Mariam Birian avalishwa pete, anaolewa siku chache zijazo

Mariam Birian avalishwa pete, anaolewa siku chache zijazo

Kama unahisi ushaona kila kitu katika dunia hii basi bado.

Mariam Birian ambaye ni mdada mpika birian maeneo ya Tabata na maarufu huko mitandaoni (wengi mnajua umaarufu wake) amevalishwa pete na anakaribia kuolewa.

Huyu mwamba aliyemvalisha Mariam pete ni miongoni mwa wanadamu wenye ujasiri mkubwa sana kuwahi kutokea katika uso wa dunia.

Niwatakie ndoa njema kwa wawili hao.View attachment 2778121
Huyu mwamba aliyemvalisha Mariam pete ni miongoni mwa wanadamu wenye ujasiri mkubwa sana kuwahi kutokea katika uso wa dunia. [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unahisi ushaona kila kitu katika dunia hii basi bado.

Mariam Birian ambaye ni mdada mpika birian maeneo ya Tabata na maarufu huko mitandaoni (wengi mnajua umaarufu wake) amevalishwa pete na anakaribia kuolewa.

Huyu mwamba aliyemvalisha Mariam pete ni miongoni mwa wanadamu wenye ujasiri mkubwa sana kuwahi kutokea katika uso wa dunia.

Niwatakie ndoa njema kwa wawili hao.View attachment 2778121
kuna nini cha ajabu hapo mwanaume na mwanamke wakiamua kuoana? Au mpishi hastahili kuolewa?
 
Mtu hupewa wa kufanana nae.

Ndiyo kanuni.

Mhuni hupata mhuni mwenzie, muungwana hupata muungwana mwenzie.

Usutafute muungwana , anza kwanza wewe kujifunza na kuwa muungwana.
Sahihi Biblia inatamka wazi

Mwanzo 2:18​

BWANA Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.

My take:Mtu akiwa tapeli uwezekano wa kupata asiye tapeli mdogo

Huyo mvisha Pete kapata wa kufanana naye
Mwenyezi Mungu kawaepusha wengine wasije olewa na huyo mvisha Pete aende kwa anayefanana naye

Mungu mkubwa .Hapo kafika ukisikia mwisho wa reli haiendelei zaidi ya hapo ndio hapo kwa Mariamu Biriani alipofika
 
Ukienda magomeni, Kinondoni Ilala n.k wahuni walooana wanakubaliana kutega mingo wapate hela ya kula mjini na Pango ,

Mke anajilengesha kwa mabwana , akipata bwana anaenda nae baa kisha gesti , wakati bwana anakuwa pembeni,
Ile wanakaribia kuingia gesti mke anamtumia sms mume akaribie
Gafla anaanzisha vagi Kwa yule jamaa kisha wanamtia Jamba Jamba atoe hela vinginevyo wanmpiga
Picha na kumdhalilisha.
 
Back
Top Bottom