Maria Sarungi apeleka ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania wakati wa Uchaguzi Mkuu

Kwani mahakama za ndani haziwezi kushughulikia hayo mpaka muende huko ICC?

Maana mpaka kesi ipelekwe huko maana yake ni mahakama za ndani kukosa uwezo wa kuendesha hayo mashitaka mfano Sudan(Darfur), DRC.
Uwezo wa kufikiri huyo dada ni mdogo sana! Anataka tu watu wajazani kwenye tweets zake ili aongeze followers kama alivyokuwa anafanya Mange! Lakini ni utopolo tu!
 
[emoji23][emoji23]dah! kweli tumefika mbali
 
Angekuwa nazo angeshaziweka hapo kitaaambo sanaaa. Anajifutmrahisha
Naijua ICC or Kwa maneno mengine Nimefanyakazi hapo Hakuna receipt uwa mtu anapewa, make my word. Kesi za Kenya, Pierre Bemba Plus Charles Tailors na wale Wababe wote wa Kivita toka Kongo Nilikuwepo. So Hakuna Receipt. Jinai sio leo wala kesho, Kama malalamiko yakiperekwa ICC, jua tu kuna siku kitawanukia watu na ni pale tu watakapotoka madarakani. Kwa sasa ni Raha tu Kumbuka; Yugoslavia/Sebia hakina Milosvic na Karadish plus many other....
 
Nimefanya kazi ICC Hakuna receipt uwa mtu anapewa....make my word..Kesi za Kenya, pierre bemba Plus Charles Tailors na wale Wababe wote wa Kivita toka Kongo Nilikuwepo... So Hakuna Receipt..
Mbona ya Charles Taylor alinyeeshewa mvua 50?
Thomas Lubanga je ?
 
Mbona ya Charles Taylor alinyeeshewa mvua 50?
Thomas lubanga je ?
Yes wewe Unazo kumbukumbu.. wengine wanaongea wasichokijua.. Kwanza Charles Taylor alikuwa kwenye Special court for sierre Leaone , ila alikuwa tried ndani ya Court room na Majengo ya ICC. So case ya Taylor ilikuwa na Mandate yake na majaji plus prosecutor wake...Thomas Lubanga na hakina Chui (Katanga) wao walikuwa watuhumiwa wa ICC na walishikakiwa na kuhukumiwa na ICC.
 
Kwani mahakama za ndani haziwezi kushughulikia hayo mpaka muende huko ICC?

Maana mpaka kesi ipelekwe huko maana yake ni mahakama za ndani kukosa uwezo wa kuendesha hayo mashitaka mfano Sudan(Darfur), DRC.

Hakuna kiongozi dictator anaogopa mahakama za ndani ya nchi yake, madictator huogopa nguvu ya umma tu.
 
Binadamu ni wabinafsi sana, sikutegemea viongozi wa dini kukalia kimya uonevu unaoendelea hapa nchini. Namsikia Askofu Mwamakula na Askofu Bagonza wakiwa mstari wa mbele kukemea madhambi, wengine wanakula kuku juu ya damu za ndugu zao.
Aibu kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…