Maria Sarungi: Wana option 4 mezani kwao ila sio ya kunyonga.

Kwa mujibu wa Sheria gani?
Maana aina ya kosa aliloshitakiwa nalo lina huku mbili tu, either huru au kunyongwa hadi kufa.
Hakuna condition yeyote nje ya hizo. Hakuna cha uhaini mdogo wala uchochezi.
 
Kwa Tanzania kila kitu kinawezekana.
 
Kumbe kuna uhaini mdogo.🤔🤔
 
Mkumbushe Katuga wakili mkuu wa jamhuri, aliyesema kuna adhabu ndogo ya uhaini.
 
Hakuna mpango utakaofanikiwa, Mungu hajawahi kuwa fala
 
Kwa mujibu wa Sheria gani?
Maana aina ya kosa aliloshitakiwa nalo lina huku mbili tu, either huru au kunyongwa hadi kufa.
Hakuna condition yeyote nje ya hizo. Hakuna cha uhaini mdogo wala uchochezi.
Kamuulize Katuga.

Wakili wa serikali Katuga: Kwamba shall be liable naomba hayo maneno yawe ni bold kwasababu mwanzo mwisho upande wa utetezi adhabu ya shauri hili ni kunyongwa tu.

Katuga: Matumizi ya neno shall be liable ni msimamo wa sheria kwamba adhabu katika shitaka hili ni kuanzia 0 up to death penalty. The maximum penalty in death by hanging.

Katuga: Mahakama yenu ina decretion yake ya kuamua aina ya adhabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…