Maria Sarungi: Hili la ahadi ya JWTZ kumtii Samia Suluhu sio la kawaida

Safi saaana
 
Unamtoa CDF wakati umri wa kustaafu bado alafu unaweka mwingine, huyu cheo chake kinakua kipi? Akisema hataki kustaafu kwa hiari utafanyaje? Toka historia ya jeshi inaanza hapa tz haijawahi tokea una generals 2 wote wako ofisini...
Hilo la kumpangua sio rahisi ni mpaka mda wake uishe kama ilivyofanyika kwa wengine wote.

Nachopenda wanaheshimu viapo vyao na wanajua wajibu wao
 
Sawa wacha watu wachambue maovu ya dikteta Magufuli!

kikubwa alipendwa na watz,na kifo chake kimewafungua macho.

ole wao fisi waitamanio maiti ya kitoto kichanga,watakatwa katwa viungo wasijuilikane sura zao.
 
Mimi nimeelewa siri Mabeyo amesema atampa mama inahusiana na MERELANI
 
Kushangaa sio kosa ..maana watu wanafanya reference kua Mzee Mwinyi,Hayati Mkapa,Mzee JK na Hayati JPM hakuna taarifa au kumbukumbu kusikia kauli kama hiyo!
 
Ndiyo maana lilikuwa recorded na mazingira fulani yasiyoeleweka kwenye Ile background. Mambo mazito
mwenyewe nikashangaa mbona makamu anatangaza kifo cha rais sebuleni kwake
ni kama haikua rasmi kabisa
 
Toka mwaka umeanza comment bora kabisa kuisoma jf
 
Wapenda mabaya kwa TZ, kuzaliwa kwenye raha nako kuna shida zake, wako bored na yule mwenzake anayesumbuliwa na midlife crisis, ni shida kwa kweli..
Hao majamaa wanazingua Sana , wanaumia Sana wanapoona Kwa Mwinyi , Kenyatta na hata mseveni Wanaona kama haki Yao kurithishana , Nyerere angekuwa na ubinafs huo sjui tungefika wap, mbaya Zaid hawana talent yyte ya uongozi wala mvuto kisiasa ....
 
Dah, umeandika kitaaluma zaidi!!

I appreciate this thread your Excellency Alexander the Great
 
Speculations.

In corridors of leadership, let alone meetings, this is the questions set to security forces: CDF mmejipangaje kwa ulinzi? Typical question. CDF was narrating a reply based on routine question.
He was affirming allegiance to the new head of state!
 
Kwa sasa Baada ya JPM kuachia usukani nchi imeachwa katika safu ya CDF -> RAIS -> CCM lakini wananchi sisi tuko nnje ya uwanja tunaona safu imeanzia kwa RAIS - > CCM ila ukweli ni kwamba nchi sasa inaongozwa na JESHI kwa ushirikiano wa MAMA (rais), Na itakua hivyoo mpaka MAMA atakapotoka madarakani. Uongozi huu si kwa ubaya au nia ovu ila ni kwa mustakabali wa usalama wa MAMA SAMIA (rais) bila hivyo Nchi ingeangukia pua maana madereva wangekua wengi mpk makondakta wangejifanya nao udereva wanaujua.
 
Unamtoa CDF wakati umri wa kustaafu bado alafu unaweka mwingine, huyu cheo chake kinakua kipi? Akisema hataki kustaafu kwa hiari utafanyaje? Toka historia ya jeshi inaanza hapa tz haijawahi tokea una generals 2 wote wako ofisini...
Kikwete hakuendana na Waitara alimbadilisha na kumuweka Mwamunyange!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…