Maria Sarungi: Nilitekwa nikiwa natoka saluni. Lengo lilikuwa ni kunivusha lakini hawakufanikiwa

Maria Sarungi: Nilitekwa nikiwa natoka saluni. Lengo lilikuwa ni kunivusha lakini hawakufanikiwa

Maria tulikuwa washabiki wako sana, ulichotuudhi majuzi kati ni kuingilia uchaguzi wa ndani wa CDM ambao moja haukuhusu na mbili wewe si mwanachama.
Yaani hadi walivyokudaka tukasema wakulete tu hadi mpakani au hadi Bongo uwe wakala wa Lissu siku ya uchaguzi - Mungu atusamehe.

Ukishakuwa maarufu jifinze kutowakwaza washabiki zako. Watu wengi sana wanakufuatilia wa CCM, CDM, ACT na hata wasio na vyama. Nenda na sera moja tu ya Katiba Mpya - katiba ndiyo msingi wa yote, haya mengine ya uchaguzi wa CDM unajichanganya.

Mwache Lissu apambane na Mwenyekiti wake, pilipili hujaila mbona...
 
Kutekwa sikuhizi ni kiki... Watu wanatafuta pesa za wazungu kwa mbinu sana... Yaani ni movie za kishamba sana...
By the way wakiambiwa wasiseme wanasema yote kasoro kuliwa kiboga tu huwa hawasemi 💩
 
Anatafuta public attention and popularity Mana ndio game ya siasa ilivyo. Inatakiwa kidogo uonekane Kama umeteswa kwa kuisema serikali ama kuwatetea wananchi baadaye unawaomba kula wanakupa ndio inakuwa imetoka iyo hairudi
 
Kutekwa sikuhizi ni kiki... Watu wanatafuta pesa za wazungu kwa mbinu sana... Yaani ni movie za kishamba sana...
By the way wakiambiwa wasiseme wanasema yote kasoro kuliwa kiboga tu huwa hawasemi 💩
Naona inakuwa kiki wakinusurika. Na waliopotea jumla wanazifanyia wapi hizo kiki au mnajua walipo.
 
Mbowe aliijenga CHADEMA halafu akaibomoa mwenyewe. Lissu ataipeleka CHADEMA kaburini kama ilivyotokea kwa CUF. Mambo ya chama yanatakiuwa yasulihishwe ndani ya chama husika badala ya kulumbana nje. CUF walipoanza kulumbana na Maalim akaondoka na CUF nayo ikafa. Sasa hivi CHADEMA inalumbana na FMbowe, ni wazi kuwa nayo inaelekea njia ya CUF.
 
Boda wangevukaje? Horohoro au Namanga? Wangejitusu waelekee boda wangedakwa ,hustler asingekubali nchi yake ichafuke ,wahuni wa TZ waliwakodisha wahuni wa Kenya.
 
"Mara nyingi mimi huwa nawasiliana na mume wangu nimpe updates za wap nilipo. Kwa hiyo nikamtaarifu kwamba nataka kuondoka. Nikatumia app ya Little ya kuita gari y kunirudisha. Yule dereva alifika lakini hakuweza kuingia ndani
Nilisema jana kuwa Kuna kutekwa na kuna 'nitoke vipi ya kuchepuka'.......someni vizuri hayo maelezo yake kwenye hiyo paragraph hapo juu kisha tumia 'D' zako mbili za physics na mathematics kuona jinsi mume anavyopangwa hapo!!😄😄😄😄😄

Haya, great thinkers, maelezo na sura la shangazi yetu wakati anatoa maelezo ndo kama hivyo. Enhe, Kuna kutekwa hapo?!!!!
 
Hajatekwa huyo, wawe wanajiongeza wanapocheza scene zao,sio kila mtu ni mjinga.Ovyo kabisa huyu dada.
 
Nyani Ngabu kauliza japo yeye sio expert wa maswala ya utengenezaji wa nywele lakini kwa zile nywele za Maria kwenye video yake baada ya kuachiwa adhani kama mtaalamu anaweza tengeneza kichwa hovyo vile (doesn’t add up).

Worst tumeona video recording ile gari ya majambazi iliyoingia kumteka hakukuwa na gari iliyokuwa imezuia kuingia sehemu zaidi ya hadithi zake.

Ni swala la kumkamata alierekodi ile clip na ku-expose ujinga wao, if anything ile barabara inaonekana ina trafić za pandę mbili; wale waliokuwa wana-record walikuwa wanazuia traffic za nyuma yao; ili gari la watekaji lichomoke; matter of fact waliwaachia njia.

Ujinga mtupu.
 
Sitoshangaa nikisikia Dr.Slaa nae ametekwa akiwa Gerezani inakuwaje leo hatukumuona Mahakamani?

#Free Dr.Slaa
 
Back
Top Bottom