Maria Sarungi: Wana option 4 mezani kwao ila sio ya kunyonga.

Baada ya kesi kukamilika kimama kimeshauriwa amwachie Lissu maana imeshakuwa aibu HATAKI!

Wamepanga lazima wamkute na hatia.

Option 1 - Wamhukumu uhaini mdogo (whtever this means) jela miezi 6 na faini kama Katuga alivyosema - hii imeshaanza kueleweka na kupingwa vikali.

Option 2 - Ahukumiwe kifungo cha maisha halafu akate rufaa aachiwe ila rufaa wataichelewesha hadi kimama kitoke au kife whichever comes first.

Option 3 - Wamhukumu kifungo cha maisha au miaka mingi alafu kimama kitoe msamaha.

Option 4 - Wamkute na hatia ya uchochezi ila watampa kifungo cha kutumikia nyumbani (house arrest).
….Option 5 - watoe hukumu kwamba hana hatia, hivyo aachiwe huru.
 
Shida yetu watanzania sijui waafrica tunapenda sana kuonekana tuna taarifa nyeti na za ndani hata kama hatuna uwezo huo. Sasa huyo aliyetoa kauli hizo ni kama anapiga ramli tu, kama ana uhakika wa mipango iliyopo angetwambia kwa hakika ni nini kilichopangwa.

Ukifuatilia mtiririko wa ushahidi uliotolewa na ata hitimisho la Katuga ni wazi wao wenyewe hawaamini kama Mh. Lisu anaweza kuhukumiwa kifo kutokana na uzito wa ushahidi wao, lakini yote kwa yote tuiachie mahakama kwa sasa ifanye uamuzi wake. Kikubwa tuwaombee majaji waongozwe na hekima ya Mungu watende haki kulingana na wao walivyouona ushahidi wa pande zote. Tuuachie muda, utaamua.
 
Kabla ya hukumu ya Tundu Lissu kufika au siku kadhaa mbele, kutatokea tukio kubwa la kitaifa( ama maafa ya janga la asili, ama kiongozi wa zamani au sasa (mme au mke ) atakufa.
 
Baada ya kesi kukamilika kimama kimeshauriwa amwachie Lissu maana imeshakuwa aibu HATAKI!

Wamepanga lazima wamkute na hatia.

Option 1 - Wamhukumu uhaini mdogo (whtever this means) jela miezi 6 na faini kama Katuga alivyosema - hii imeshaanza kueleweka na kupingwa vikali.

Option 2 - Ahukumiwe kifungo cha maisha halafu akate rufaa aachiwe ila rufaa wataichelewesha hadi kimama kitoke au kife whichever comes first.

Option 3 - Wamhukumu kifungo cha maisha au miaka mingi alafu kimama kitoe msamaha.

Option 4 - Wamkute na hatia ya uchochezi ila watampa kifungo cha kutumikia nyumbani (house arrest).
Option 4 ipoje kisheria, ukitilia maanani Kesi ilikuwa ni ya uhaini
 
Baada ya kesi kukamilika kimama kimeshauriwa amwachie Lissu maana imeshakuwa aibu HATAKI!

Wamepanga lazima wamkute na hatia.

Option 1 - Wamhukumu uhaini mdogo (whtever this means) jela miezi 6 na faini kama Katuga alivyosema - hii imeshaanza kueleweka na kupingwa vikali.

Option 2 - Ahukumiwe kifungo cha maisha halafu akate rufaa aachiwe ila rufaa wataichelewesha hadi kimama kitoke au kife whichever comes first.

Option 3 - Wamhukumu kifungo cha maisha au miaka mingi alafu kimama kitoe msamaha.

Option 4 - Wamkute na hatia ya uchochezi ila watampa kifungo cha kutumikia nyumbani (house arrest).
Lissu atakata rufaa... Na aibu yao itazidi kuwa kubwa zaidi!
 
Mungu ni mkali kwa makatili.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Baada ya kesi kukamilika kimama kimeshauriwa amwachie Lissu maana imeshakuwa aibu HATAKI!

Wamepanga lazima wamkute na hatia.

Option 1 - Wamhukumu uhaini mdogo (whtever this means) jela miezi 6 na faini kama Katuga alivyosema - hii imeshaanza kueleweka na kupingwa vikali.

Option 2 - Ahukumiwe kifungo cha maisha halafu akate rufaa aachiwe ila rufaa wataichelewesha hadi kimama kitoke au kife whichever comes first.

Option 3 - Wamhukumu kifungo cha maisha au miaka mingi alafu kimama kitoe msamaha.

Option 4 - Wamkute na hatia ya uchochezi ila watampa kifungo cha kutumikia nyumbani (house arrest).
Nataka wamnyonge hadi afe nchi ichangamke kidogo
 
Back
Top Bottom