BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Alivoaga wamerudishia mlango kikaratasi chake wakakiweka kwenye kale ka mashine ka kuchinja chinja karatasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu, ulitazama kilio cha wana wa Israel na ukawatoa Misri.
Tazama hiki ambacho Watanzania wanalia mbele zako sasa.
Utusikie Ee Mungu uliyeziumba mbingu na nchi.
Mapenzi yako yatimizwe!
Shida ndio iko hapo Rais ana kinga, mbinu zipo nyingi za kufungua kesi mfano, Waziri wa ulinzi na vyombo vya usalama badala ya kudili na Rais na hapo ndio nakuja kuhis huwa ni chuki tu za hawa wanaojiita mashangazi.Mshtakiwa wa kwanza ni Rais John Magufuli.
Sheria za Tanzania haziruhusu kumshitaki Rais Mahakamani.
Sasa watamshitaki mahakamani Tanzania kivipi wakati sheria za Tanzania haziruhusu Rais kushtakiwa mahakamani?
KamuulizeRisiti za kupeleka hizo information ameonyesha?
Sasa kosa kafanya rais, umshitaki waziri wa ulinzi?Shida ndio iko hapo Rais ana kinga ,mbinu zipo nyingi za kufungua kesi mfano,Waziri wa ulinzi na vyombo vya usalama badala ya kudili na Rais na hapo ndio nakuja kuhis huwa ni chuki tu za hawa wanaojiita mashangazi.
Ni bora wangeishtaki JMT badala ya kumtaja Rais kama mshtakiwa .
Shida ndio iko hapo Rais ana kinga ,mbinu zipo nyingi za kufungua kesi mfano,Waziri wa ulinzi na vyombo vya usalama badala ya kudili na Rais na hapo ndio nakuja kuhis huwa ni chuki tu za hawa wanaojiita mashangazi.
Ni bora wangeishtaki JMT badala ya kumtaja Rais kama mshtakiwa .
Kwani lazima wachukue hatua mara moja? Kila malalamiko yanapoenda wanachunguza na kujiridhisha, hakuna uwezekano mashitaka yakazidi waendelee kukaa kimya.Hata zamani mliwahinkupeleka vimadai vyenu huko ICC na badae hamkurudinkutwambia wamevitupa au au vnafanyiwa kazi mpaka sasa,
Nadhani toka enzi ya kikwete mnapeleka huko.
Katiba ndio tatizo hapo, sio mteuaji.
ngoja tukamilishe na ile petition.
Kwani ukinunua bando kwenye tablet yako unapewa physical receipt kama unataka soft copy umrejeshee pesa yake nikutumieRisiti za kupeleka hizo information ameonyesha?
SawaMoja damu ya Kiarabu, nyingine damu ya Kizungu!
Hizo ni damu bishi hazikubali ukondoo kondoo kirahisi rahisi
View attachment 1623116