Pre GE2025 Maria Sarungi kapatikana na karudi nyumbani kwake, ataongea kuhusu suala hilo Januari 13, 2025

Pre GE2025 Maria Sarungi kapatikana na karudi nyumbani kwake, ataongea kuhusu suala hilo Januari 13, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hata simtetei mkuu nilikuwa namuelewesha jamaa maoni yangu kati ya Maza na Magu nani katili? Ali Kibao, Chaula, Soka na wenzake wawili,juzi uchaguzi wa serikali ya mtaa imeondoka na watu ,,hapo sijazungumzia wale wametekwa na kurudishwa, uhuni haujaisha hata kidogo ndiyo umekuwa zaidi.

Wote mizinguo ila Magu ashazidiwa. Huu ni msimamo wangu kabisa. (Hapo sijagusa hata WaMassai)
Kitu kinachonifanya niichukie na kuiogopa siasa kuliko ukoma ni mauaji ya kiholela kulinda tawala zilizopo., propaganda za kumchafua mpinzani, ukatili na kunyimwa haki.
 
Hata simtetei mkuu nilikuwa namuelewesha jamaa maoni yangu kati ya Maza na Magu nani katili? Ali Kibao, Chaula, Soka na wenzake wawili,juzi uchaguzi wa serikali ya mtaa imeondoka na watu ,,hapo sijazungumzia wale wametekwa na kurudishwa, uhuni haujaisha hata kidogo ndiyo umekuwa zaidi.

Wote mizinguo ila Magu ashazidiwa. Huu ni msimamo wangu kabisa. (Hapo sijagusa hata WaMassai)
Tofauti ni kwamba Magufuli alikuwa anamiliki mwenyewe kikundi cha WASIOJULIKANA cĥini ya Makonda.

Hawa kina Soka, Kibao etc wanashughulikiwa na maofisa wa chini "wanaodhani wanamsaidia Rais" kupunguza upinzani/ ukosoaji/ matusi
 
Wasiojulikana wanaotumiwa na serikali ya Tanzania ni wajinga sana aisee.....

Ni wao tu hakuna wengine....

Yameingia na kufika mpaka huko kwenye nchi ya watu wengine na kufanya ujinga huu...

Hili halina ubishi kulielewa kwa sbb Maria Sarungi anajulikana kwa namna anavyoikosoa serikali ya Tanzania, CCM na viongozi wake, Rais Samia na chawa wake kama kina Freeman Mbowe nk...

Wanafikiri vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi za watu wengine ni irresponsible, corrupt & immature kama vilivyo hivi vilivyo chini ya serikali ya CCM hapa Tanzania..?

Mbaya sana na wanataka kuharibu diplomasia na mahusiano yetu na nchi jirani...!
 
JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Yeah; JPM alisingiziwa mengi sana. Yule jamaa kaandika habari za "kifo" cha Ben Saanane; hivi tofauti ya kile kumuhusu Ben na dogo wa ku bet bwana Sativa ni nini? Tukio la Sativa limetokea wakati JPM yupo zake mbele za haki
 
Raia wanasema JPM anahusika kwenye tukio la Sativa 😂 ety hata hili la Sarungi pia JPM anahusika 😂
 
Back
Top Bottom