Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
sasa ikiwa mnajua ni kunyongwa,Tunajua kosa la uhaini ni kunyongwa hii ndiyo hukumu iliyo ainishwa ktk makosa ya jinai kifungu cha 39. Hakuna kujibalaguza kuwa kuna kiungo cha miezi,miaka wala maisha.
Tunasubiri kuona mnavyomnyonga.
kulikoni kubabaika na porojo za huyo mbibi wenu mwenyewe mashavu na kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi?
hamuoni kama changamoto ya kubebwa ufala wa kifikra na vibaraka useless kama huyo mbibi inaongezeka zaidi miongoni mwenu kama wafuata mkumbo?🐒