Maria Sarungi: Wana option 4 mezani kwao ila sio ya kunyonga.

Maria Sarungi: Wana option 4 mezani kwao ila sio ya kunyonga.

Baada ya kesi kukamilika kimama kimeshauriwa amwachie Lissu maana imeshakuwa aibu HATAKI!

Wamepanga lazima wamkute na hatia.

Option 1 - Wamhukumu uhaini mdogo (whtever this means) jela miezi 6 na faini kama Katuga alivyosema - hii imeshaanza kueleweka na kupingwa vikali.

Option 2 - Ahukumiwe kifungo cha maisha halafu akate rufaa aachiwe ila rufaa wataichelewesha hadi kimama kitoke au kife whichever comes first.

Option 3 - Wamhukumu kifungo cha maisha au miaka mingi alafu kimama kitoe msamaha.

Option 4 - Wamkute na hatia ya uchochezi ila watampa kifungo cha kutumikia nyumbani (house arrest).
Mtapiga ramli sana tu.
 
Mpaka pale kesi ilipo fika ni ngumu sana kuto kutwa na hatia

Ila kwa kua kesi za uhaini si ya kwanza hii na kwa vile hakuna aliye wahi kunyongwa wala kukaa jela maisha basi hata huyu atatoka mapema sana.
 
Unaposema “ mpaka sasa kesi ilipofika ni ngumu sana kutokutwa na hatia” una maanisha hatia ya kosa la uhaini ambalo ameshitakiwa nalo?

Ongea Kama mtu unayefahamu unachosema na uzito wa hilo suala.

Don’t be wishy washy. Speak with clarity.

Au wewe unazungumzia matamanio yako?
 
Hukumu inaweza kucheleweshwa hadi mwakani kuanzia Disemba mahakama inaenda likizo hadi mwezi Februari.Nyakati za akina Mwalusanya,Nyalali,Rumanyika zimepita sasa tunao majaji waliokuwa watumishi wa setikali juzi juzi bado wanauserikali serikali hivyo kutenda haki inahijtaji msukumo msukumo wa ulimwengu
 
Hawa wanaharakati feki kama huyu shangazi huwa wanakurupuka kurupuka hovyo

Hayupo hata Bongo haya kajuaje? Kunguru muoga huyo lissu akitoka aanze na hawa wanaharakati wa online fukuzia mbali
 
Hawa wanaharakati feki kama huyu shangazi huwa wanakurupuka kurupuka hovyo

Hayupo hata Bongo haya kajuaje? Kunguru muoga huyo lissu akitoka aanze na hawa wanaharakati wa online fukuzia mbali
Kitu cha msingi ni connection hata ukiwa unaishi Marekani ukiwa na connection unaweza kumzidi aliye dar.
 
Anaweza kuhukumiwa kunyongwa ila kabla Rais hajatia saini, Desember 9 atapewa msamaha wowote ule. Hii ndiyo option ninayoiona. Hii option inawapa serikali uwalali kwamba jamaa alikuwa mhaini ila pia itampa Rais haueni kwamba ametoa msamaha na hajanyonga kiongozi wa upinzania.,
 
Hawa wanaharakati feki kama huyu shangazi huwa wanakurupuka kurupuka hovyo

Hayupo hata Bongo haya kajuaje? Kunguru muoga huyo lissu akitoka aanze na hawa wanaharakati wa online fukuzia mbali
Haujui kwamba kuna watu wapo mabara ya mbali wanapata taarifa za ndani za yanayoendelea serikalini kabla ya wewe uliyepo nchini mkuu?
 
Kamuulize Katuga.

Wakili wa serikali Katuga: Kwamba shall be liable naomba hayo maneno yawe ni bold kwasababu mwanzo mwisho upande wa utetezi adhabu ya shauri hili ni kunyongwa tu.

Katuga: Matumizi ya neno shall be liable ni msimamo wa sheria kwamba adhabu katika shitaka hili ni kuanzia 0 up to death penalty. The maximum penalty in death by hanging.

Katuga: Mahakama yenu ina decretion yake ya kuamua aina ya adhabu.
Katuga huyo anayetaka adhabu itolewe kwa mujibu wa sheria ya zamani badala ya sheria iliyopo?
Soma hii;

Hukumu inaboreshwa kwa ajili ya TAL,

"utasikia kutokana na marekebisho ya kifungu kidogo cha sheria cha makosa ya jinai mwaka 2026 mahakama inamtia hatiani Mshtakiwa na hivyo....."
 
muhaini anaesota korokoroni atahukumiwa kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kulingana na porojo za kibaraka mwenzake wa mabwenyenye ya magharibi 🐒
Mkata viuno CCM HAINA rafiki kesho unaweza kusulubiwa wewe aha kushadadia ujinga siasa na viposho unavyopewa Sasa visikulevye mkata viuno CCM ni Kama joka kina ng'ata yeyote.
 
Muda na resources ambazo serikali imetumia kwa ajili ya hii case, wangeshupalia mambo mengine, ajira zaidi ya 100,000/= zingetengenezwa, na tungeokoa pesa nyingi.
Serikali wanamatumizi ya hovyo sana ya pesa
 
Kosa la uhaini ni kifo,lisu mwenyewe alisema kama amekutwa na hatia anyongwe kama hana hatia aachiwe huru,kuna two options ni either kunyongwa au kuachiwa huru,yote na yote namuombea awe huru,amepitia mengi sana tundu lisu.
 
muhaini anaesota korokoroni atahukumiwa kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kulingana na porojo za kibaraka mwenzake wa mabwenyenye ya magharibi 🐒
Tunajua kosa la uhaini ni kunyongwa hii ndiyo hukumu iliyo ainishwa ktk makosa ya jinai kifungu cha 39. Hakuna kujibalaguza kuwa kuna kiungo cha miezi,miaka wala maisha.

Tunasubiri kuona mnavyomnyonga.
 
Mimi ni mwanasheria pori. Uhaini haina hukumi za options kama ulivyoeleza. Mtuhumiwa akipatikana na hatia hukumu ni moja tu nayo ni Kunyongwa Hadi kufa.

Haiwezekani apatikane na hatia halafu hukumu iwe ya uchochezi, kwani shitaka lilikuwa ni la uchochezi?
Hapa ndipo dunia itashangaa na kutuongezea nguvu ya mapambano dhidi ya udhalimu
 
Back
Top Bottom