Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Ushajua kwann wanakaa NYUMAUmenikumbusha wimbo wa Patricia Hillary anahoji "manahodha wa mashua kwanini wakae nyuma"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushajua kwann wanakaa NYUMAUmenikumbusha wimbo wa Patricia Hillary anahoji "manahodha wa mashua kwanini wakae nyuma"
Dogo anakula pilau zote mbili bure....😁
Ndo nani
Hv mbali na huo upishi Kuna issue nyngn au scandal inamuhusu Mariam? Maana hili jina sio geni masikioni mwangu
Amakinike baadhi ya wanawake wa mijini siku hizi wana tabia chumbaniDogo anakula pilau zote mbili bure....[emoji16]
Hapanaa,Ushajua kwann wanakaa NYUMA
Namwonea huruma sana kijana wa watu!!Mwamba kapiga goti kabisa.
Unajuaje labda msela kafuata hiyo huduma iliyompa umaarufu uliyo iwekea mabano?
AL SHABAB KABISA HUYUDuu jamaa anafaha kujiunga na kundi la Hamas sio kwa ujasiri huu duuu
Hiyo I'd yako imefanana na jina la bidhaa moja inayotengenezwa Manyoni,Singida.Kwahiyo msela usiku ataenda kulizwa kwamba atakula ndipo ale au ale ndio akule
Huwezi jua,vijana wa siku hizi chumbani wako na sarakasi mingi😁Amakinike baadhi ya wanawake wa mijini siku hizi wana tabia chumbani
Sent using Jamii Forums mobile app