Maria Sarungi: Hili la ahadi ya JWTZ kumtii Samia Suluhu sio la kawaida

Maria Sarungi: Hili la ahadi ya JWTZ kumtii Samia Suluhu sio la kawaida

mimi nina wazazi,dada kama yeye na hata watoto wa kike ninao pia,naushangaa uanamke wake ulivyo tofauti tu,wala sina nia jambo jingine.

baada ya msiba wa mar rais magufuli aliandika wazi"sitaki kuwa mnafiki,nimefurahi kwa kifo hicho,sijui alifurahishwaje!!maana wanawake wakati kama huu,ndio utajua udhaifu wao.

leo tena anakuja na hitimisho lake kwamba kuna kitu baada ya kauli ile ya CDF!!!haya sio maoni ni muendelezo wa tabia ile ile ya kuwaza vitu kwa namna ya ajabu ajabu.

wakati mimi naonekana labda namdhalilisha inawezekana nikaka kueleweka baadae huko kwamba niliona tatizo mapema.
Kwani kuna ubaya gani mtu kufurahia kifo cha mbaya wako? Hata Tanzania ilifurahia kifo cha Idd Amin!
 
Hayo ni mawazo ya huyo binti Sarungi.
Kwetu sisi watanzania wa kipato cha kawaida tunamuomba mama Samia atuondolee vikwazo kwenye njia zetu za kujitafutia mkate wetu wa kila siku.
Vikwazo vya mkate wa kila siku vililetwa/wekwa na nani?
Mtu au chama?
 
Umenifilisi, Mkuu wa majeshi kujitokeza pale haikuwa kawaida, achilia mbali maneno yake!
 
Kwani kuna ubaya gani mtu kufurahia kifo cha mbaya wako? Hata Tanzania ilifurahia kifo cha Idd Amin!

hakuna ubaya,hata kufanya tendo la ndoa ni haki yako,shida ni pale unapopayuka wakati unashuka mpaka majirani wanasikia.
kwani akishukuru kimoyo moyo anapata hasara gani???
 
Hahahaha nacheka sana jinsi watanzania walivyo wajuaji
 
kumkosoa maria tsehai bila kuzingatia jinsia yake ni kumosea adabu kabisa.yule ni mwanamke vipo vitu hapaswi kufanya kama mwanaharakati bali kama mama au dada au shangazi kama apendavyo kujiita.

leo hii unaandika umefurahi kwa kifo cha rais ambaye ni baba wa mtu,unaijua kesho yako wewe!!!au tunaendeshwa na ubinafsi tu!!!

ndio sababu tunaambiwa kwenye haki ya kutoa maoni unahakikishiwa uhuru kabla,ila uhuru baada ya maoni ni jambo jingine,kukosa uhuru baaa ya maoni sio lazima mamlaka,hata jamii inaweza kukusimanga kwa maoni uliyotoa.
Usijifanye hamnazo hujui kuwa huyo baba wa mtu ameua na kujeruhi baba za watu wengi?
 
Umeandika kama unajua ulichokiandika kumbe ni maugoro
 
Usijifanye hamnazo hujui kuwa huyo baba wa mtu ameua na kujeruhi baba za watu wengi?

hata ushahidi huna zaidi y kukisia tu.

kwahiyo unahalarisha visasi viendelee,mfano biggie sasa aanze kutafuta wabaya wa baba yake.
 
Wadau tukumbuke HOTUBA ya jana iliyosomwa na CDF, ilikua inawakilisha vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama.

Kwahiyo ile ilikua kauli ya vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama na sio Jeshi peke yake. Hakika tupo salama na Raisi wetu yupo salama. Kutokana na Utii wa vyombo vyetu vya Usalama.

Note:
Vyombo vya Ulinzi na Usalama vinategemeana kwenye utendaji kazi kutoka na Katibu, Sheria na taratibu.
 
Kikatiba hiyo nafasi aliyopo samia ni nafasi ya mtoto wa mzee ally hassan mwinyi kule zanzibar.

Kumbuka katiba na sheria za muungano zinaweka bayana kuwa makamo wa rais wa serikali ya jamhuri ya muungano ndie mkubwa wa serikali upande wa Tanzania visiwani......


Sasa sijui huu utaratibu tuliukorogaje hapo katikati na kuwa na makamo wawili yaani makamo bara na yule ambaye anapewa jina la raisi wa zanzibar badala ya makamo wa jamuhuri muungano.....
Baada ya vyama vingi Ccm iliamua ijilinde. Ndio hizi sheria za ajabu huanzia
 
hakuna ubaya,hata kufanya tendo la ndoa ni haki yako,shida ni pale unapopayuka wakati unashuka mpaka majirani wanasikia.
kwani akishukuru kimoyo moyo anapata hasara gani???
Huyo unayemshabikia alikuwa anabwabwaja hadharani wakati akijeruhi wenzake sasa kwa nini wengine wafurahi kimoyo moyo? Wacha watu watoe nyongo zao!
 
Ukitaka kujua ubaguzi wa jinsia tulionao soma uzi huu. Ndiyo maana naona raisi wetu ana kazi ngumu sana kuingoza nchi ambayo tuna ubaguzi wa kijinsia.
 
Inshort, kuna genge halitaki kumtii RAIS MAMA SAMIA SULUHU. CDF na JWTZ hawataki huo upumbavu, wao watatii na atae leta fyoko fyoko cha moto atakiona
Wafikishie ujumbe wote wanaodhani wana uwezo wa kuhodhi madaraka kinyume cha katiba kwamba wasithubutu wala kujaribu. Yeyote atakaye thubutu au kujaribu kumkwamisha Amiri jeshi mkuu hatokuwa na mwisho mwema.
Hivyo niwatoe wasi wasi ndugu watanzania wenzangu, nchi yetu ni salama na itaendelea kuwa salama wakati wote. Tuendelee kuchapa kazi!!!
 
View attachment 1735511

Mwanaharakati Maria Sarungi anaandika

Very unusual statement! Goes without saying that the sitting President is the Commander in Chief, yet Chief of Defence Forces goes out of his way to emphasize that the army will obey President @samia_suluhu_hassan
Kuna haja gani kusisitiza maana sisi wananchi tunajua vyema kuwa Amiri Jeshi Mkuu wetu ni Rais! Huu ujumbe siyo wetu ila kile kikundi alichosema Mama wanauliza “Huyu mama ataweza kuwa Rais” na si ajabu waliongea mengine huko ndani! Ni hivi: [emoji1428] Mh Rais Samia Suluhu Hassan - get used to it!
Asante CDF [emoji1421]
Clearly there must be a lot going on behind the scenes!
Watanzania tunawaamini sana waleta maneno kwenye mitandao kiasi wao wanakuwa kama dira yetu.

Tafuteni muda muoongee nao macho kwa macho muwafahamu ili iwape nafasi ya kuwachanganua ili mjitoshe uweledi wao, jee heshima wanayo nunua mitandaoni INAWA STAHILI?

Mkifanikiwa njooni na jibu hapa JF ili mtuhabarishe wakojee.

Itatusaidia kujua kama ndio tunauziwa mbuzi kwenye gunia.
 
Back
Top Bottom