Maria Surungi: Deo Ndejembi ni Mzanzibari, Muislamu, pia ana uraia wa Uingereza

Huyu jamaa ana miaka 37 aisee nimecheka Sana baada ya kusikitika

Imagine katiba imevunjwa wazi wazi

Kikwete na genge lake wanakenua meno tu
Umecheki wapi mkuu 'tech', mbona watu wa kuaminiwa nanyi mnakuwa hivi?
Tueleze huo ukweli uliouona wewe, nasi tuwe na hakika kinachosemwa juu yake.
Kwa nini tuzungushane kwa jambo kama hili?
 
Baadhi ya Watanzani siku hizi tumekuwa mazuzu. Ikiwa tunakubali huyu babaake anatoka Tanganyika, ni Mtanganyika - Mtanzania aliyetokea Bara - Utanzania/Utanganyika wake unakufa? Hata ingekuwa mamake anatoka Zanzibar- jambo ambalo silo - asingekuwa Mtanganyika?. Mamake Deo ni Mzungu. Lijue hili.
 
Najiuliza tu huyu mtu imekuaje kaekwa hapo yani A list yoteeeeeeeeeeee imepgwa chini kaja ekwa mtu hata hamna mtanzania mmoja anamfahamu.

Ila hiii nchi...basi tu
 
Sasa nani afuate taarifa za wajinga ka Maria

USSR
 
Huu ndio ukweli,wameishiwa hoja,roho zinawauma,ameshakuwa makamo wa rais mgogo
 
Miaka 37 ni mtu wa 1989...kwa cv yake kaanza shule 1988 so mi nadhani ni above 43.
Watu wanataka kusema huyu ni mdogo Kwa cristiano Ronaldo, watu wanataka kusema huyu ana ringana na Vincent kigosi ray, mbona jamaa ni mkubwa hapo mix na hela za skin care hazimpigi chenga wakuu, unaleta wasiwasi kwangu mana hata magufuli walisema mrundi, makamu aheshimiwe ndugu zangu haitabafili chochote, ni haramu Kwa mtoto wa kiislamu kukanyaga kanisani kusali rozali sasa tuangalie mahudhurio yake kanisani ndio UUNGWANA, tusi waseeme watu haipendezi
 
Waislamu haswa wanaokwenda misikitini ni wapumbavu huu ni ukweli siyo tusi.
Mimi msikitini naenda, ila nimekuzidi elimu, uwezo wa kimaisha na familia , exposure ya dunia, na hela pia nimekuzidi
Sasa mimi na wewe nani mpumbavu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…