Maria Sarungi: Hili la ahadi ya JWTZ kumtii Samia Suluhu sio la kawaida


Mimi nina wazazi, dada kama yeye na hata watoto wa kike ninao pia, naushangaa uanamke wake ulivyo tofauti tu, wala sina nia jambo jingine.

Baada ya msiba wa Rais Magufuli aliandika wazi "sitaki kuwa mnafiki, nimefurahi kwa kifo hicho, sijui alifurahishwaje!!maana wanawake wakati kama huu, ndio utajua udhaifu wao.

Leo tena anakuja na hitimisho lake kwamba kuna kitu baada ya kauli ile ya CDF! haya sio maoni ni muendelezo wa tabia ile ile ya kuwaza vitu kwa namna ya ajabu ajabu.

Wakati mimi naonekana labda namdhalilisha inawezekana nikaka kueleweka baadae huko kwamba niliona tatizo mapema.
 
Mkuu hili pia ninalo, ila sina ushahidi wa mashiko. Ila nakubaliana na wewe kwa asilimia 3000% kwamba CDF Mabeyo ametumia nguvu ya kijeshi kutangazwa kifo cha Marehemu Rais Magufuli na kuapishwa kwa Rais Samia Suluhu.

Angekua mwepesi CDF wangemyumbisha, CCM wana fitina acha kabisa. Hata uwe na cheo gani kama mwepesi wakiamua kukufitinisha huchomoki. Ninahisi CCM inatokana na kizazi cha Yuda Iskarioti aliomfitinisha Yesu Kristo mpaka akasulubiwa.
 
Una uhakika CDF mwenyewe kama anajiamini kubaki?
Unamtoa CDF wakati umri wa kustaafu bado alafu unaweka mwingine, huyu cheo chake kinakua kipi? Akisema hataki kustaafu kwa hiari utafanyaje? Toka historia ya jeshi inaanza hapa tz haijawahi tokea una generals 2 wote wako ofisini...
 

Acha kuota nawewe.

Mh Suluhu tokea ameapa ni wiki moja na ushee tuko na mwili wa marehemu, ambao zoezi zima linasimamiwa na JWTZ, shughuli ya jeshi kwenye mwili wa mpendwa wetu imekwisha jana. Hutona tena uliyoyaandika hapo.

Itifaki ni jambo kubwa,ukileta ujuaji unavuruga kila kitu.
 
Ndio ana haki ya mawazo na maoni ni vioe tu kaamua kuyaweka hadharani na ni vile ni tu ni mtu anayefatiliwa na watu wengi kama kufurahi wengi wamefurahi hata mimi nimefurahi, ila mkosoe hata mara elfu 1000 kama mtu mwingine ila usiingize uanamke wake na kumdhalilisha na kumtusi kwa hilo, ulichofanya ni udhalilishaji wa kijinsia ndani ya mawazo na maoni yako huru
 
Hii iliniacha hoi.
Ni siri gani? Atamweleza lini? Kwa nn aseme hadharani?
Movie Series imeshaanza. Hiyo ni intro ya Season 2.
 
Unachangia hoja gani? hoja hapa ni hotuba ya Mabeyo,hayo mengine anzisha uzi
 
Namheshimu na Kumkubali sana Dada yangu Maria Sarungi ila sijaelewa hapa ametaka Kusisitiza nini hasa au amelenga nini.

Na katika hayo Maelezo yake nimeona kuna mahala ameuliza Swali halafu mwishoni tena akajijibu Mwenyewe.

Kijeshi ( Kimedani ) binafsi wala sijaona tatizo lolote la Kauli hiyo ya Kitiifu kutoka kwa CDF Jenerali Mabeyo na JWTZ kama Mkuu Wao.
 

kumkosoa maria tsehai bila kuzingatia jinsia yake ni kumosea adabu kabisa.yule ni mwanamke vipo vitu hapaswi kufanya kama mwanaharakati bali kama mama au dada au shangazi kama apendavyo kujiita.

leo hii unaandika umefurahi kwa kifo cha rais ambaye ni baba wa mtu,unaijua kesho yako wewe!!!au tunaendeshwa na ubinafsi tu!!!

ndio sababu tunaambiwa kwenye haki ya kutoa maoni unahakikishiwa uhuru kabla,ila uhuru baada ya maoni ni jambo jingine,kukosa uhuru baaa ya maoni sio lazima mamlaka,hata jamii inaweza kukusimanga kwa maoni uliyotoa.
 
Hahahaha JF ina watu wajuaji kama nini.
 
Matumizi mabaya ya neno mwana harakati hasa kwa wafata mkumbo kama hawa wa twitter
 
Unamtoa cdf wakati umri wa kustaafu bado alafu unaweka mwingine, huyu cheo chake kinakua kipi? Akisema hataki kustaafu kwa hiari utafanyaje? Toka historia ya jeshi inaanza hapa tz haijawahi tokea una generals 2 wote wako ofisini...
Wacha wivu
 

labda umwambie wewe popoma mwenzake atakuelewa.

jeshi lina miiko yake,na moja wapo ni kuacha kutamka hadharani kwamba wanamtii mh amiri jeshi, na wanahudumia watanzania wakati wa amani na vita.lazima watamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…