Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuseme sio maoni, haya tuambie alichoandika ni nini? Je hana haki ya kuandika? Uanamke wake unahusika vipi? Hivi umelelewa kweli na wazazi ndugu yangu? Una familia? Wewe una mama, dada, mashangazi n.k? Wakidhalilishwa kwa uanamke wao utajisikiaje? Au mwenzetu uliokotwa tu huna hisia za kuwa na mtu wa maana mwanamke karibu yako?
Mkuu hili pia ninalo, ila sina ushahidi wa mashiko. Ila nakubaliana na wewe kwa asilimia 3000% kwamba CDF Mabeyo ametumia nguvu ya kijeshi kutangazwa kifo cha Marehemu Rais Magufuli na kuapishwa kwa Rais Samia Suluhu.Kwa mtazamo wangu dalili zote zilionyesha Makamu now Raisi pamoja na Chief of Defense Forces walipanga hyo route ya kwenda Tanga , na lengo ni moja Tu kwenda kutangaza kifo cha Raisi Kwa sababu Mzee alikuwa ameshakata mda Ila kulikuwa na internal struggle, ......
Tangazo la msiba lilitumwa tokea Tanga kwenda TBC HQ under Army command
Wewe kama ulizoea kuuza madawa na wizi achana na hizo kazi hatubadirishi kitu moto ni uleule ulioachwa na Jemedari wetu Magufuli.Hayo ni mawazo ya huyo binti Sarungi.
Kwetu sisi watanzania wa kipato cha kawaida tunamuomba mama Samia atuondolee vikwazo kwenye njia zetu za kujitafutia mkate wetu wa kila siku.
Unamtoa CDF wakati umri wa kustaafu bado alafu unaweka mwingine, huyu cheo chake kinakua kipi? Akisema hataki kustaafu kwa hiari utafanyaje? Toka historia ya jeshi inaanza hapa tz haijawahi tokea una generals 2 wote wako ofisini...Una uhakika CDF mwenyewe kama anajiamini kubaki?
seating arrangements ya jana kwa wote tulioangalia LIVE inatosha kuonyesha Taifa nani wako nyuma ya Urais wa Mh Samia
Ile hotuba ya CDF ni warning ya wote walioficha kifo cha Rais ili “wapindue” serikali !!!! ni ONYO !!
TPDF inaenda kusimamia reforms ndani ya IDARA YA USALAMA SOON
Brig Ibuge a TPDF man ndio anasimamia affairs za ikulu na sio Bashiru
Kumbukeni alishahamishiwa Foreigh kama Katibu Mkuu lakini toka samia wa samaki ameingia yeye ndio anaonekana right hand kila mahali mara nyingine kama role ya mkuu wa itifaki na “Katibu mkuu kiongozi”
na mara zote katibu mkuu kiongozi amekalishwa nyuma kule kama wageni waalikwa wengine .. show zote ndani ya ikulu mnajua sasa nani anasimamia
wale ambao bado hawaelewi waendeleee kujaribu waone!!!!
Ndio ana haki ya mawazo na maoni ni vioe tu kaamua kuyaweka hadharani na ni vile ni tu ni mtu anayefatiliwa na watu wengi kama kufurahi wengi wamefurahi hata mimi nimefurahi, ila mkosoe hata mara elfu 1000 kama mtu mwingine ila usiingize uanamke wake na kumdhalilisha na kumtusi kwa hilo, ulichofanya ni udhalilishaji wa kijinsia ndani ya mawazo na maoni yako hurumimi nina wazazi,dada kama yeye na hata watoto wa kike ninao pia,naushangaa uanamke wake ulivyo tofauti tu,wala sina nia jambo jingine.
baada ya msiba wa mar rais magufuli aliandika wazi"sitaki kuwa mnafiki,nimefurahi kwa kifo hicho,sijui alifurahishwaje!!maana wanawake wakati kama huu,ndio utajua udhaifu wao.
leo tena anakuja na hitimisho lake kwamba kuna kitu baada ya kauli ile ya CDF!!!haya sio maoni ni muendelezo wa tabia ile ile ya kuwaza vitu kwa namna ya ajabu ajabu.
wakati mimi naonekana labda namdhalilisha inawezekana nikaka kueleweka baadae huko kwamba niliona tatizo mapema.
Hii iliniacha hoi.Kitendo cha yeye kutangaza mbele ya umma kwamba amepewa siri na Rais Magufuli ni hatari hata kwake yeye CDF dhidi ya maadui wa nje na ndani ya Tanzania. Pia ni kuzua taharuki na sintofahamu isiokua na ulazima wowote kwa raia na wageni waliohudhuria mazishi na hata kwa wale walioshuhudia mazishi katika vyombo vya habari
Jikite kwenye usomaji, kuna michango mizito ya wakuu walokuzidi upeoHuyu dada ana shida sana aisee
Unachangia hoja gani? hoja hapa ni hotuba ya Mabeyo,hayo mengine anzisha uzimimi nina wazazi,dada kama yeye na hata watoto wa kike ninao pia,naushangaa uanamke wake ulivyo tofauti tu,wala sina nia jambo jingine.
baada ya msiba wa mar rais magufuli aliandika wazi"sitaki kuwa mnafiki,nimefurahi kwa kifo hicho,sijui alifurahishwaje!!maana wanawake wakati kama huu,ndio utajua udhaifu wao.
leo tena anakuja na hitimisho lake kwamba kuna kitu baada ya kauli ile ya CDF!!!haya sio maoni ni muendelezo wa tabia ile ile ya kuwaza vitu kwa namna ya ajabu ajabu.
wakati mimi naonekana labda namdhalilisha inawezekana nikaka kueleweka baadae huko kwamba niliona tatizo mapema.
Ndio ana haki ya mawazo na maoni ni vioe tu kaamua kuyaweka hadharani na ni vile ni tu ni mtu anayefatiliwa na watu wengi kama kufurahi wengi wamefurahi hata mimi nimefurahi, ila mkosoe hata mara elfu 1000 kama mtu mwingine ila usiingize uanamke wake na kumdhalilisha na kumtusi kwa hilo, ulichofanya ni udhalilishaji wa kijinsia ndani ya mawazo na maoni yako huru
Hahahaha JF ina watu wajuaji kama nini.seating arrangements ya jana kwa wote tulioangalia LIVE inatosha kuonyesha Taifa nani wako nyuma ya Urais wa Mh Samia
Ile hotuba ya CDF ni warning ya wote walioficha kifo cha Rais ili “wapindue” serikali !!!! ni ONYO !!
TPDF inaenda kusimamia reforms ndani ya IDARA YA USALAMA SOON
Brig Ibuge a TPDF man ndio anasimamia affairs za ikulu na sio Bashiru
Kumbukeni alishahamishiwa Foreigh kama Katibu Mkuu lakini toka samia wa samaki ameingia yeye ndio anaonekana right hand kila mahali mara nyingine kama role ya mkuu wa itifaki na “Katibu mkuu kiongozi”
na mara zote katibu mkuu kiongozi amekalishwa nyuma kule kama wageni waalikwa wengine .. show zote ndani ya ikulu mnajua sasa nani anasimamia
wale ambao bado hawaelewi waendeleee kujaribu waone!!!!
unachangia hoja gani. hoja hapa ni hotuba ya Mabeyo,hayo mengine azisha uzi
Wacha wivuUnamtoa cdf wakati umri wa kustaafu bado alafu unaweka mwingine, huyu cheo chake kinakua kipi? Akisema hataki kustaafu kwa hiari utafanyaje? Toka historia ya jeshi inaanza hapa tz haijawahi tokea una generals 2 wote wako ofisini...
Asante sanaBashiru sio mtu mzuri, ikiwezekana aondolewe kwenye nafasi zote zinazomfanya awe karibu na Rais kwa namna Yoyote ile
Namheshimu na Kumkubali sana Dada yangu Maria Sarungi ila sijaelewa hapa ametaka Kusisitiza nini hasa au amelenga nini.
Na katika hayo Maelezo yake nimeona kuna mahala ameuliza Swali halafu mwishoni tena akajijibu Mwenyewe.
Kijeshi ( Kimedani ) binafsi wala sijaona tatizo lolote la Kauli hiyo ya Kitiifu kutoka kwa CDF Jenerali Mabeyo na JWTZ kama Mkuu Wao.