Maria Sarungi ashindwa kuja kumzika baba yake kwa kuhofia usalama wake

huyo bwege hawezi kuwa mtoto wa mzee mstaarabu km Prof. Sarungi. Litoto lidogo linamtukana Rais wa nchi yake? Babake alishawahi kumtukana nani? Akaozee huko Kenya, pumbavu.
Lini na wapi Maria amemtukana Rais? Au unamsema Dada wa Taifa Mange Kimambi?
 
Hivi angepost huo msiba si ajabu pia mngemkosoa au kusema anajipendekeza maana wenyewe huko Twitter akina Maria wanaita spana!! Ndo Yale watani zangu wamakonde wanasema ukikaa nchale ukisimama nchale!!

Yote kwa yote hizo harakati anazofanya maria zinamsaidia nini Kama unashindwa hata kumzika babake wa Kumzaa?
Hayo ndiyo malipo ya kutetea haki. Wapo waliopoteza makubwa zaidi yake kwa kupigania haki. Wapo waliotekwa mpaka leo hawaonekani. Hayo ndiyo malipo ya kupambana na udhalimu na lazima watu waendelee kupambana.
 
Yeye maria sarungi kachangia shilingi ngapi kumtendea haki baba yake azikwe? Vizuri?
 
Kwaajili ya hawa wanaofia simba na Yanga huku wakiacha mambo ya msingi? Maria kashindwa kumzika babake kwaajili ya harakati za kumkomboa mtu anayefikiri maisha yake yapo simba na Yanga?
 
Napata wakati mgumu kumuamini Maria. Siblings wenzake Martin na Emoke nao wanahofia usalama?
 
Kwaajili ya hawa wanaofia simba na Yanga huku wakiacha mambo ya msingi? Maria kashindwa kumzika babake kwaajili ya harakati za kumkomboa mtu anayefikiri maisha yake yapo simba na Yanga?
Tutafika tu ingawa ujinga ni mwingi sana miongoni mwetu. Mbaya zaidi ujinga unakuwa badala ya kupungua ila tutafika!
 
Yeye maria sarungi kachangia shilingi ngapi kumtendea haki baba yake azikwe? Vizuri?
Hayakuhusu. Wewe jua tu amehofia usalama wake hivyo kashindwa kumzika baba yake mzazi
 
Tutafika tu ingawa ujinga ni mwingi sana miongoni mwetu. Mbaya zaidi ujinga unakuwa badala ya kupungua ila tutafika!
Mbaya zaidi ujinga umeingia hadi kwenye vyama Vya upinzani ambako tuliamini ndo kungekua chemichemi ya fikra Pevu za mabadiliko….. safari ya mtu mweusi kufikia kilele cha evolution yake ni ndefu sana.
 
Maria Sarungi kachangia shilingi ngapi wewe gharama za msiba wa baba yake?.mzazi ?
Wewe ni mwenyekiti wa michango ya rambi rambi? Na rambi rambi zina ukomo kwamba lazima zitolewe kabla ya mazishi..kesho akitoa utasemaje..? Acha kudandia misiba ya watu, ni Maria peke yake ameshindwa kuja? Mbona kaka na dada yake nao wameshindwa kuja..! Acha kuzungumzia mambo ya ndani ya familia za watu!
 
Hayo ndiyo malipo ya kutetea haki. Wapo waliopoteza makubwa zaidi yake kwa kupigania haki. Wapo waliotekwa mpaka leo hawaonekani. Hayo ndiyo malipo ya kupambana na udhalimu na lazima watu waendelee kupambana.

duh, kubwa zaidi ya kumpoteza Baba mzazi aliyekulea ni lipi hilo? kwangu hakuna kubwa zaidi ya hilo hapa duniani ukiondoa kifo changu …
 
Back
Top Bottom