Maria Sarungi: Wana option 4 mezani kwao ila sio ya kunyonga.

Maria Sarungi: Wana option 4 mezani kwao ila sio ya kunyonga.

Kwa mujibu wa Sheria gani?
Maana aina ya kosa aliloshitakiwa nalo lina huku mbili tu, either huru au kunyongwa hadi kufa.
Hakuna condition yeyote nje ya hizo. Hakuna cha uhaini mdogo wala uchochezi.
Ikitolewa hukumu tofauti na kunyongwa au kuachiwa italeta shida sana. Watu wengi wata attemp kufanya uhaini serious wa kupindua serikali
 
,,,, atahukumiwa kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi
Tatizo ni kwamba hukumu ikitolewa kwa mujibu wa sheria, TL ataachiwa huru na kudai fidia ndefu, jambo ambalo linaumiza kichwa
 
Baada ya kesi kukamilika kimama kimeshauriwa amwachie Lissu maana imeshakuwa aibu HATAKI!

Wamepanga lazima wamkute na hatia.

Option 1 - Wamhukumu uhaini mdogo (whtever this means) jela miezi 6 na faini kama Katuga alivyosema - hii imeshaanza kueleweka na kupingwa vikali.

Option 2 - Ahukumiwe kifungo cha maisha halafu akate rufaa aachiwe ila rufaa wataichelewesha hadi kimama kitoke au kife whichever comes first.

Option 3 - Wamhukumu kifungo cha maisha au miaka mingi alafu kimama kitoe msamaha.

Option 4 - Wamkute na hatia ya uchochezi ila watampa kifungo cha kutumikia nyumbani (house arrest).

Nyumbu baada kushindwa kukinukisha na kuzuiya
Uchaguzi

Kila siku mnaota kushindwa upande wawashindi !!!

Lissu yupo Lupango mwaka nanusu!!
tena unamfunga miezi 6 kweli nyumbu wamejichokea mpaka kufikiria

Kesho ukiamka utakuja na ndoto nyengine Jamii forum kwasasa inapitia kipindi kigumu baada Mungu wa Chadema kusekwa Lupango!!!!!!
 
Tatizo ni kwamba hukumu ikitolewa kwa mujibu wa sheria, TL ataachiwa huru na kudai fidia ndefu, jambo ambalo linaumiza kichwa
hapajawahi kutokea fidia ndefu gentleman,
fidia zote hulipwa kwa mujibu wa sheria mbila mbamabamba yoyote :1Head:
 
Baada ya kesi kukamilika kimama kimeshauriwa amwachie Lissu maana imeshakuwa aibu HATAKI!

Wamepanga lazima wamkute na hatia.

Option 1 - Wamhukumu uhaini mdogo (whtever this means) jela miezi 6 na faini kama Katuga alivyosema - hii imeshaanza kueleweka na kupingwa vikali.

Option 2 - Ahukumiwe kifungo cha maisha halafu akate rufaa aachiwe ila rufaa wataichelewesha hadi kimama kitoke au kife whichever comes first.

Option 3 - Wamhukumu kifungo cha maisha au miaka mingi alafu kimama kitoe msamaha.

Option 4 - Wamkute na hatia ya uchochezi ila watampa kifungo cha kutumikia nyumbani (house arrest).
Hakuna kupenyezapenyeza vihukumu vya kumuonea huruma. Lissu ni wa kunyongwa hadi kufa! Period!!
 

Attachments

  • IMG_6157.jpeg
    IMG_6157.jpeg
    56.7 KB · Views: 8
Ningekutana na Mzee Mrisho ningemuuliza...

Hivi Mzee, nguvu zoooote hizi na damu na sadness kwenye jamii, polisi ndio wana run the country ( mgogoro wa LATRA na mabasi waziri wa mambo ya ndani ndio kaja - kasema katumwa na utawala wa nchi - kaja kuwafunika waziri wa uchukuzi na wa biashara na wa TRA ) nguvu zoooote hizi ili tu kina Ridhiwani waje wawarithi, kweli watoto wenu mnawatengenezea mazngira ya kutawala kwa mbinde mbinde na kimabavu, na wao pia itabidi waje wamwage damu, hivi siku haupo halafu huyo Rais Ridhiwani ikatokea akapigwa tanchi kama kina Samuel Doe na Ghaddafi wakafia wanaburuzwa uchi barabarani sijui kakatwa mapumbu, utajisikiaje ukimchungulia ukiwa kaburini ???? Ndio mazingira mnayoyajengea watoto wenu hayo kweli ???????

Baada kuota ndoto yako ndefuu ukumuona Lissu akiwa Rais na watoto wake wakitembea na Ferrari mijini!!!!

wewe ulikuwa nanafasi gani
 
Ikitolewa hukumu tofauti na kunyongwa au kuachiwa italeta shida sana. Watu wengi wata attemp kufanya uhaini serious wa kupindua serikali

Atafungwa miaka ile Majaji wataona ni funzo tosha
kwa Wanasiasa wengine wenye tabia kama za Lissu kuweka nia ya kuzuiya Uchaguzi kinyume cha Sheria!!!!!
 
Kisheria za Dini Nia ni tendo
Mojakwamoja ndiomana tunaambiwa tuwe na dhamira nzuri kwa wengine

Usitamani cha mwenzi

KUMBE Hata MUNGU UTOA HUKUMU KWA NIA YAKO TU.

Wanasema ukiwa ww ulikuwa mlevi sana Jambazi sana mwizi sana lkn siku moja ukaweka Nia ya kutubu

Ukajiendea nyumba ya Ibada kabla kufika nyumba ya Ibada
ukafa !! Watu wadini wanatwambia wewe Dhambi zako zimefutwa yumkin Ufalme pepo vikawa vyako !!


Mwengine uyu alikuwa mpenda kumwabudu Mungu sana
Lkn nayeye siku moja akaweka Nia
Ya kwenda kufanya Zambi kubwa

Nayeye huyu kwa Nia ya kwenda kufanya tendo baya manake tayali nafsi yake imepotoka !!

Akafa kabla kufika kule kataka kwenda kufanya Dhambi!!

bado hukumu ya Mungu ipo pale pale hatakama hakufanya tukio lkn Nia yako Mungu tayali anatoa hukumu kwa iyo Nia.

Je Lissu Nia yake ilikuwa ni njema au mbaya Kisheria zote ??????
 
Hao wanaompangia wao Wana uhakika na kesho Yao ama ndo wanatangulia wao ...ngoja wajue mipango ya mwanadamu si Mungu
 
Sasa napata kuelewa zaidi maana ya El-nino na safisha safisha ya barabara na machinga. Tunawekwa mkao wa wao kuleta matukio Yao soon. Mungu na atunusuru na shetani
 
muhaini anaesota korokoroni atahukumiwa kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kulingana na porojo za kibaraka mwenzake wa mabwenyenye ya magharibi 🐒
Hao unaowaita Mabwanyenye ndio wapo Arusha sasa hivi na mnawalamba makalio kwenye vikao huko. Ndio haohao mmekopa kwao, wanawadai mpaka kizazi chenu cha 10, haohao ndio mnaowalilia wawape misaada mpate kutoa chanjo na dawa za kufubaza UKIMWI.
Next time you open your mouth make sure upo chooni kwasababu hakina tofauti na unachotoa in your ass.
 
muhaini anaesota korokoroni atahukumiwa kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kulingana na porojo za kibaraka mwenzake wa mabwenyenye ya magharibi 🐒
Jamaa akiachiwa utaona aibu sana msenge wewe sijui utauficha wapi ****** wako humu JF
 
Hao unaowaita Mabwanyenye ndio wapo Arusha sasa hivi na mnawalamba makalio kwenye vikao huko. Ndio haohao mmekopa kwao, wanawadai mpaka kizazi chenu cha 10, haohao ndio mnaowalilia wawape misaada mpate kutoa chanjo na dawa za kufubaza UKIMWI.
Next time you open your mouth make sure upo chooni kwasababu hakina tofauti na unachotoa in your ass.
changia mjadala bila mihemko na bila kuropoka ropoka vitu nonsense jukwaani na itapendeza zaidi gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom