Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Prof alikuwa mmoja katii ya manguli wa mifupa!!jirani yetu alivunjika mara 4 mguu ulikuwa ukatwee ila prof alifanya miujizaaZamani nilisikia kisa kua Prof Sarungi alimfanyia upasuaji mchezaji flani either wa Simba au yanga ambaye iliaminika asingepona baada ya kuvunjika. Mwemye kumbukumbu sahihi anisaidie
Safi sana mkuu....Prof alikuwa mmoja katii ya manguli wa mifupa!!jirani yetu alivunjika mara 4 mguu ulikuwa ukatwee ila prof alifanya miujizaa
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Ametangulia mbele ya haki.Mmanda ni DC kule kwa Dangote
kujitambua ndio kuwa li.CCM?!.Huyu ni dada asiyejitambua. Kaolewa na mkimbizi wa Kihabesh asiyejitambua pia.
kujitambua ndio kuwa li.CCM?!.
Sema mtoto wa mwisho wa mama wa kizunguMaria sarungi alisisoma shule ya msingi oyster bay.O-level na A- level alisoma zanaki sec.Degree ya kwanza alisoma hungary na degree ya 2 alisoma marekani.Then akaajiriwa na gaziti la new york post.Ka sasa ni mkurugenzi wa campss solution co.ltd.Yeye ni mtoto wa mwisho wa prof.sarungi.MAMA yake ni mzungu wa hungary.Prof.sarungi amewahi kuwa mkurugenzi wa muhimbili,waziri wa afya,uchukuzi,elimu na ulinzi.Pia amewahi kuwa mkuu wa mkoa wa pwani na kilimanjaro.Vilevile amekuwa mbunge wa rorya kwa miaka 10.Maria ameolewa.
Waziri wa ulinzi piaWewe unamjua Sarungi kama Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, sisi tunamjua kama Daktari Bingwa wa Mifupa na Waziri wa Afya enzi za Ben Mkapa, upo?
Daaah ipo siku tutakutanaYaani tunachekeshaga sana.Hivi mtu akitofautiana na wewe kimawazo ndio umuite majina ya ajabu ajabu? Kwa hiyo watu hapa wanataka watu wanaowaza sare.
Maria yupo Smart na ni activist wa kweli.Tatizo watu tunapenda ku-attack watu tu bila sufficient grounds
Tabia chafu sana hii
Bro wamekuua wamegeuza nchi kama kaukoo chao cha kule Chato.Yaani tunachekeshaga sana.Hivi mtu akitofautiana na wewe kimawazo ndio umuite majina ya ajabu ajabu? Kwa hiyo watu hapa wanataka watu wanaowaza sare.
Maria yupo Smart na ni activist wa kweli.Tatizo watu tunapenda ku-attack watu tu bila sufficient grounds
Tabia chafu sana hii
Labda awe waziri wa ulinzi wa Diamond otherwise she don't deserve hizo position ulizozitaja.Huyu mtoto anafaa kuwa rais wa Tanzania au waziri mkuu
alizawadiwa.,Alikuwa dc Mtwara mpaka mauti yanamkutaMkuu Kichaula, hivi kwa madudu aliyokuwa anafanya advocate mmnda ndani ya BLK hakuzawadiwa hata udc?