Maria Sarungi ni nani?

Maria Sarungi ni nani?

Huyu ni musiba?👇👇👇
 

Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    29.8 KB · Views: 20
Zamani nilisikia kisa kua Prof Sarungi alimfanyia upasuaji mchezaji flani either wa Simba au yanga ambaye iliaminika asingepona baada ya kuvunjika. Mwemye kumbukumbu sahihi anisaidie
Prof alikuwa mmoja katii ya manguli wa mifupa!!jirani yetu alivunjika mara 4 mguu ulikuwa ukatwee ila prof alifanya miujizaa

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Maria sarungi alisisoma shule ya msingi oyster bay.O-level na A- level alisoma zanaki sec.Degree ya kwanza alisoma hungary na degree ya 2 alisoma marekani.Then akaajiriwa na gaziti la new york post.Ka sasa ni mkurugenzi wa campss solution co.ltd.Yeye ni mtoto wa mwisho wa prof.sarungi.MAMA yake ni mzungu wa hungary.Prof.sarungi amewahi kuwa mkurugenzi wa muhimbili,waziri wa afya,uchukuzi,elimu na ulinzi.Pia amewahi kuwa mkuu wa mkoa wa pwani na kilimanjaro.Vilevile amekuwa mbunge wa rorya kwa miaka 10.Maria ameolewa.
Sema mtoto wa mwisho wa mama wa kizungu
Hawa wengine mbona wapo wengi tuu huku keko
 
Yaani tunachekeshaga sana.Hivi mtu akitofautiana na wewe kimawazo ndio umuite majina ya ajabu ajabu? Kwa hiyo watu hapa wanataka watu wanaowaza sare.

Maria yupo Smart na ni activist wa kweli.Tatizo watu tunapenda ku-attack watu tu bila sufficient grounds

Tabia chafu sana hii
Daaah ipo siku tutakutana
 
Yaani tunachekeshaga sana.Hivi mtu akitofautiana na wewe kimawazo ndio umuite majina ya ajabu ajabu? Kwa hiyo watu hapa wanataka watu wanaowaza sare.

Maria yupo Smart na ni activist wa kweli.Tatizo watu tunapenda ku-attack watu tu bila sufficient grounds

Tabia chafu sana hii
Bro wamekuua wamegeuza nchi kama kaukoo chao cha kule Chato.
Vp mama yake Meko ana cheo gani huko? Maana ana zaidi ya mwezi wamemficha mochwari kwenye mabarafu hawataki kusema amekufa.
Kama kashafika huko mpeni ukiranja wa chooni
 
Back
Top Bottom