Maria Sarungi: Hili la ahadi ya JWTZ kumtii Samia Suluhu sio la kawaida

Maria Sarungi: Hili la ahadi ya JWTZ kumtii Samia Suluhu sio la kawaida

hata ushahidi huna zaidi y kukisia tu.

kwahiyo unahalarisha visasi viendelee,mfano biggie sasa aanze kutafuta wabaya wa baba yake.
Labda wewe unakisia lakini ukweli unatabaki kuwa muuaji hatimaye kafa na watu wanashangilia! Sasa mambo ya bibie tusubiri tuone utendaji wake!
 
Inategemea; CDF Mabeo alikuwa chaguo la JPM ndio maana waliokuwa juu yake wote walipanguliwa kwa kuondolewa ili aweze 'kumfikia mabeho'
Raisi Samia nae anaweza kuwa na Chaguo lake hivyo akapangua safu yote ya JPM ili amfikie anaemtaka na hakuna wa kumzuia.
Wewe ni MUONGO..
Mabeyo alikua msaidizi wa Mwamnyange, kwa lugha nyingine mwamnyange alipokua hayupo mabeyo ndio alikua mkuu.
 
Ukitaka kujua ubaguzi wa jinsia tulionao soma uzi huu. Ndiyo maana naona raisi wetu ana kazi ngumu sana kuingoza nchi ambayo tuna ubaguzi wa kijinsia.
Tatizo linakuja waliopo kwenye uongozi wa juu wengi wao kiumri wapo above 45 yrs , hawa watu Wana mfumo dume wa kizamani na sio rahsi kuutoa,
 

Mwanaharakati Maria Sarungi anaandika

Very unusual statement! Goes without saying that the sitting President is the Commander in Chief, yet Chief of Defence Forces goes out of his way to emphasize that the army will obey President @samia_suluhu_hassan
Kuna haja gani kusisitiza maana sisi wananchi tunajua vyema kuwa Amiri Jeshi Mkuu wetu ni Rais! Huu ujumbe siyo wetu ila kile kikundi alichosema Mama wanauliza “Huyu mama ataweza kuwa Rais” na si ajabu waliongea mengine huko ndani! Ni hivi: 👉🏽 Mh Rais Samia Suluhu Hassan - get used to it!
Asante CDF ✊🏽
Clearly there must be a lot going on behind the scenes!
Huyu Sarungi si ndo wale wale vibaraka kwenda zako...............
 
Ukitaka kujua ubaguzi wa jinsia tulionao soma uzi huu. Ndiyo maana naona raisi wetu ana kazi ngumu sana kuingoza nchi ambayo tuna ubaguzi wa kijinsia.
Kazi anayo, hata humu jf wanaume tuna mitazamo dume asilimia 90...
Ndio ilivyo huwezi kutuzuia asili yetu! Ndio tulivyo...
 
Wafikishie ujumbe wote wanaodhani wana uwezo wa kuhodhi madaraka kinyume cha katiba kwamba wasithubutu wala kujaribu. Yeyote atakaye thubutu au kujaribu kumkwamisha Amiri jeshi mkuu hatokuwa na mwisho mwema.
Hivyo niwatoe wasi wasi ndugu watanzania wenzangu, nchi yetu ni salama na itaendelea kuwa salama wakati wote. Tuendelee kuchapa kazi!!!
😀😀😀 ujumbe wameishaputa japo mchungu.. na wajue wapo kwenye radal za JWTZ..
 
Back
Top Bottom