Naona inakuwa kiki wakinusurika. Na waliopotea jumla wanazifanyia wapi hizo kiki au mnajua walipo.Kutekwa sikuhizi ni kiki... Watu wanatafuta pesa za wazungu kwa mbinu sana... Yaani ni movie za kishamba sana...
By the way wakiambiwa wasiseme wanasema yote kasoro kuliwa kiboga tu huwa hawasemi π©
We jamaa una majibu kuntu kwa hawa nyumbuπ€£π€£π€£π€£Gentleman,
Abdul nondo angekua ndio starling,
hiyo movie part2 ya utekaji, huenda ingekua bora zaidi π
π€£π€£π€£π€£π€£Nitakua wa mwisho kuamini kuwa alitekwa
ili mzitafute raslimali vzrAnyamaze aache kiherehe
Nilisema jana kuwa Kuna kutekwa na kuna 'nitoke vipi ya kuchepuka'.......someni vizuri hayo maelezo yake kwenye hiyo paragraph hapo juu kisha tumia 'D' zako mbili za physics na mathematics kuona jinsi mume anavyopangwa hapo!!πππππ"Mara nyingi mimi huwa nawasiliana na mume wangu nimpe updates za wap nilipo. Kwa hiyo nikamtaarifu kwamba nataka kuondoka. Nikatumia app ya Little ya kuita gari y kunirudisha. Yule dereva alifika lakini hakuweza kuingia ndani
Ni muongo na mzushi tuAzungumze tu.
Kweli Shoga hata mimi nimeona hii ni movie tu MPZ.Movie ya Maria Sarungi hii.
Uongo mtupu.
Ni mwongo yule, upambane na watu,huna hata kamchubuko kokote.π€£π€£π€£π€£π€£
Anasema alipambana nao kinyama
Hajatekwa huyo, wawe wanajiongeza wanapocheza scene zao,sio kila mtu ni mjinga.Ovyo kabisa huyu dada.Nilisema jana kuwa Kuna kutekwa na kuna 'nitoke vipi ya kuchepuka'.......someni vizuri hayo maelezo yake kwenye hiyo paragraph hapo juu kisha tumia 'D' zako mbili za physics na mathematics kuona jinsi mume anavyopangwa hapo!!πππππ
Haya, great thinkers, maelezo na sura la shangazi yetu wakati anatoa maelezo ndo kama hivyo. Enhe, Kuna kutekwa hapo?!!!!
na amewahakikishia nyie majangili fisiem ndiyo kwanza kumepambazuka mjiandae kumuuaAnyamaze aache kiherehere
nguruwe kwenye ubora wakoanataka kuzungumza jinsi alivyo jiteka sio?
hata hivyo bado hawezi kufikia wala kuvunja rekodi ya kiwango cha kujiteka cha Abdul nondo wa act π