Maria Sarungi: Hili la ahadi ya JWTZ kumtii Samia Suluhu sio la kawaida

Jeshi litaendelea kumtii Mama Samia na Serikali yake, wananchi wataendelea kuitii na kuheshimu serikali yao, yeyote atakaeingilia atashghulikiwa na jeshi kama inavyotakiwa, jeshi likishindwa litawaachia wananchi, nchi yetu na amani yetu ni bora kuliko kitu kingine duniani.
Tunamuunga mkono mkuu wetu wa majeshi ,afanye anachotakiwa kufanya kwa faida ya wanachi na nchi aloapa kuilinda.
 
Ndiyo maana lilikuwa recorded na mazingira fulani yasiyoeleweka kwenye Ile background. Mambo mazito
 
Hao nao tushawazoea watoto wa vigogo tushawajua , la kwao ni kuvuruga , wamwache mama atupe oxygen swaaaafi pamoja na Chief of Defense Forces
Mbna mama ndo huyo huyo chief of defence Force au[emoji848]
 
Serikali ni yetu sisi wananchi, sio ya ccm wala kikundi cha watu.
yeyote atakaye ichokonoa serikali yetu chini ya Mama Samia Suluh ata kuwa ametuchokoza sisi wananchi.

tunacho taka kuona ni kwa kila chombo na taasisi na kila mmoja wetu anaheshimu mamlaka iliyopo bila kuleta choko choko.

tunacho omba sisi wananchi ni kwamba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ni vilevile hakuna kilicho badilika hivyo tunaomba viendelee na uchapakazi wao kwa bidii kama ikivyo kuwa hapo awali yaani kipindi cha JPM hatutegemei myumbo wowote wakati vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vipo. tunataka kuona uimara unaendelea na kuzidi.
 
Kwani ni lazima kila siku Maria awe ana tweet? Kuna mambo mengine anayaandika hayana mantiki kabisa.
Au ndio kitu wasomi sana mnakiita innovation?
 
Kuna tatizo kuanzia juu kabsa kuna baadhi ya watu mama hataweza kufanya nao kazi lazima asafishe njia kwanza ,ukianzia ofisini kwake maana huyu nshomile mama hata muweza kabsa huyo alijua na swaiba wake r.i.p
By then Baba wa Taifa aliwahi kulaani baadhi yaakabila kwamba hayata kaa kwenye ngazi za juu za uongozi.
 
Mkuu wa majeshi muda wote alikuwa anakaa jirani Mh Rais badala ya kukaa na wakuu wengine wa vyombo vya ulinzi na usalama! Means bado Jeshi linaendesha show hadi "idara" zinyooke!
Lazima dawa iwaangie 😀😀😀.. walitaka kuleta tamaa ambazo huenda zingegawanya taifa na kuliingiza kwenye history mbaya. Hongera CDF hongera JWTZ
 
Haya yote umeyahibuwa wapi, kama sio Mickey Mouse stories zakufurahisha baraza - wewe mtu baki unajuaje kwamba Brig. Ibuge ndie anasimamia affairs za Ikulu eti "uliangalia seating arrangment ya jana ndio ikakupa picha kamili kwa kile kinacho endelea nyuma ya pazia - unafikiri hatuna akili ya kujua kwamba lengo lako and like mind wenzako ni kutaka kumwaribia sifa mtu mmoja tu pale - mnafikiri Rais S.S.Hassan hajui kampein zenu chafu za kuwaribia sifa potential candidates wa kuwania wadhifa wa Makamu wa Rais - hiki ndicho kinaendelea hapa, mengine ni maiigizo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…