Maria Sarungi: Hili la ahadi ya JWTZ kumtii Samia Suluhu sio la kawaida

Wewe ni muongo! Magufuli anaingia madarakani Mabeyo alikuwa Chief of Staff, yaani alikuwa namba mbili kutoka kwa Mwamunyange ambaye alikuwa CDF. Hivyo hakuna waliopanguliwa kumpisha Mabeyo bali alipandishwa cheo mara baada ya Mwamunyange kustaafu.
Wewe ndio huna taarifa sahihi

Magufuli anaingia madarakani Chief of Staff alikuwa Lt Gen Samuel Ndomba
 
Sawa lakini ni kukosa uelewa Mabeyo ni senior kwa Mwakibolwa.
Mabeyo ni senior kwa Mwakibolwa kwenye nini ? Kama unasema kwa sasa sawa

Ila tukirudi nyuma mwaka 2015 kurudi nyuma Mwakibolwa alikuwa senior kwa Mabeyo ngazi ya Brig Gen na na ngazi ya Maj Gen
 
Ndomba alistaafu akafuatiwa na Mabeyo kama Chief of Staff.
Batch kubwa sana ya majenerali ilistaafu mwezi Jan mwaka 2016 akiwemo na Lt.Gen Ndomba na katika mwezi huo huo Mabeyo akapandishwa kuwa Lt.Gen na kuteuliwa kuwa chief of staff
 
Nothing unusual at all. The General was actually speaking to activists and traitors in our midst, plus the TLS president (s) who take advantage of the President's gender to sow mischief as they betray our country. Mkishikwa mnalia gender. You been warned.
 
Mama Samia anza kwa kumpiga chini huyo Bashiru mapema kabisa kabla hajakukwamisha, huyo ni mtu hatari sana kwa uongozi wako.

Just a WARN
 
Rais wa TLS anaingiaje hapa katika sakata hili?
 
 
Upo sahihi kwa uloyaeleza, ila swala la kusema CDF kutamka mbele ya umati kuwa ana jambo la kumweleza Rais, kuwa ni unproffessional siyo sahihi. Hiyo ndo proffesionalism ya kijeshi. Jeshi sikuzote linatawaliwa kwa kanuni zake, si kwa sheria za kiraia. Huyu CDF ni Military intelligency. Ni mtu aliebobea katika fani yake na anajua maswala ya utawala pia.

Kwa nini alistahili kutamka hivyo. Hayati Rais Magufuli alishafahamu atakufa. Na uenda alishajua kuwa kuna mambo ajaacha sawa na hivyo alihitaji kuongea na mtu alie karibu zaidi. Bahati mbaya Makamu wake inasemekana hakupewa ukaribu kujua nini kinaendelea. Hivyo Magufuli kaacha wosia kwa CDF.
Na uenda CDF anamengi aliyoelezwa. Ila katamka hilo moja kuonesha kuwa hata Magufuli kunamaagizo kayaacha kwa mtu atakae mrithi ambae ni mama Samia.

Hii ni kutaka kuonesha lile kundi lilolo kinyume na Rais mama Samia kuwa jeshi lina siri ambayo ni maalum kwa mama Samia si vinginevyo. Na kwamba tayari kuna connection kubwa kati ya Jeshi na Rais mama Samia. Hii mara nyingi ni mbinu za kijeshi ili kuondoa mbinu chafu. Ndo maana ikawekwa wazi kuwa kuna jambo, lakini mwenye kuambiwa hilo jambo ni Rais Samia pekee.
Ni kweli angeweza mfuata akamwambia. Lakini kwakua kuna mchezo mchafu kwa baadhi ya viongozi, CDF akaonesha indictor tu. Hiyo ni indicator ya gari watu wawe alerted. Hivyo hiyo mbinu ilotumika ni kutaka iwe wazi kwa wananchi na viongozi wote kuwa jeshi lilivyokuwa likifanya kazi na Rais Magufuli kabla ya umauti wake litaendelea kushirikiana na Rais Samia Suluhu. Hivyo hayo maelezo ni tambo za kijeshi. Na hiyo ilikuwa ishara tu mtu yoyote asilete fyokofyoko juu ya Rais Samia Suluhu.
Ndo maana CDF katamka wazi. Subirini, kuna watu watapigwa chini. Uwezi kuongoza na watu ambao inaonesha hawakukubali. Haitajalisha ukubwa wa nafasi zao. Piga wote chini Rais Samia Suluhu. Bado Sumaye ndo ataendelea kubaki kuwa Waziri Mkuu pekee alo kaa madarakani kwa miaka 10.
 
Kweli kabisa hilo hata mimi nimeliona kwa BRIG.IBUGE
 
Una point za msingi ila cdf hakusema ana siri toka kwa rais jpm bali DOKEZO, nafikiri hapa watafsiri wa hili neno dokezo ndio wanaweka mafuta kuwa ni SIRI fulani...
Lakini mbona hilo dokezo ni kama alilichomekea katikati ya maelezo yaliyohusu ujenzi wa ukuta wa Mererani au mimi ndiye sikusiiliza vizuri.
 
Umeongea maneno mazito lakini msingi wake upo kwenye kudhaniadhania! How I wish ungekuwa na uhakika nayo ili hao walafi wa madaraka tuwajue na kuwashughurikia huko kitaa🤔! Otherwise, statement s kama hizo ulizoleta zisipokuwa na ukweli zinaweza kuleta taharuki kwa rais wetu zisizo za lazima! Maoni yangu ni yeye rais wetu kutovunja balaza la mawaziri na kufuatilia mienendo ya mawaziri wote bila majungu na uzushi! Awatumbue watakao shindwa kufanya kazi kwa viwango vinavyotakiwa, speed + uadirifu!
Mungu azidi kumlinda kumuongoza na kumbariki rais wetu mpendwa mama SSH na nchi yetu yote🙏, amen🙏!
 
Samia will be a good president

The only person who might tarnish her presidency is Jakaya Kikwete!! Huyu ni mtu hatari sana ambae Rais anatakiwa atumie busara na akili kumkwepe ingawa alijinasibu kuwa alikuwa instrumental kumpandisha Samia mpaka hapo alipo!!
Ana uswahili Swahili fulani hivi halafu ni mtu wa makundi ambayo ni divisive!!!
 
Huyu dada anazidi kujiweka yeye na familia yake kwenye wakat mgumu sana....haya tusubiri
 
Binafsi naona Kuna Jambo lilitaka kufanyika, Mimi simuamini bashiru Ally kabisa.Ndo maana wanaopenda nchi yetu kwa dhati wanashauri avunje Baraza la mawaziri
 
Hamna kitu kama icho general anaondolewa na raisi tena kwa utashi wake bila kuhojiwa na yyte yule, na akitolewa haina maana cheo chake cha kijeshi pia kinashuka no, anaweza tolewa akapangiwa majukumu mengine...kama ambavo inspekta general wa police mangu alivotolewa akurudi kicheo kuwa commisioner no alibaki na cheo chake cha kipolisi ila akapewa ubalozi, kama ambavo mkurugenzi wa usalama alivotolewa ndivo hivohivo general wa jeshi la ulinzi nae anavoweza kutolewa..rejea mifano ya nchi mbambali yenye mifumo kama yetu jinsi maraisi walivowaondo ma jenerali kirahisi tu........mtu kama judge mkuu wa Tanzania ndio kuna kipengele katika kumtoa tena kimeainishwa kwene katiba, mtu kama CAG ila wakuu wa vyombo vya ulinzi wanatolewa asubuhi kweupe
 
Mkuu wa majeshi muda wote alikuwa anakaa jirani Mh Rais badala ya kukaa na wakuu wengine wa vyombo vya ulinzi na usalama! Means bado Jeshi linaendesha show hadi "idara" zinyooke!
Hamna ki itifaki swala la maziko wa mkuu wa nchi ni swala lipo chini ya jeshi la ulinzi ndo maana cdf anakuwa mbele kama pia mwene shuhuri
 
Nakuunga mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…