Maria Sarungi: Hili la ahadi ya JWTZ kumtii Samia Suluhu sio la kawaida

hata ushahidi huna zaidi y kukisia tu.

kwahiyo unahalarisha visasi viendelee,mfano biggie sasa aanze kutafuta wabaya wa baba yake.
Labda wewe unakisia lakini ukweli unatabaki kuwa muuaji hatimaye kafa na watu wanashangilia! Sasa mambo ya bibie tusubiri tuone utendaji wake!
 
Wewe ni MUONGO..
Mabeyo alikua msaidizi wa Mwamnyange, kwa lugha nyingine mwamnyange alipokua hayupo mabeyo ndio alikua mkuu.
 
Ukitaka kujua ubaguzi wa jinsia tulionao soma uzi huu. Ndiyo maana naona raisi wetu ana kazi ngumu sana kuingoza nchi ambayo tuna ubaguzi wa kijinsia.
Tatizo linakuja waliopo kwenye uongozi wa juu wengi wao kiumri wapo above 45 yrs , hawa watu Wana mfumo dume wa kizamani na sio rahsi kuutoa,
 
Huyu Sarungi si ndo wale wale vibaraka kwenda zako...............
 
Ukitaka kujua ubaguzi wa jinsia tulionao soma uzi huu. Ndiyo maana naona raisi wetu ana kazi ngumu sana kuingoza nchi ambayo tuna ubaguzi wa kijinsia.
Kazi anayo, hata humu jf wanaume tuna mitazamo dume asilimia 90...
Ndio ilivyo huwezi kutuzuia asili yetu! Ndio tulivyo...
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ujumbe wameishaputa japo mchungu.. na wajue wapo kwenye radal za JWTZ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…