Marian Schools huduma ya chakula, usafi ni ovyo sana

Upo very local and primitive. Kwasababu wakati unasoma ulibeba jembe ,fagio na ndoo ya maji ndio unataka na mwanao abebe. Muda mwingine acheni mawazo ya kimasikinimasikini
 
Upo very local and primitive. Kwasababu wakati unasoma ulibeba jembe ,fagio na ndoo ya maji ndio unataka na mwanao abebe. Muda mwingine acheni mawazo ya kimasikinimasikini
Yaani kumjengea mtoto uweze wa kujifanyia mambo ya msingi ndiyo unaita local and primitive?...no wonder ninyi vijana siku hizi mnazidi kuwa mashoga kwa wingi huku mkiona ndiyo ujanja na usasa na ushua.
 
Africa kazi sanaaaaa, yaani wanafunzi kusafisha vyoo vyao leo ni tatizo? Baadae mje mlalamike watoto hawapewi skills za maisha,😂😂😂 Btw, najua wewe umetumwa na washindani wao wa kibiashara tu
Jamaa jinga kabsaa, linataka mtoto baadae awe mtu wa namna gani, ndio hayo baada ya kupata kazi yananenepeana mpaka ushindwa kuelewa huyu ni binadamu wa namna gani, hata jkt hawezi kwenda.
 
Ulikuwa unalip sh? Kwa mwaka?
 
Yaani kumjengea mtoto uweze wa kujifanyia mambo ya msingi ndiyo unaita local and primitive?...no wonder ninyi vijana siku hizi mnazidi kuwa mashoga kwa wingi huku mkiona ndiyo ujanja na usasa na ushua.
Wewe waache watoto wako wasome kwa mituringa kama wewe. Wengine tulishatoka huko. Maana mnachoamini kupata shida ndio akili ya mafanikio.
 
Marian schools ada zao hazizidi hata milioni 4.

Ni shule ya gharama nafuu ila inachukua wanafunzi wenye uwezo mkubwa.
 
Tukuite mpumbavu tu wewe,yaani kwa hizo hela mnazolipa kama ada ndio mnataka watoto wenu wadekezwe???
Tanzania tuna mawazo finyu sana. Mtoto usipomlea kwa ''mkono wa chuma'' unaonekana kama hujui kulea. Mtoto ni lazima apewe kazi ngumu, agombezwe na kuwekewa masharti makali makali. Kila shule ina utaratibu wake kulingana na ada wanayolipa wazazi. Kuna shule wanajumlisha fedha za usafi kwenye ada ili watoto wazingatie masomo. Wewe bado una zile mila za kizamani za kulimisha watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…