi wako na uchawa wa kitotooo kabisaaaa
 
Mbona unakuwa mshamba.
Travel itineraries zote duniani siyo siri hata ukienda na ndege binafsi.
😀😀😀 unajua watu huwa wanajianika wanapotaka kuleta ujuaji na utaalamu katika mambo wasiyoyajua. Mwashambwa anataka kuwa mshamba aisee
 
Acha ujinga wako basi.....aliekuambia safari rasmi za Rais ni siri nani ? Tuachie upuuuzi wako na uchawa wa kitotooo kabisaaaa

Anafikiri safari za rais ni kama za mama yake mzazi! Hizi sio private ni za umma na anaenda kwa maslahi ya umma sio zake binafsi hadi afiche na ajue mwashamba peke yake
 
Sawa Mkuu Mwandishi Nguli wa habari na Wakili Msomi.

Naomba kukuuliza swali.kwa hiyo na wewe ulikuwa na taarifa wiki moja kabla kuwa Mama yetu mpendwa atatua Marekani kesho?
No hapana, sio kila mwandishi na kila media zinakuwa na taarifa za ziara za rais, only media husika na waandishi husika,very unfortunately mimi si miongoni mwao,hivyo sikuwa na taarifa ya ziara ya rais Marekani, lakini tayari ninayo taarifa ya kutua Havana Cuba tarehe 6 November kushiriki kongamano la kimataifa la lugha ya Kiswahili ambayo mimi ni mdau Katika Kukuza Lugha Yetu Adhimu ya Kiswahili Kimataifa, Mnaonaje Rais Samia, Atumie Kiswahili, Kulihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa?.
P
 
Naona umebadilika siku za mwanzo ulikuwa unamponda mama samia kuwa mdhaifu mara useme hawezi vaa viatu vya magufuli,tunakujua ww humpendi mama unawaza UKUU WA WILAYA
Endelea na ujinga wako ambao wenye akili ya kijinga kama yako walishindwa.
 
Twambie kuanzia tumsikilize na kumuamini kati ya Maria Sarungi aliyesema rais atakuwa Marekani na ikawa na wewe uliyesema rais atakuwa Vwawa?
 
Ratiba ya Rais siyo public. Usijidanganye.

Public ni ile inayotangazwa tu.
 
Asante kwa majibu yako mazuri mheshimiwa.naomba kuuliza swali la nyongeza je media hupewa taarifa wiki moja kabla juu ya safari ya Mheshimiwa Rais?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…