Pre GE2025 Maria Sarungi kapatikana na karudi nyumbani kwake, ataongea kuhusu suala hilo Januari 13, 2025

Pre GE2025 Maria Sarungi kapatikana na karudi nyumbani kwake, ataongea kuhusu suala hilo Januari 13, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ukipita humu mitandaoni, hususani jf, ndo unajua chadema Wana wafuasi wengi ambao ni mambumbumbu na malofa sana. Acha ccm Iendelee kutesa kule kileleni.
 
Maria has a story to tell
Ninini kimetokea? Majirani waligoma kutoa msaada ili wavuke boda na mzigo wao?
Kelele za kimataifa?.
Wiki itaanza na mengi mapya.. Tuwe na subra
downloadfile.png
downloadfile.png
 
Nadhani idara ya usalama Kenya hawajataka kujichafua kwa hili, na imepelekea wajuba wamuache aende...
Kwa maana wasingetoboa, zingepigwa border check up za kufa mtu, halafu mwisho wa siku ikawa noma.

Na inaelekea walikubaliana mwanzoni lakini baada ya watu kupaza sauti, wakaona dili imeharibika, utakuta kina Lissu walishavuta waya hadi kwa Ruto..
 
Kama kuna chochote wamemfanya,huyu atasema tu siyo kama wale machekbob!

Wakishua hawaokotwi maporini kama kina Nondo!
 
Nadhani idara ya usalama Kenya hawajataka kujichafua kwa hili, na imepelekea wajuba wamuache aende...
Kwa maana wasingetoboa, zingepigwa border check up za kufa mtu, halafu mwisho wa siku ikawa noma.

Na inaelekea walikubaliana mwanzoni lakini baada ya watu kupaza sauti, utakuta kina Lissu walishavuta waya hadi kwa Ruto..
Watu mnapredict everything
 
ANAANDIKA Mh LISSU

Maria Sarungi-Tsehai, one of Tanzania's foremost and fearless critics of the Samia regime and a dearest friend has been snatched by three unidentified gunmen in the vicinity of Yaya Centre in the Kenyan capital of Nairobi.

A strident opponent of the Magufuli dictatorship, Maria had fled to exile in Kenya since just before the fraudulent 2020 general elections and had been running Chanzo TV, a pro-democracy online platform.

While we hope and pray for Maria's life and safety, we must call upon the Kenyan government and all people of goodwill from around the world to intervene in whatever capacity they can to help secure Maria's safe return to her family.

And we must tell whoever is behind Maria's abduction and disappearance that no amount of terror and violence or intimidation will silence us. That many many more Marias will step forward to take up her fight for democracy and decency in Tanzania.
downloadfile.png
 
Back
Top Bottom