Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Kabla ya hicho kinachoitwa maridhiano hakuwahi kuwepo kwa hitaji hilo toka kwa wananchi.
Kama mwana ccm na mwananchi sikuwahi kusikia popote pale wananchi au wanachama wa ccm wakishinikiza kuwepo kwa maridhiano hayo.
Ni ajabu sana kwa viongozi wa CCM na Chadema kusimama na kusema kwamba kuna maridhiano wakati sisi wananchi hatufahamu hayo maridhiano ni katika nini, kwa mambo yapi na kwa muda gani.
Hatukuwahi kuoneshwa kama wananchi hati za maridhiano zinasema nini.
Hivyo kuja na kutuambia kama kuna maridhiano ni jambo la kushangaza na kusikitisha mno kwakua tunaburuzwa tu bila kujua hatima yetu.
Mimi naomba viongozi wa vyama hivi viwili waitishe mikutano mikuu ya vyama vyao ili kutoa mwanya kwa wanachama kuyajadili na kuafiki hata kama hakutakuwa na uhuru katika maamuzi ila mchakato tu utaonesha dhamira ya wazi ya maridhiano kuwa shirikishi.
Othewise hao wamishindwana pia tutaambiwa maridhiano hayapo tena kama walivyotuambia yapo.
Wananchi na wanachama washirikishwe ni hilo tu.
Soma: Ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan: Hadi sasa sijaona dalili yoyote ya utashi wa kuwepo kwa maridhiano ya kisiasa nchini