Maria Sarungi ashindwa kuja kumzika baba yake kwa kuhofia usalama wake

Raisi angemruhusu amzike Baba yake then arudi Kenya salama.
 
Sarungi hakuwahi patana na mwanae na siku zote aliumizwa sana juu ya tabia chafu za mwanaye alimuapiza asije kanyaga kwenye mazishi yake.
Oooooh kumbe nilikuwa sijui Mrs. Profesa Sarungi (mke wa pili wa late Profesa)
 
Yani wewe na kama una mke na watoto, hawafai kukuita Mume wala baba, maana ni Kilaza utawaingiza shimoni.

Kwa hiyo, hapo ndio umefikiria saaaana.
 
Mbona boss wenu "tal" yupo anadunda TU na hajadhuriwa..mkuu trust me huyu Wala hafiki hata ⅒ ya madhara ya TAL..TAL madhara yake ni makubwa na Wala hafanywi kitu..4R za mama ni matumaini kwa watz
Wacha weeeeeee dada Numan katika ubora wako, unamwaga mapointi tu.
 
Bila shaka ameona Sasa kwamba anayofanya yanakinzana na mamlaka,haya ndio madhara yake.

Bahati mbaya hata Baba wa mtoto hajawahi jitenga na Kauli za mwanae so ambao wamekwazika na hizo Kauli za Maria wako sahihi kutohudhuria maana unafiki haukubaliki.
 
Mbona anajiweka matatizoni bila sababu ya msingi ?
 
Wacha weeeeeee dada Numan katika ubora wako, unamwaga mapointi tu.
Mimi ni kaka ..halafu kwanini mnapenda kutumia ke kwa minajili ya kutweza mtu ...mtu akitaka kumtukana mtu lazima mwanamke ahusike why?
 
Mkuu umetoa siri.....wengi tulikuwa hatuijui hiii..Tulikuwa tunajiuliza, amefanya nini huyu Dada, mpaka anaogopa kurudi? Mbona Tndu, Lema wamerudi, na walikuwa wanatoa maneno makali zaidi kuliko yeye ambae hatujawahi hata kusikia maneno yake?
Wanaotekwa sasa hivi na kuuawa kama Mzee Kibao, kwa nini yeye asiamini kuwa anaweza fanyiwa vivyo hivyo!? By the way Tundu na Lema walimkimbia yule jamaa wa Chato.
 
Harakati zina gharama kubwa, pole sana Maria.

Nina imani baba yako hadi mwisho wake alikuwa akijivunia wewe.
Hapana hakujivunia hata kidogo na alikuwa mwiba kwa baba yake kutokana na harakati zake
 
Katekeleza maelekezo, Baba yake alimwambia hata akifa asikanyage kwenye mazishi yake
Na m nilitaka kuhisi hivi hivi kuna mawasiliano MABAYA na babayake tuslishane Vimeo ati usalama woi
 
Yani wewe na kama una mke na watoto, hawafai kukuita Mume wala baba, maana ni Kilaza utawaingiza shimoni.

Kwa hiyo, hapo ndio umefikiria saaaana.
Serekali ikimtaka, inamfuata/kumpata dakika yoyote, elewa hapo kwanza!
 
Ukitaka uongozi na tabia tabia za kinyongo.. au km jongoo likiguswa kidogo linajikunja..elewa hufai kuwa kiongozi, bora utoke ukalee familia yako unayoweza kuwaamrisha unavyotaka..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…