Chadema wakikubali mtego wa CCM kuingia kwenye maridhiano yasiyo na tija watakuwa wamejimaliza wenyewe, madai yao yote yatafunikwa na blanketi la maridhiano.
Chadema itakuwa imejiziba mdomo kwa mikono yake yenyewe kila kitu wataambiwa wasubiri matokeo ya maridhiano.
Maridhiano feki hayana tofati na tume ya Chande ya kupumbaza jumuiya za kimataifa, wananchi na wahisani.
Chadema ikiingia kwenye maridhiano 'feki', mswada wa bunge la Marekani hautakuwa na nguvu tena itabidi usubiri matokeo ya maridhiano.
Kombo atazunguka dunia nzima kuelezea mafanikio ya CCM kufanikisha maridhiano hata kama hayapo.
CCM watatumia tukio hilo zikiwemo picha kwenda kujitetea kwa wahisani na kuwaambia kuwa wametekeleza madai yote ya wananchi na upinzani.
Maridhiano bila Lissu kutoka itakuwa ni kumsaliti Lissu na CCM itatumia mwanya huo kupandikiza mifarakano ndani ya Chadema.
Maridhiano yatatoa matumaini hewa ya kupatikana kwa katiba mpya, na utakuwa ndio mwanzo wa mwisho wa madai ya katiba mpya.
Maridhiano yatahusisha vyama mamluki ambavyo vitataka haki sawa kwa vyama vyote hata kama vilikuwa havina sababu ya kuridhiana lengo ni kupunguza sauti ya Chadema.
Maridhiano bila kutekelezwa kwa sababu za msingi zikiwemo; Haki kwa wahanga wa Mo29, kurudiwa kwa uchaguzi huru, kufutwa kesi ya mchongo ya uhaini ya Lissu, kuachiwa kwa wafungwa wote wa kisiasa, kuwajibika kwa watuhumiwa wa mauaji ya Oktoba 29, kuwajibika kwa watekaji, ratiba ya kupatikana katiba mpya, kitakuwa ni kitanzi kwa Chadema.
Chadema kamwe isiingie kwenye mtego huo.
By, Quinine.
useless narrative 🐒Chadema wakikubali mtego wa CCM kuingia kwenye maridhiano yasiyo na tija watakuwa wamejimaliza wenyewe, madai yao yote yatafunikwa na blanketi la maridhiano.
Chadema itakuwa imejiziba mdomo kwa mikono yake yenyewe kila kitu wataambiwa wasubiri matokeo ya maridhiano.
Maridhiano feki hayana tofati na tume ya Chande ya kupumbaza jumuiya za kimataifa, wananchi na wahisani.
Chadema ikiingia kwenye maridhiano 'feki', mswada wa bunge la Marekani hautakuwa na nguvu tena itabidi usubiri matokeo ya maridhiano.
Kombo atazunguka dunia nzima kuelezea mafanikio ya CCM kufanikisha maridhiano hata kama hayapo.
CCM watatumia tukio hilo zikiwemo picha kwenda kujitetea kwa wahisani na kuwaambia kuwa wametekeleza madai yote ya wananchi na upinzani.
Maridhiano bila Lissu kutoka itakuwa ni kumsaliti Lissu na CCM itatumia mwanya huo kupandikiza mifarakano ndani ya Chadema.
Maridhiano yatatoa matumaini hewa ya kupatikana kwa katiba mpya, na utakuwa ndio mwanzo wa mwisho wa madai ya katiba mpya.
Maridhiano yatahusisha vyama mamluki ambavyo vitataka haki sawa kwa vyama vyote hata kama vilikuwa havina sababu ya kuridhiana lengo ni kupunguza sauti ya Chadema.
Maridhiano bila kutekelezwa kwa sababu za msingi zikiwemo; Haki kwa wahanga wa Mo29, kurudiwa kwa uchaguzi huru, kufutwa kesi ya mchongo ya uhaini ya Lissu, kuachiwa kwa wafungwa wote wa kisiasa, kuwajibika kwa watuhumiwa wa mauaji ya Oktoba 29, kuwajibika kwa watekaji, ratiba ya kupatikana katiba mpya, kitakuwa ni kitanzi kwa Chadema.
Chadema kamwe isiingie kwenye mtego huo.
By, Quinine.
Watakuwa wanawasaliti misingi ya chama chao once wakienda mrengo huoWaridhiane tu, Lissu atoke huko hadi ikulu kulambishwa shushu, kina heche, lema walambe uwaziri nchi itulie kama visiwa vya zanzibar mwendo ni maridhiano tu
Leo karibu miezi mitatu, hizo zilikuwa gimmicks za kupoteza muda.Sijui tume ya jinai imefikia wapi. Nchi inahitaji kumalizana na oct 29 maana ndo yenye madhara kuliko hata hayo ya kusameheana chama tawala na upinzani.
Ignored!useless narrative 🐒
Nitawadharau sana cdm iwapo wataingia kwenye maridhiano fake. Huu upuuzi wa watu kuvunja taratibu, kupora chaguzi na kufanya mauaji, kisha kuingia kwenye maridhiano bila uwajibikaji ni upuuzi wa hali ya juu. Naunga mkono hoja kuwa Cdm wasikubali kabisa huo upuuzi.Chadema wakikubali mtego wa CCM kuingia kwenye maridhiano yasiyo na tija watakuwa wamejimaliza wenyewe, madai yao yote yatafunikwa na blanketi la maridhiano.
Chadema itakuwa imejiziba mdomo kwa mikono yake yenyewe kila kitu wataambiwa wasubiri matokeo ya maridhiano.
Maridhiano feki hayana tofati na tume ya Chande ya kupumbaza jumuiya za kimataifa, wananchi na wahisani.
Chadema ikiingia kwenye maridhiano 'feki', means kwa heri mpatanishi huru wa kimataifa, mswada wa bunge la Marekani hautakuwa na nguvu tena itabidi usubiri matokeo ya maridhiano.
Kombo atazunguka dunia nzima kuelezea mafanikio ya CCM kufanikisha maridhiano hata kama hayapo.
CCM watatumia tukio hilo zikiwemo picha kwenda kujitetea kwa wahisani na kuwaambia kuwa wametekeleza madai yote ya wananchi na upinzani.
Maridhiano bila Lissu kutoka itakuwa ni kumsaliti Lissu na CCM itatumia mwanya huo kupandikiza mifarakano ndani ya Chadema.
Maridhiano yatatoa matumaini hewa ya kupatikana kwa katiba mpya, na utakuwa ndio mwanzo wa mwisho wa madai ya katiba mpya.
Maridhiano yatahusisha vyama mamluki ambavyo vitataka haki sawa kwa vyama vyote hata kama vilikuwa havina sababu ya kuridhiana lengo ni kupunguza sauti ya Chadema.
Maridhiano bila kutekelezwa kwa sababu za msingi zikiwemo; Haki kwa wahanga wa Mo29, kurudiwa kwa uchaguzi huru, kufutwa kesi ya mchongo ya uhaini ya Lissu, kuachiwa kwa wafungwa wote wa kisiasa, kuwajibika kwa watuhumiwa wa mauaji ya Oktoba 29, kuwajibika kwa watekaji, ratiba ya kupatikana katiba mpya, kitakuwa ni kitanzi kwa Chadema.
Chadema kamwe isiingie kwenye mtego huo, Chadema ijiulize kwanini CCM akiwemo mama Samia wanalazimisha Maridhiano?
By, Quinine.
Na kweli CDM wasikubali maridhiano. Twende hivi hivi mpk 2030. Kwani kuna tatizo gani tukibaki bila maridhiano?Chadema wakikubali mtego wa CCM kuingia kwenye maridhiano yasiyo na tija watakuwa wamejimaliza wenyewe, madai yao yote yatafunikwa na blanketi la maridhiano.
Chadema itakuwa imejiziba mdomo kwa mikono yake yenyewe kila kitu wataambiwa wasubiri matokeo ya maridhiano.
Maridhiano feki hayana tofati na tume ya Chande ya kupumbaza jumuiya za kimataifa, wananchi na wahisani.
Chadema ikiingia kwenye maridhiano 'feki', means kwa heri mpatanishi huru wa kimataifa, mswada wa bunge la Marekani hautakuwa na nguvu tena itabidi usubiri matokeo ya maridhiano.
Kombo atazunguka dunia nzima kuelezea mafanikio ya CCM kufanikisha maridhiano hata kama hayapo.
CCM watatumia tukio hilo zikiwemo picha kwenda kujitetea kwa wahisani na kuwaambia kuwa wametekeleza madai yote ya wananchi na upinzani.
Maridhiano bila Lissu kutoka itakuwa ni kumsaliti Lissu na CCM itatumia mwanya huo kupandikiza mifarakano ndani ya Chadema.
Maridhiano yatatoa matumaini hewa ya kupatikana kwa katiba mpya, na utakuwa ndio mwanzo wa mwisho wa madai ya katiba mpya.
Maridhiano yatahusisha vyama mamluki ambavyo vitataka haki sawa kwa vyama vyote hata kama vilikuwa havina sababu ya kuridhiana lengo ni kupunguza sauti ya Chadema.
Maridhiano bila kutekelezwa kwa sababu za msingi zikiwemo; Haki kwa wahanga wa Mo29, kurudiwa kwa uchaguzi huru, kufutwa kesi ya mchongo ya uhaini ya Lissu, kuachiwa kwa wafungwa wote wa kisiasa, kuwajibika kwa watuhumiwa wa mauaji ya Oktoba 29, kuwajibika kwa watekaji, ratiba ya kupatikana katiba mpya, kitakuwa ni kitanzi kwa Chadema.
Chadema kamwe isiingie kwenye mtego huo, Chadema ijiulize kwanini CCM akiwemo mama Samia wanalazimisha Maridhiano?
By, Quinine.
Nakazia maridhiano ya ACT na CCM ya paka na panya. Hivi CCM huwa wanatuonaje.Uwajibikaji kwa yaliyoteokea 29 Oct ni muhimu sana maana watu wamepoteza wapendwa wao na hawajulikani wamezikwa/tupwa wapi hivyo aliyetoa amri ya kutumia risasi za moto kwa raia wasiokuwa na siraha ni nani? Kutokea hapo ndio maridhiano yanaweza kufanyika kinyume na hapo yatakuwa ni yale yale ya ACT na ccm kule ZNZ ukifika uchaguzi wanachezewa rafu kubwa na kutandikwa kweli kweli ila baadae wanaitwa mezani wakae wayazungumze. Huu ujanja ujanja lazima ufike mwisho hauna tija kwa ustawi wa nchi na wananchi wake.
Mshauri mama yako mbona anahangaika nayo si atulie.Na kweli CDM wasikubali maridhiano. Twende hivi hivi mpk 2030. Kwani kuna tatizo gani tukibaki bila maridhiano?
Foolish at her bestuseless narrative 🐒
Ah Najua Matusi ni sifa muhimu sana huko CHADEMA.Mshauri mama yako mbona anahangaika nayo si atulie.
Kusema mama yako kwenu ni matusi.Ah Najua Matusi ni sifa muhimu sana huko CHADEMA.
Ila bado nakazia CDM msikubali maridhiano yoyote, twende hivi hivi mpk 2030
Tena mmefunzwa kutukana kwa namna ambayo ht ukifikishwa mahakamani mtu anakosa ushahidi wa kuthibitisha tusi hilo. Chuo chenu kiko vizrKusema mama yako kwenu ni matusi.