Maria Sarungi: Hili la ahadi ya JWTZ kumtii Samia Suluhu sio la kawaida

Maria Sarungi: Hili la ahadi ya JWTZ kumtii Samia Suluhu sio la kawaida

Ok..lakini kwa kuwa cheo anapewa na raisi hivyo hivyo raisi akiamua anamvua,,sema huenda ikawa chanzo cha matatizo mengine.
Bwn barafu ya moto nimeshindwa kuelewa umeniquote kwenye comment isiyo yangu lkn jina langu rass jeff kapita .... limetokea kwenye hii comment.Tafadhali mods sijaelewa huu ni utaratibu gani.... comment no 91
 
Hana mume, hana ndoa, hana watoto, umri umeenda hapati attention ya usichana maana kashakuwa mama.

Haya ndio madhara kwa mwanamke ya kupita ujana bila kujenga mahusiano ya ndoa na kuwa na familia bora ya baba, mama na watoto.

Mtu anakuwa kama kichaa hafikirii sawa.

wengine tunaangalia tatizo kwa upana,tunaonekana haters[emoji19][emoji19]

tumchukie kwa urembo ule ili iweje!!!
 
Ukiona baba wa familia anasema mimi ni baba ujue kuna kitu hakipo sawa..Kauli ya mama kusema mimi ni Rais tena mwenye maumbile ya mwanamke na kurudia kwa msisitizo ili hali wote tunajua kuwa ni hivyo ujue kuna kitu kipo nyuma yake na kuna kundi linampinga

Jana Mabeyo kaongea kitu ambacho kipo kikatiba ....ni jukumu lao kumtii Amiri Jeshi Mkuu weather aongee au akae kimya...kwa nini kasema....meaning kuna watu waliokuwa wanapewa ujumbe kuwa wasithubutu kufanya ujinga kwa mama yetu as Jeshi litatimiza wajibu wake wa kumtii

Refer hotoba zote zimetamka tamko la Rais alilotoa Dodoma na kuahidi kumpa ishirikiano...Rais kaongea vingi ikiwemo upendo na ushikamano but heading imekuwa ile statement .....kwa hiyo ni kama wanampa uhakika kuwa wapo nae pamoja na wanatambua nafasi yake
Hiyo kauli ya kuwa yy ndio rais hata marhum mzee pombe alikua anaisisitiza sana kipind cha mwanzo wa urais wake kila anapohutubia
 
Ni lini jeshi lilishatoa kauli ya kutomtii Rais mbele ya hadhara kiasi ambacho tuone ajabu CDF kusema atamtii Rais?

Ndicho kinachomshangaza mleta hoja hii ili kila mmoja aumize kichwa kutafakari what's behind the scene...

Katika kujibu hili, in my opinion maelezo ya member mwenzetu huyu Alexander The Great hapa chini yana make sense kwa zaidi ya 90%
 
Cha kwanza atambue kuwa huyu mama ni kaimu Rais na sio raisi wa kupigiwa kura katika uchaguzi. Hivyo kila mtu anakuwa anamtilia mashaka sababu kuingia kwake katika hii nafasi ni matokeo ya kifo cha aliyekuwa raisi kamili kimamlaka.

Shaka na hofu ni vitu vya lazima kuwapo pale mwanamke anapopewa wadhifa mzito na wenye majukumu mengi kama haya sababu inajulikana wazi kabisa hizi kazi za uongozi wanawake miaka hii wanaziingia kwasababu ya propaganda za kimagharibi za haki sawa ila kiuhalisia si kazi wanazoweza kuzifanya kwa umakini na umahiri wa hali ya juu......
Kuna watu wanadai walijinadi kwa pamoja kwa wapiga kura, lakini wanashindwa kutambua kwamba kipindi wanajinadi nafasi zao zilikuwa zimeaininshwa; kwamba mmoja atakuwa rais na mwingine atakuwa makamu.....ndo maana wengine wanapendekeza katiba ifanyiwe marekebisho ili hiyo nafasi ikaimiwe angalau kwa miezi mitatu kabla ya kuitisha uchaguzi mwingine...
 
"PENGINE" CDF Mabeyo nimepokea speech yake ndivyo-sivyo kwenye swala la lack of proffessionalism, na pengine ujumbe aliotaka kuufikisha kwa viongozi wa umma (Makatibu na Mawaziri)
Na mimi naamini hili pia.

Remember Mabeyo pamoja na kuwa well educated pia alikuwa head wa Military Intelligence, hii michezo atakuwa anaifahamu vizuri, na kama ni kweli kuna wapumbavu walikuwa wanataka kuleta ushenzi, hapa wote wamepata ujumbe wao bila kumtafuta mmoja mmoja.
 
Hayo ni mawazo ya huyo binti Sarungi.
Kwetu sisi watanzania wa kipato cha kawaida tunamuomba mama Samia atuondolee vikwazo kwenye njia zetu za kujitafutia mkate wetu wa kila siku.
Good message, kumbe sometimes huwa una akili?
 
View attachment 1735511

Mwanaharakati Maria Sarungi anaandika

Very unusual statement! Goes without saying that the sitting President is the Commander in Chief, yet Chief of Defence Forces goes out of his way to emphasize that the army will obey President @samia_suluhu_hassan
Kuna haja gani kusisitiza maana sisi wananchi tunajua vyema kuwa Amiri Jeshi Mkuu wetu ni Rais! Huu ujumbe siyo wetu ila kile kikundi alichosema Mama wanauliza “Huyu mama ataweza kuwa Rais” na si ajabu waliongea mengine huko ndani! Ni hivi: [emoji1428] Mh Rais Samia Suluhu Hassan - get used to it!
Asante CDF [emoji1421]
Clearly there must be a lot going on behind the scenes!
Mama anatakiwa awe makini sana.
Kuna team pandikizi ambayo huenda haija amini kwamba huyu ndie Rais wetu. Bado wana tafuta jinsi ya kumkwamisha.
Ushauri wangu wa bure, Mama awaondoe wote alio na mshaka nao. Aunde safu yake itakayo mtii na kumheshimu.. Walamba vitu vya ukanda wapewe mapumziko kidogo hadi wata kapo jua SSH ndie Rais wa sita wa Tanzania.
 
aanze na Bashiru,hata leo
 
Kuna watu wanadai walijinadi kwa pamoja kwa wapiga kura, lakini wanashindwa kutambua kwamba kipindi wanajinadi nafasi zao zilikuwa zimeaininshwa; kwamba mmoja atakuwa rais na mwingine atakuwa makamu.....ndo maana wengine wanapendekeza katiba ifanyiwe marekebisho ili hiyo nafasi ikaimiwe angalau kwa miezi mitatu kabla ya kuitisha uchaguzi mwingine...
Kikatiba hiyo nafasi aliyopo samia ni nafasi ya mtoto wa mzee ally hassan mwinyi kule zanzibar.

Kumbuka katiba na sheria za muungano zinaweka bayana kuwa makamo wa rais wa serikali ya jamhuri ya muungano ndie mkubwa wa serikali upande wa Tanzania visiwani......

Sasa sijui huu utaratibu tuliukorogaje hapo katikati na kuwa na makamo wawili yaani makamo bara na yule ambaye anapewa jina la raisi wa zanzibar badala ya makamo wa jamuhuri muungano.....
 
Inategemea; CDF Mabeo alikuwa chaguo la JPM ndio maana waliokuwa juu yake wote walipanguliwa kwa kuondolewa ili aweze 'kumfikia mabeho'
Raisi Samia nae anaweza kuwa na Chaguo lake hivyo akapangua safu yote ya JPM ili amfikie anaemtaka na hakuna wa kumzuia.
Sio rahsi kufanya hvo Kwa mkuu wa jeshi , Raisi ana nguvu hyo Ila sio rahsi , mkuu waajeshi ni mtu delicate Sana , Maghufuli mwenyewe alimwacha Mwamnyange mpak akastaaf ,na bado akamuongezea mwaka mmoja .....
 
Mabonta hawajajua kutofautisha witches and wizard ndio tatizo kifupi hapo ni jinsia ndio inasumbua tu basi hakuna jingine
 
Kikatiba hiyo nafasi aliyopo samia ni nafasi ya mtoto wa mzee ally hassan mwinyi kule zanzibar.

Kumbuka katiba na sheria za muungano zinaweka bayana kuwa makamo wa rais wa serikali ya jamhuri ya muungano ndie mkubwa wa serikali upande wa Tanzania visiwani......

Sasa sijui huu utaratibu tuliukorogaje hapo katikati na kuwa na makamo wawili yaani makamo bara na yule ambaye anapewa jina la raisi wa zanzibar badala ya makamo wa jamuhuri muungano.....
Acha kutulisha matango pori wewe
 
Inategemea; CDF Mabeo alikuwa chaguo la JPM ndio maana waliokuwa juu yake wote walipanguliwa kwa kuondolewa ili aweze 'kumfikia mabeho'
Raisi Samia nae anaweza kuwa na Chaguo lake hivyo akapangua safu yote ya JPM ili amfikie anaemtaka na hakuna wa kumzuia.
Wewe ni muongo! Magufuli anaingia madarakani Mabeyo alikuwa Chief of Staff, yaani alikuwa namba mbili kutoka kwa Mwamunyange ambaye alikuwa CDF. Hivyo hakuna waliopanguliwa kumpisha Mabeyo bali alipandishwa cheo mara baada ya Mwamunyange kustaafu.
 
jikite kwenye usomaji,kuna michango mizito ya wakuu walokuzidi upeo
Hoja zipi alizoleta huyu dada?

Yani mkuu wa majeshi kusema tutatii amri zako kama amiri jeshi mkuu na kufanya kazi zao kwa mujibu wa katiba yeye anaona ni ajabu? Au alitaka asemeje? Aseme hawatamtii?
 
Back
Top Bottom