Maria Sarungi: Hili la ahadi ya JWTZ kumtii Samia Suluhu sio la kawaida

CDF yuko sahihi kbsa maana kuna washenzi wengi sana wao wanadhani kila kitu lazima wapate wao tu kwenye hii nchi, unaweza ukaweka mifumo yote mfukoni mwako ila siyo jeshi la nchi labda tu jeshi lipende au liwe na maslahi na utawala wako. Hiyo watu wajifunze kutoka hata hapo malawi na Misri tu, pia kuna watu inatakiwa watolewe ili mama samia awe salama kuanzia ndani ya ikulu, baraza la mawaziri, na huko bungeni baadhi ya wajinga wapunguziwe nguvu
 
Jana kama mlisoma mchezo ...JESHI NDIO WALIKUWA WA KWANZA KUTOA SALAMU ZA UTII , kilichofuatia ni wote wa mihimili waliofuatia walitoa ahadi ya UTII tofauti ni JAJI MKUU alisema watakuwa watii kwa mujibu wa sheria..tofauti na chawa ndugai yeye alisema watakuwa watii kwa namna yeyote ile [pengine ikiwemo kuvunja sheria na taratibu za bunge ]
 

Kote umeeleweka,ila hapa si useme umesikia kwa Kigogo,huyu huyu Kigogo aliyesema kina Dotto wako under House Arrest [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Umefanya chambuzi nzuri, ila nina mashaka kama inatekelezeka.
 
Daah mkuu umemaliza kila kitu hii ndio ilitakiwa iwe thread.

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Hata Rais angekuwa lissu lzm CDF angekuwa ni Mabeyo tu ndugu jeshi linautaratibu wake

baada ya mwamunyange ingetakiwa afate mwakibolwa aliyekuwa luten general kipindi hicho bt alistafu nafasi yake ikachukuliwa na mabeyo

so kwa sasa nchi nzima ina luten general wawili(hawa huitwa wanadhimu na huwa kama waziri mkuu jeshini)
akitoka mabeyo lzm kati ya hawa wawili mmoja awe CDF

Note
JPM ndie muasisi wa kuwa na luten general wawili ili wapeane changamoto wao kwa wao
 
It is normal as the matter of assurance. It depends on how one looks at it. Did she want the CDF to say that they are not going not going to obey her or what? Huyu anatafuta kiki kwa kuleta ujinsia usio na msingi. Rest assured that things will go as planned. This is Jeshi la Wananachi wa Tanzania dada.
 
Na
Mkuu umenifanya niunge dot.

Je una ataarifa kwamba katibu mkuu mpya ikulu alikaa hai tebo wakati wa kile kikao cha chama cha hivi karibuni.Ilibidi mzee wa msoga amfukuze,kwa kuanza kuuliza amekaa hai tebo kama nani,ndiyo kikao kikaendelea baada ya kutolewa pembeni.kulikuwa na kujisahau hiv.kama bado ni katibu mkuu wa kijani
 
Mwenzako ndiyo twiiti za namna hii ndiyo zanamuweka mjini.yeye pamoja yule shangazi mwenzie
 

Hii kahawa ya Kigogo unaiamini? [emoji3][emoji3]
 
Someni katiba kuhusu jeshi........ na sheria iliyopitishwa na bunge kuhusu kuhundwa kwa jeshi. Na sikilizeni viapo kwa mwanajeshi na Maafisa wanafunzi. Na Kuruta. Vyote ni kumlinda Rais na Katiba ya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…