Kazuiwa n mamako!Kwann hakwenda kwenye msiba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazuiwa n mamako!Kwann hakwenda kwenye msiba
Lini na wapi Maria amemtukana Rais? Au unamsema Dada wa Taifa Mange Kimambi?huyo bwege hawezi kuwa mtoto wa mzee mstaarabu km Prof. Sarungi. Litoto lidogo linamtukana Rais wa nchi yake? Babake alishawahi kumtukana nani? Akaozee huko Kenya, pumbavu.
Nimeshadislike kama ulivyotaka.😎Wewe Magonjwa Mtambuka dish lako limeyumba haya dislike na hii
Huwo wako ni uzushi.Kaulize msibani ndugu wanaongea wazi tu tena wanafoka vikaoni mbona Maria Sarungi mwanawe kwenye daftari hajachangia?
Huwo wako ni uzushi.Kaulize msibani ndugu wanaongea wazi tu tena wanafoka vikaoni mbona Maria Sarungi mwanawe kwenye daftari hajachangia?
Huwo wako ni uzushi.Kaulize msibani ndugu wanaongea wazi tu tena wanafoka vikaoni mbona Maria Sarungi mwanawe kwenye daftari hajachangia?
Hayo ndiyo malipo ya kutetea haki. Wapo waliopoteza makubwa zaidi yake kwa kupigania haki. Wapo waliotekwa mpaka leo hawaonekani. Hayo ndiyo malipo ya kupambana na udhalimu na lazima watu waendelee kupambana.Hivi angepost huo msiba si ajabu pia mngemkosoa au kusema anajipendekeza maana wenyewe huko Twitter akina Maria wanaita spana!! Ndo Yale watani zangu wamakonde wanasema ukikaa nchale ukisimama nchale!!
Yote kwa yote hizo harakati anazofanya maria zinamsaidia nini Kama unashindwa hata kumzika babake wa Kumzaa?
Maria Sarungi kachangia shilingi ngapi wewe gharama za msiba wa baba yake?.mzazi ?Huwo wako ni uzushi.
Yeye maria sarungi kachangia shilingi ngapi kumtendea haki baba yake azikwe? Vizuri?Hayo ndiyo malipo ya kutetea haki. Wapo waliopoteza makubwa zaidi yake kwa kupigania haki. Wapo waliotekwa mpaka leo hawaonekani. Hayo ndiyo malipo ya kupambana na udhalimu na lazima watu waendelee kupambana.
Ticha wa mathe matata sanaNaona Veronica umri umeenda sana 😂
Kwaajili ya hawa wanaofia simba na Yanga huku wakiacha mambo ya msingi? Maria kashindwa kumzika babake kwaajili ya harakati za kumkomboa mtu anayefikiri maisha yake yapo simba na Yanga?Hayo ndiyo malipo ya kutetea haki. Wapo waliopoteza makubwa zaidi yake kwa kupigania haki. Wapo waliotekwa mpaka leo hawaonekani. Hayo ndiyo malipo ya kupambana na udhalimu na lazima watu waendelee kupambana.
Tutafika tu ingawa ujinga ni mwingi sana miongoni mwetu. Mbaya zaidi ujinga unakuwa badala ya kupungua ila tutafika!Kwaajili ya hawa wanaofia simba na Yanga huku wakiacha mambo ya msingi? Maria kashindwa kumzika babake kwaajili ya harakati za kumkomboa mtu anayefikiri maisha yake yapo simba na Yanga?
Hayakuhusu. Wewe jua tu amehofia usalama wake hivyo kashindwa kumzika baba yake mzaziYeye maria sarungi kachangia shilingi ngapi kumtendea haki baba yake azikwe? Vizuri?
Mbaya zaidi ujinga umeingia hadi kwenye vyama Vya upinzani ambako tuliamini ndo kungekua chemichemi ya fikra Pevu za mabadiliko….. safari ya mtu mweusi kufikia kilele cha evolution yake ni ndefu sana.Tutafika tu ingawa ujinga ni mwingi sana miongoni mwetu. Mbaya zaidi ujinga unakuwa badala ya kupungua ila tutafika!
Wewe ni mwenyekiti wa michango ya rambi rambi? Na rambi rambi zina ukomo kwamba lazima zitolewe kabla ya mazishi..kesho akitoa utasemaje..? Acha kudandia misiba ya watu, ni Maria peke yake ameshindwa kuja? Mbona kaka na dada yake nao wameshindwa kuja..! Acha kuzungumzia mambo ya ndani ya familia za watu!Maria Sarungi kachangia shilingi ngapi wewe gharama za msiba wa baba yake?.mzazi ?
Hayo ndiyo malipo ya kutetea haki. Wapo waliopoteza makubwa zaidi yake kwa kupigania haki. Wapo waliotekwa mpaka leo hawaonekani. Hayo ndiyo malipo ya kupambana na udhalimu na lazima watu waendelee kupambana.