Maria Surungi: Deo Ndejembi ni Mzanzibari, Muislamu, pia ana uraia wa Uingereza

Kwahiyo soon tutarejeshwa kwa Sultan kupitia mikataba kama ya bandari
 
Kuna mtu ameposti humu kuwa Wanzanzibari wamefurahi sana uteuzi wa Ndejembi
Yaani kuna mambo hufanyika, "ONLY IN TANZANIA" !!
Jaribu kuwaza kwa sauti, MARA PAAAA....!!NUSU MLINGOTI mama CHURA R.I.P, the next Presida according to Tanzania Fake Constitution.....is DEOGRATIAS NDEJEMBI....really? Tusubiri mwisho wake in 4+ years to come!!!
 

Sio kweli mkuu, Kikwete na Shein, Kikwete na Bilal wote walikua waislamu.

Kiilivo ni hivi, katika nafasi kuu tatu ukijumuisha na waziri mkuu hua lazima kuwa na mmoja wa dini nyengine kwa maana either waislamu wawili mkirsto mmoja, au wakristo wawili muislamu mmoja. Kwahiyo hapo bado sijaona tatizo lolote.
 
huyu Maria ni mpuuzi sana, yeye always anahubiri chuki na ubaguzi. pumbavi kabisa
 
Hta w
Hata wote wakiwa wa imani moja kuna madhara gani
Kwani anatafutwa shehe au mchungaji au padre?
 

acha mihemko mkuu
 
Issue ya udini ipo kabisa na huyo mama ndio kaileta.
Dini zenyewe mmeletewa tu hapa halafu mnajifanya nyie ndio mna dini kuliko hata huko zilipotoka wajinga nyie.Babu wa Babu aliyemzaa Baba wa babu yako au mama yako walikuwa ni dini gani?
 
Huyu dada amevuruga sana hapa naona hata watu wengi watamkimbia ….
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…