Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Ni kweli maana baba yake angemteka hata akiwa ameaga dunia.Katekeleza maelekezo, Baba yake alimwambia hata akifa asikanyage kwenye mazishi yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli maana baba yake angemteka hata akiwa ameaga dunia.Katekeleza maelekezo, Baba yake alimwambia hata akifa asikanyage kwenye mazishi yake
Ila mamlaka inaweza kuishi bila kuheshimu wengine.Tujifunze kuheshimu mamlaka Ili tuishi kwa amani.
Nimeandika Kuheshimu sio kuogopa.
Raisi angemruhusu amzike Baba yake then arudi Kenya salama.Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema Godbless Lema amemfariji Maria Sarungi kupitia ukurasa wake wa X kutokana na Maria kushindwa kufika katika msiba wa baba yake
“Nimekusikiliza ukiongea kwa njia ya mtandao wakati wa salamu za rambi rambi ukiwa mbali na halaiki iliyokuja kumuaga baba yako Prof Sarungi hapa Karimjee Hall. Naelewa maumivu yako sana tu , usalama wako ni muhimu na hauwezi kuupuuza. Nafsi yako itakuwa inaumia sana. Jipe Moyo Mkuu sana kwani hatuna muda mrefu sana kufika ktk hatua muhimu ya mabadiliko.” - Godbless Lema
Yapi maoni yako
Oooooh kumbe nilikuwa sijui Mrs. Profesa Sarungi (mke wa pili wa late Profesa)Sarungi hakuwahi patana na mwanae na siku zote aliumizwa sana juu ya tabia chafu za mwanaye alimuapiza asije kanyaga kwenye mazishi yake.
Kwani alimkosoa Nyerere ???Mzanzibari hataki kukosolewa
Yani wewe na kama una mke na watoto, hawafai kukuita Mume wala baba, maana ni Kilaza utawaingiza shimoni.Hofu yake ya bure kabisa angekuja kushiriki mazishi ya baba yake, hakuna mwenye habari naye na si hatari kwa usalama wa taifa letu,
#Maria njoo usihofu lolote!
---
Naomba to review mambo ambayo Maria anayaona ni ya hatari kwake, list down please!
--
--
--
--
Wacha weeeeeee dada Numan katika ubora wako, unamwaga mapointi tu.Mbona boss wenu "tal" yupo anadunda TU na hajadhuriwa..mkuu trust me huyu Wala hafiki hata ⅒ ya madhara ya TAL..TAL madhara yake ni makubwa na Wala hafanywi kitu..4R za mama ni matumaini kwa watz
Huwo wako ni uzushi.Maria Sarungi kachangia shilingi ngapi wewe gharama za msiba wa baba yake?.mzazi ?
Hapana haiwezi kufanya upuuzi huo, atakuwa alibakwa kama dada yako mdogo alivyotiwa mimba na vibakaVp umevuliwa nguo mbele ya kadamnasi na serikali?!!
Bila shaka ameona Sasa kwamba anayofanya yanakinzana na mamlaka,haya ndio madhara yake.Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema Godbless Lema amemfariji Maria Sarungi kupitia ukurasa wake wa X kutokana na Maria kushindwa kufika katika msiba wa baba yake
“Nimekusikiliza ukiongea kwa njia ya mtandao wakati wa salamu za rambi rambi ukiwa mbali na halaiki iliyokuja kumuaga baba yako Prof Sarungi hapa Karimjee Hall. Naelewa maumivu yako sana tu , usalama wako ni muhimu na hauwezi kuupuuza. Nafsi yako itakuwa inaumia sana. Jipe Moyo Mkuu sana kwani hatuna muda mrefu sana kufika ktk hatua muhimu ya mabadiliko.” - Godbless Lema
Yapi maoni yako
Mimi ni kaka ..halafu kwanini mnapenda kutumia ke kwa minajili ya kutweza mtu ...mtu akitaka kumtukana mtu lazima mwanamke ahusike why?Wacha weeeeeee dada Numan katika ubora wako, unamwaga mapointi tu.
Wanaotekwa sasa hivi na kuuawa kama Mzee Kibao, kwa nini yeye asiamini kuwa anaweza fanyiwa vivyo hivyo!? By the way Tundu na Lema walimkimbia yule jamaa wa Chato.Mkuu umetoa siri.....wengi tulikuwa hatuijui hiii..Tulikuwa tunajiuliza, amefanya nini huyu Dada, mpaka anaogopa kurudi? Mbona Tndu, Lema wamerudi, na walikuwa wanatoa maneno makali zaidi kuliko yeye ambae hatujawahi hata kusikia maneno yake?
Hapana hakujivunia hata kidogo na alikuwa mwiba kwa baba yake kutokana na harakati zakeHarakati zina gharama kubwa, pole sana Maria.
Nina imani baba yako hadi mwisho wake alikuwa akijivunia wewe.
Na si Kila mtu ni nyumbu, wengine akili zao zipo huru wanazitumia vizuri
Na m nilitaka kuhisi hivi hivi kuna mawasiliano MABAYA na babayake tuslishane Vimeo ati usalama woiKatekeleza maelekezo, Baba yake alimwambia hata akifa asikanyage kwenye mazishi yake
Serekali ikimtaka, inamfuata/kumpata dakika yoyote, elewa hapo kwanza!Yani wewe na kama una mke na watoto, hawafai kukuita Mume wala baba, maana ni Kilaza utawaingiza shimoni.
Kwa hiyo, hapo ndio umefikiria saaaana.
Sawa ndio akiri yako ilipogota hapoSerekali ikimtaka, inamfuata/kumpata dakika yoyote, elewa hapo kwanza!
Ukitaka uongozi na tabia tabia za kinyongo.. au km jongoo likiguswa kidogo linajikunja..elewa hufai kuwa kiongozi, bora utoke ukalee familia yako unayoweza kuwaamrisha unavyotaka..Bila shaka ameona Sasa kwamba anayofanya yanakinzana na mamlaka,haya ndio madhara yake.
Bahati mbaya hata Baba wa mtoto hajawahi jitenga na Kauli za mwanae so ambao wamekwazika na hizo Kauli za Maria wako sahihi kutohudhuria maana unafiki haukubaliki.